Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle) header
Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle) profile picture

•General Artist •I do ARTS in many forms cc. #MtotoWaMvuvi #WatuKamaSisi #PichaZaPrinciple

Tanzania
Joined August 2014
Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)Photo by Mtoto Wa Mvuvi (@P4Principle)
KIGOMA 🔥 #MtotoWaMvuvi – at Kigoma, Tanzania
1
10
2
22
1,747
Bwana Daudi Adeleke tupo na wewe🙌🏻
DECEMBER DON START 🎄
1
3
207
MAJIZZO NJOO DARASANI! Umeleta hoja za Kisiasa alafu unajitoa?! Usijitilishe huruma, SKIA.. MSANII ni KIOO CHA JAMII, hivyo TASWIRA au KAZI yake, inatakiwa KUAKISI (Reflect) JAMII YAKE, kwa wakati muafaka. Kama Jamii ina NJAA, Msanii nae inabidi awe hajala au Kazi yake ijae MAUDHUI ya Njaa. SANAA ni Burudani, Elimu, Utambulisho na Biashara. Upande wa ELIMU ni kwa Kui habarisha, kanya, rekebisha, shawishi pamoja na KUISEMEA Jamii. Sio lazima ufanye vyote, maana ITIKADI, DINI, MITAZAMO, JINSIA, TAMADUNI huweza kukuzuia kufanya yote, ila kwenye masuala ya Kijamii yanayokuathiri pia, NI WAJIBU WA KILA MSANII KUSIMAMA NA JAMII YAKE. Jamii ikipata Madhila, kimbilio lake ni WASANII. Msanii anafikisha UJUMBE kwa Watawala, Watesi au Wakombozi. MAUDHUI YA SANAA hugeuka Faraja, Tiba, Tumaini; and ART becomes THERAPY & MOUTHPIECE. WANANCHI wakajiona hawapo wapweke au peke yao (Feel Seen). Mfano KATUNI ZA KIPANYA. Au NYIMBO ZA ROMA MKATOLIKI na NAY WA MITEGO.. Jamii ikiona na kusikia, inapata hauweni na tumaini na Watesi wanapata Jumbe. MAJIZZO, Watu wametekwa, wameuwawa, wapo Rumande, wamebambikiwa Kesi, wamepigwa, wamepotea, wamelawitiwa, SERIKALI KIMYA! Wasanii wanaimba MAPENZI na KUISIFIA SERIKALI iliyo waangusha WANANCHI. Wananchi ndio wanaipa Madaraka Serikali, ila inayatumia vibaya (Jeshi, Polisi, Usalama) kutisha na kuminya UHURU. Na inatumia WASANII kuwashawishi na Kuwapumbaza Watu ili wao Wabaki MADARAKANI. Pengine mimi binafsi sijafanya hivyo, ila ni kweli kuwa Wasanii tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu kama Kioo Cha Jamii, na Sauti za Wasio nazo. Umeongelea SIASA, sisi hatupo huko, na umeongelea Mashambulizi PERSONAL, well post inayofata nitakuonyesha what personal is… usijitie Huruma, wala kuleta kiherehere cha uGodfather, ingawa najua umetumwa. The Leader
35
114
5
552
21,630
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Replying to @FredrickMulla
Aisee,Nuruel,Q jay na Ismail sauti zao
2
1
1
40
Album ya Kanye dadek walah. Dunia ya creativity inatupeleka upside-down.
1
37
Ilagala, Kigoma | Magharibi mwa Tanzania
2
1
16
454
Sekta ya Sanaa na Burudani ndio sekta iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2023 (17.7%) lakini mchango wake katika Pato la Taifa bado ni mdogo sana ( ni 0.4% ya GDP). Changamoto yetu kubwa kwa miongo 2 sasa bado ni kasi ndogo ya ukuaji wa uchumi kwa sekta zenye mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa (GDP). Sekta ya Kilimo ilichangia 26.5% ya GPD mwaka 2023, lakini ilikua kwa 4.2% tu. Serikali 3 za CCM ( Awamu ya 4, 5 na 6) zimeshindwa kabisa kupata jawabu la changamoto hii. Jawabu la Umasikini wa Watanzania lipo kwenye sera mahususi za kukuza sekta za Kilimo, Viwanda, Usafirishaji, Biashara na Madini. CCM wameishiwa mawazo ya kuwezesha sekta hizi kukua kwa kasi. Chama pekee cha siasa nchini chenye Mawazo na Maarifa ya kukuza Uchumi wa Taifa kwa kasi ya KUTOKOMEZA UMASIKINI ni @ACTwazalendo tu. #Tumedhamiria #Tumekusudia jiandane #Tunakuja 2025
4
24
1
65
4,525
With a marketing budget of $20,000, @Tundashopping is set to revolutionize eCommerce in Tanzania. Our goal: 1M+ users by 2025. 💼💥 #TundaGoals #TanzaniaEcommerce
2
9
214
#nbcpremierleague #Tanzania SEASONAL TEAM 23/24, Experience by Frank Mhalafu. #artwork designed by @P4Principle #MtotoWaMvuvi
29
StoryZaMulla na George Alex Kasela “Squeezer” out on all digital platforms.
2
11
475
Thank God, today was great! I had my first $1M business meeting.
1
1
16
626
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Hii ni kwa ajili ya shukrani. Bwana @carlosbalikuli7 aliposti humu akiomba msaada kwa kijana aliyekua kijijini kwao Rukoma, mgonjwa alipata msaada kupitia kwa @bnzobo Tunashukuru sana.
3
20
516
Welcome to my new rap banger called "BossKazi," catch me deliver scorching verses aimed at individuals who pretend to be bosses but are merely faking it. Dir by travellah Prod by @dazNaledge Now available worldwide – at Dar es Salaam, Tanzania
5
24
3
79
1,387
Hii sio intavyuu. Ni mahakama ☺️☺️
NCHI YETU TANZANIA 😭😭. Uongo wa wanasiasa kwa wapiga kura wao na ahadi zao zisizotekelezeka…! @chiefodemba
26
Tunalitegemea ziwa miaka yote toka nimeifahamu dunia. Kadri siku zinavyokwenda mapato ya mazao ya uvuvi yanapungua, na viumbe wachanga ndio wamejaa sokoni kila leo. Kuna sababu za msingi kufunga uvuvi hata kimazingira, tuone changamoto mpya zitakazokuja.
Replying to @rubz49
Huo upembuzi waliwashirikisha wananchi na kuwasikiliza maoni yao ama walisikilizwa watu kadhaa ,okey baada ya huo upembuzi je hao wananchi wamefikiriwa namna wanavyokwenda kuishi kwa miezi hiyo 3,haya mambo tusiweke ushabiki tuangalie hawa watu ambao tegemeo lao ni ziwa
1
1
41
This is what we looking from our leaders. ❤️ Moyoni nimefurahi sio kawaida.
Marahaba. Pole kwa mama na familia kwa changamoto. Kazi kubwa tayari imefanyika kulipa mafao ya walioguswa na zoezi hili na bado inaendelea. Uongozi wa Wizara ya Ujenzi pamoja na TBA watawasiliana nawe/mama ili kupata jawabu.
12
Sio rahisi sana kufanya series ya mahojiano,na sio rahisi kumfanya mhojiwa akubali series ya mahojiano,ni rahisi ikiwa tu kuna mambo ya msingi ,tija na burudani baina yao na msikilizaji kwa pamoja,Ndio kinatokea tena hapa #Theclassicefm ,Leo inapigwa Part 3 na @jaymoefamous👇🏾
31
39
7
202
42,933
Live long legend 🔥
After coming back with an amazing single titled #Moccasin, veteran artist @jaymoefamous is back again with another hot single titled #Bosskazi produced by @dazNaledge Tomorrow May 17
11