Anaehoji akipata Pesa Hawezi Kujenga Ghorofa Masaki?
ROHO ZA KICHAWI TU WABONGO
Akizungumza wakati wa kipindi Novemba 23, 2026, Mtangazaji wa Wasafi Media, Gerald Hando amehoji kuhusu ujenzi wa maghorofa unaoendelea maeneo ya Masaki huku gharama ya maisha ikiendelea kupanda.
Zaidi jamii.app/HandoMasaki
#JamiiForums #Uchumi













