Learner✝️🛐 retweeted
At #UPR53, 🇨🇭recommended #Tanzania🇹🇿 to:
➡️Investigate #humanrights violations linked to the 2025 elections.
➡️Protect freedom of expression, association and assembly.
➡️Abolish the #deathpenalty and protect Indigenous peoples’ land rights.
🗒️mission-geneve.dfae.admin.ch…
Learner✝️🛐 retweeted
Kivulini Talks—Machinga, Panga Pangua Miji, Ukosefu wa Ajira: Tunapambana na Umasikini au na Masikini?
youtu.be/RgW7EQcaDpU?si=2XWk…
Learner✝️🛐 retweeted
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya.
Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam.
Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026.
Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
Learner✝️🛐 retweeted
Botswana President Duma Boko has called for the word ‘diamond’ to be reserved exclusively for naturally mined stones, arguing that laboratory grown alternatives should not be marketed under the same name.
instagram.com/reel/DffbgISOK…
Learner✝️🛐 retweeted
The Oppenheimer family owns a 65 000 hectare cattle ranch in Zimbabwe with 10 000 heads called Shangani Holistic. Oppenheimer family are Zionists based in South Africa with power to launch missiles deep into the region. Elections are just a mere formality in Afrika.
Learner✝️🛐 retweeted
Rwanda is Africa's second most densely-populated nation so a totally inappropriate place to send migrants. Kigali only signed up for this deal because it knows the Western govts involved will repay the favour by ignoring its occupation of eastern DRC. nytimes.com/2026/11/06/world…
Learner✝️🛐 retweeted
siku zote ukatili unaoonekana ni ule wa wanaoonewa tu dhidi ya wakandamizaji wao. dola linaweza kuteka, kutesa, kufunga, kubaka, kulawiti, na kufukarisha watu kwa miaka. lakini siku moja tu w'nchi wakisimama na kusema, "inatosha," tunaanza kuimba amani, na kuunda matume kibao!
VIDEO:
Padri Lawrance Lukumay wa Parokia ya Mtakatifu Theresia amesema katika kipindi cha msiba ni muhimu familia na waumini kumtegemea Mungu, huku wakishikilia haki, amani na uaminifu katika maisha yao.
Akizungumza leo Novemba 8, 2026, wakati wa ibada fupi ya kumuaga marehemu Mzee Alute Mughwai Lissu iliyofanyika nyumbani kwake jijini Arusha, Padri Lukumay amesema marehemu aliendelea kutamani kuona haki ikitendeka, amani ikiwepo na watu wakifuata taratibu hata wakati afya yake ilipokuwa ikidhoofika.
Amesema marehemu alitumia maisha yake kutumikia jamii kwa uaminifu, akiwataka waumini kutumia vizuri akili na uwezo waliyopewa na Mungu katika kulitumikia taifa na jamii kwa haki.
Padri Lukumay pia ametoa pole kwa familia ya marehemu, akieleza kwa namna ya pekee maumivu ya Tundu Lissu, mdogo wa marehemu, ambaye ameshindwa kushiriki mazishi ya ndugu yake kutokana na kuwa gerezani.
Amesema Tundu Lissu angependa kuwepo katika ibada hiyo na kumsindikiza ndugu yake, akimwomba Mungu ampe faraja, nguvu na kumlinda katika kipindi hiki kigumu, huku akiomba pia Mungu aifariji familia yote.
Learner✝️🛐 retweeted
Kuna Ibada Zinakuwa nzuri unatamani muendelee tu. Unatamani kila unaposomewa neno moja liwe na sadaka yake. Huu ndio Ukristo na haya ndiyo mafundisho bora
Learner✝️🛐 retweeted
Before you join or work for drug cartels, make sure you don't have any family members.
Elon Musk did not found Tesla, nor did he invent the car. Tesla was founded and built originally by Martin Eberhard and Marc Tarpenning.
Elon Musk isn't why SpaceX is successful, either. The real genius behind the rocket is Tom Mueller, who designed the rocket.
Elon Musk is not a genius. He has invented nothing. He just buys the companies and steals all the credit.
Learner✝️🛐 retweeted
Ethiopia becomes Africa’s fifth-largest economy after GDP rebasing
Ethiopia’s GDP has been recalculated at $210.7 billion for the 2025/26 fiscal year, placing it fifth among Africa’s largest economies, ahead of Morocco and Kenya. The increase reflects a broader measurement of economic activity rather than a sudden surge in production.
Learner✝️🛐 retweeted
Replying to @MarekaMalili
Lissu siyo mzuri kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ila Lissu ni mtu safi, innocent na asiye na hatia.
Anaathirika sana na siasa chafu za wanasiasa ambao ni insecure.
Ndio maana binafsi, naona Anna Makinda ni Spika bora sana wa bunge la mageuzi kwa kumudu bunge la kina Lissu
Learner✝️🛐 retweeted
Tanzania opposition leader Lissu sentenced to 4 years for incitement, acquitted of treason trib.al/3AcI7eI
Learner✝️🛐 retweeted
A Tanzanian court has jailed opposition leader Tundu Lissu for four years on a charge of incitement.
But the three-judge panel in Dar-es-Salaam dismissed a charge of treason that carried the threat of a death sentence.
🔗 : aje.news/dfoacy
Learner✝️🛐 retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Learner✝️🛐 retweeted
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere.
Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria.
Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria.
Wakaloni walikua hawatoi rushwa.
Wakoloni weusi wanahonga kila mtu.
Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.























