P A P I (@PapiChulo_Chuly) header
P A P I (@PapiChulo_Chuly) profile picture

Life is too short. Don't waste it reading my BIO!!!

Joined September 2011
Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)Photo by P A P I (@PapiChulo_Chuly)
P A P I retweeted
When footballers win POTM after a draw... 🙃
364
2,096
365
37,858
814,671
Leo jijini Dar es Salaam nimepata heshima ya kufungua Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe. Mkutano huu unalenga kuweka mikakati ya kuboresha huduma za afya na lishe ili kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika ifikapo mwaka 2030 na kufikia malengo ya Sifuri Tatu. Kazi kubwa tuliyofanya ya kujenga vituo vya kutolea huduma za afya kila kona ya nchi, kuajiri watumishi wa afya, na kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba umeiwezesha nchi yetu kupiga hatua kubwa katika kutimiza malengo hayo. Ili kuongeza kasi ya utekelezaji, leo nimeingia mkataba na Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania Bara kuhusu usimamizi wa masuala ya afya na lishe katika maeneo yao. Ninaziagiza Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mikataba hiyo. Ninawakumbusha kuwa kila mwananchi ana haki ya kupata huduma bora za afya bila kujali anapoishi, kipato chake au hadhi yake.
28
85
198
12,258
P A P I retweeted
Tanzania is where the real deal is during AFCON 2027
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨ Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
1
2
192
As I said before, Tanzania is the biggest winner in this Pamoja AFCON. They have 3 host cities and the already using the upcoming tournament ot market themselves to the world.
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨ Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
2
2
23
951
Go beyond the game, discover Tanzania 🇹🇿 #AFCON2027
14
58
3
422
10,350
🇸🇪💫 Viktor Gyökeres has now scored 𝐌𝐎𝐑𝐄 Champions League goals for Arsenal (7) than he managed at Sporting (6).
12
406
22
5,399
91,836
I really hope Bafana play most of their games here because WOW
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨ Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
4
6
1
74
4,389
P A P I retweeted
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨ Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
55
330
55
1,263
132,116
P A P I retweeted
I swear most Ligue 1 fans / French fans rate Yoro as potentially being better than Saliba in the future. We’ve hit the jackpot…
216
585
243
9,478
598,104
So Arsenal gain a point over Brighton at the top of the League this weekend 😂
49
255
11
4,031
83,686
P A P I retweeted
🔴 𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎 ⚪️ Back from the break. Let's do this 👊 🤝 @deel

659
3,797
1,458
19,115
872,080
P A P I retweeted
In a Premier League matchday squad for the first time this season ❤️ Welcome back, Wilo 👊
185
2,580
224
32,871
501,038
Amani, utulivu na umoja ni msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ni kwa muktadha huo leo nikifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro nimelipongeza Jeshi hilo kwa kazi kubwa ya kudumisha amani na utulivu, pamoja na kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa salama. Licha ya kazi hiyo nzuri wanayofanya, ni muhimu kutambua kuwa wapo baadhi ya askari na maafisa wanaochafua taswira ya Jeshi letu. Nimeelekeza wahusika hao wawajibishwe kwa mujibu wa taratibu na sheria. Aidha, nimewasisitiza kutopuuza taarifa yoyote inayohusu usalama na kuimarisha ushirikiano na wananchi katika kubaini na kufuatilia viashiria vya uvunjifu wa amani. Ahadi yangu kwenu ni kuwa Serikali itaendelea kuboresha maslahi yenu kadiri itakavyowezekana. Nanyi ninawasihi muendelee kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, ari na uzalendo, ili kwa pamoja tutimize azma ya kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu: “Usalama Endelevu ni Msingi wa Dira ya Taifa 2050.”
28
83
2
227
14,148
Ninawashukuru wananchi wa Arusha kwa mapokezi mazuri mliyonipa nilipowasili mkoani hapa kwa ziara ya kikazi. Mwakani, Arusha itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Wito wangu kwenu ni kuendelea kudumisha amani na utulivu, kuhakikisha mazingira yetu yanakuwa safi na kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazotokana na mashindano hayo.
71
162
11
867
49,786
Max Dowman is single handedly rewriting the record books 📚 @Arsenal
252
4,486
230
29,831
1,712,246
P A P I retweeted
Skelly Mainoo
Myles Lewis-Skelly or Kobbie Mainoo?
76
1,488
21
15,597
153,112
Ahsanteni sana Arusha.
52
103
4
400
30,257
Kwa vipindi tofauti, watendaji kutoka Tanzania na Uganda wamekuwa wakijadili utekelezaji wa makubaliano yetu. Leo, nikiwa katika ziara nchini Uganda, nimekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wangu, Rais wa Uganda, Mheshimiwa Yoweri Museveni. Tumefarijika kuona hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa makubaliano hayo, hususan katika sekta za biashara, miundombinu, nishati na usafirishaji. Nimemweleza na kuikaribisha Uganda kuungana na Tanzania katika juhudi za kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji, ikiwemo upanuzi wa bandari, ujenzi wa meli, barabara, reli ya kisasa na usafiri wa anga, ili kurahisisha upatikanaji wa masoko ya kikanda na kimataifa. Aidha, nimempongeza Rais Museveni kwa hatua ya Uganda kuwa nchi ya kwanza kuanza ujenzi wa Ofisi za Ubalozi wake katika Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma, hatua inayotarajiwa kuhamasisha mataifa mengine kuwekeza katika eneo hilo.
36
181
8
516
42,905