
•General Artist •I do ARTS in many forms cc. #MtotoWaMvuvi #WatuKamaSisi #PichaZaPrinciple
Tanzania
Joined August 2014
- Tweets14.2K
- Following192
- Followers632
- Likes10K
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
MAJIZZO NJOO DARASANI!
Umeleta hoja za Kisiasa alafu unajitoa?! Usijitilishe huruma, SKIA..
MSANII ni KIOO CHA JAMII, hivyo TASWIRA au KAZI yake, inatakiwa KUAKISI (Reflect) JAMII YAKE, kwa wakati muafaka. Kama Jamii ina NJAA, Msanii nae inabidi awe hajala au Kazi yake ijae MAUDHUI ya Njaa.
SANAA ni Burudani, Elimu, Utambulisho na Biashara. Upande wa ELIMU ni kwa Kui habarisha, kanya, rekebisha, shawishi pamoja na KUISEMEA Jamii. Sio lazima ufanye vyote, maana ITIKADI, DINI, MITAZAMO, JINSIA, TAMADUNI huweza kukuzuia kufanya yote, ila kwenye masuala ya Kijamii yanayokuathiri pia, NI WAJIBU WA KILA MSANII KUSIMAMA NA JAMII YAKE.
Jamii ikipata Madhila, kimbilio lake ni WASANII. Msanii anafikisha UJUMBE kwa Watawala, Watesi au Wakombozi. MAUDHUI YA SANAA hugeuka Faraja, Tiba, Tumaini; and ART becomes THERAPY & MOUTHPIECE. WANANCHI wakajiona hawapo wapweke au peke yao (Feel Seen). Mfano KATUNI ZA KIPANYA. Au NYIMBO ZA ROMA MKATOLIKI na NAY WA MITEGO.. Jamii ikiona na kusikia, inapata hauweni na tumaini na Watesi wanapata Jumbe.
MAJIZZO, Watu wametekwa, wameuwawa, wapo Rumande, wamebambikiwa Kesi, wamepigwa, wamepotea, wamelawitiwa, SERIKALI KIMYA!
Wasanii wanaimba MAPENZI na KUISIFIA SERIKALI iliyo waangusha WANANCHI. Wananchi ndio wanaipa Madaraka Serikali, ila inayatumia vibaya (Jeshi, Polisi, Usalama) kutisha na kuminya UHURU. Na inatumia WASANII kuwashawishi na Kuwapumbaza Watu ili wao Wabaki MADARAKANI.
Pengine mimi binafsi sijafanya hivyo, ila ni kweli kuwa Wasanii tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu kama Kioo Cha Jamii, na Sauti za Wasio nazo.
Umeongelea SIASA, sisi hatupo huko, na umeongelea Mashambulizi PERSONAL, well post inayofata nitakuonyesha what personal is… usijitie Huruma, wala kuleta kiherehere cha uGodfather, ingawa najua umetumwa.
The Leader
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Sekta ya Sanaa na Burudani ndio sekta iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2023 (17.7%) lakini mchango wake katika Pato la Taifa bado ni mdogo sana ( ni 0.4% ya GDP).
Changamoto yetu kubwa kwa miongo 2 sasa bado ni kasi ndogo ya ukuaji wa uchumi kwa sekta zenye mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa (GDP). Sekta ya Kilimo ilichangia 26.5% ya GPD mwaka 2023, lakini ilikua kwa 4.2% tu.
Serikali 3 za CCM ( Awamu ya 4, 5 na 6) zimeshindwa kabisa kupata jawabu la changamoto hii.
Jawabu la Umasikini wa Watanzania lipo kwenye sera mahususi za kukuza sekta za Kilimo, Viwanda, Usafirishaji, Biashara na Madini. CCM wameishiwa mawazo ya kuwezesha sekta hizi kukua kwa kasi.
Chama pekee cha siasa nchini chenye Mawazo na Maarifa ya kukuza Uchumi wa Taifa kwa kasi ya KUTOKOMEZA UMASIKINI ni @ACTwazalendo tu. #Tumedhamiria #Tumekusudia jiandane #Tunakuja 2025
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
With a marketing budget of $20,000, @Tundashopping is set to revolutionize eCommerce in Tanzania. Our goal: 1M+ users by 2025. 💼💥 #TundaGoals #TanzaniaEcommerce
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Hii ni kwa ajili ya shukrani.
Bwana @carlosbalikuli7 aliposti humu akiomba msaada kwa kijana aliyekua kijijini kwao Rukoma, mgonjwa alipata msaada kupitia kwa @bnzobo Tunashukuru sana.
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Welcome to my new rap banger called "BossKazi," catch me deliver scorching verses aimed at individuals who pretend to be bosses but are merely faking it. Dir by travellah
Prod by @dazNaledge
Now available worldwide – at Dar es Salaam, Tanzania
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Sio rahisi sana kufanya series ya mahojiano,na sio rahisi kumfanya mhojiwa akubali series ya mahojiano,ni rahisi ikiwa tu kuna mambo ya msingi ,tija na burudani baina yao na msikilizaji kwa pamoja,Ndio kinatokea tena hapa #Theclassicefm ,Leo inapigwa Part 3 na @jaymoefamous👇🏾
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
After coming back with an amazing single titled #Moccasin, veteran artist @jaymoefamous is back again with another hot single titled #Bosskazi produced by @dazNaledge
Tomorrow May 17 – at Dar es Salaam, Tanzania
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Pioneering Tech Solutions: The Journey of Tanzanian Dastani Ferdinandi and Zeno Limited thefounder.africa/pioneering…
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Still working on my challenge of Develop Mobile App for @AirTanzania by using Flutter ,
Today i start design new User interface
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Mi nikiamka naanza na mazoezi ya akili coding 😀 vipi wewe ?
@TOTTechs
@anon_codex
@mafolebaraka
@GillsaInt
@chapo255
@inframe_tz
@GibsonKawago
@Afruturist
@Sirjeff_D
@thisistemidayo
@tanzaniatech
@j_kalebu
@YesayaSoftware
@DullahTheking2
@99Zaburi
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
This is why tunafanya tunachokifanya my brother ,Shukran ,One love kaka Chapo
"Hulewi dear"
Sema mzee wangu @JabirSaleh umemrudisha anko Bambo kwenye trend, ngoja apige nae vibunda ndio muda wake!!
Mtoto Wa Mvuvi retweeted
Hii ni Ujiji. Mradi wa Jengo la Ofisi ya @ACTwazalendo na Kitega uchumi Mkoa wa Kigoma. Inependeza ukuaji wa chama unapokwenda sambamba na ujenzi wa Ofisi zenye vitega uchumi.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili






















