Erasto Lashau retweeted
Naungana na Watanzania Wenzangu, kuwakumbuka, Kuwa-Omboleza, kuwaombea na Kuwatakia Pumziko Jema, Ndugu zetu waliopoteza Uhai wao, Wakati wa Matukio ya wakati/baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Kukubali kuwajibika Kwa kwel na Kujisahihisha ndio njia pekee ya Kusonga Mbele
Erasto Lashau retweeted
Kwa upande wangu toka ile 29/10/25
Sijakaa sawa kiakili mda wote nakua na wasiwasi ,kimwili hata kunenepa mwili umegoma,kiuchumi 😭😭hapa ndo sitaki kupaongelea maana napoteza tuu ila kuzirejesha ni kisanga.. kwakifupi niko niko kama Haulai,kuna mda unakata tamaa lakini unajipa
Erasto Lashau retweeted
29/10/
To our beloved brothers and sister mliotutangulia
Endeleeni kupumzika kwa amani🕊️💔
HATUTAWASAHAU🙏🏾
Erasto Lashau retweeted
Tunaamini ipo siku damu za watanzania zilizomwagika bila hatia zitalipwa
#Hatutasahau 29/10/2025 🕊💔
Erasto Lashau retweeted
Sometimes mtu akikublock it doesn't mean mna ugomvi au umewah engage nae ,kuna watu tweet zenu zinakaraisha sana moyo najiuliza tu ni mmekosa utu kiasi iko au ni pesa. Nyie watu mnaona kama vile hii dunia ni yenu pekeenu🙌🙌🙌
Yet again TUTAFANYAJE SASA 💔💔💔
Erasto Lashau retweeted
Hili Jambo La OCTOMBER 29 💔
Nani Tumlaumu SERIKALI. Inasema Sio Wao
Jeshi la Police wanasema Sio.Wao
Jeshi La Usalama Nao wanasema Sio Wao
Inamana Wauwaji Walitoka Nchi zingine Kuja Kuuwa Watu wetu
Najee Jeshi la Ulinzi baada ya kuona wanachi wanauwawa Walikuwa Wapi!!?
Erasto Lashau retweeted
Respect to you our beloved fighters fallen #Mo29
Erasto Lashau retweeted
Nimemsikia Asha Rose Migiro akisema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotukia Oct 29,30,31... Na nimemwelewa vizuri.
Erasto Lashau retweeted
Rest In Peace to all brothers and sisters who died for us in this country on 29th October.
Hatutasahau.🕊️






























