RCM retweeted
"Nani aliyekubali kwamba sisi tunakubali uwekezaji wa Bilioni 687? nani aliyekubali kwamba sisi tumekubali rate ya kugawana mapato na DP World kwa ratio ya 40% kwa 60%? Nani aliyekubali?" - Luhaga Mpina (MP Kisesa)
RCM retweeted
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amehoji kwanini mkataba wa uwekezaji kati ya Bandari ya Dar es salaam na kampuni ya DP World haujapelekwa Bungeni ili Wabunge waupitie na kujua makubaliano yaliyofikiwa.
Mpina amehoji hilo Bungeni Dodoma leo November 07,2024 wakati akichangia mjadala wa mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa na mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 unaoendelea Bungeni.
“Tulikubaliana mikataba ya HGAs iletwe Bungeni Waziri hapa anaeleza wale DP World watawekeza dola za Marekani mil. 250 kwa miaka mitano tayari Mwekezaji ameshakwenda anakusanya kodi na huo uwekezaji wake atawekeza kwa miaka mitano lakini tulikubaliana hapa Bungeni kwamba mikataba hii ya HGAs yote mitatu italetwa hapa ili tuweze kujua nini kilichokubalika ndani ya mikataba hiyo”
“Kama haitoshi sheria yetu la natural resources inasema kifungu cha 32 kwamba mikataba yote ya rasilimali iletwe hapa Bungeni naendelea kuuliza imeshindikana nini kuletwa mikataba ya Bandari ya Dar es salaam tulioingia mkataba na DP World hapa Bungeni”
#MillardAyoUPDATES
RCM retweeted
Kaitazame Barcelona utakutana na Kijana Mdogo mwenye Miaka 17 Tu
Ambaye anaiongoza Safu ya ulinzi wao, kwenye Kujilinda mpaka Kuongoza Mashambulizi.
Ni Pau Cubarsi ambae Uchezaji wake umemfanya alinganishwe na Beki Carles Puyol.
Kwanini Anasifiwa Sana, Shuka Na Uzi ⬇️
RCM retweeted
If I am to say anything today, I’d tell @SuluhuSamia to reconsider plans of eliminating Soka & his colleagues.
They’re outright innocent and should be treated as such. Critiquing you isn’t a crime.
Release them from captivity.
Please, SASHA, release the boys NOW.
RCM retweeted
Peter Msigwa alidhani akihamia CCM atakuwa na nyomi lile lile, kumbe watu wanataka mabadiliko. Siku hizi hata akikatiza mtaani, hashobokewi.
Tumefika 10k followers, tuweke handle zetu kwa wale waliokaribia wafike na wale wa chini wasogee nia ni kila mtu aongoze family circle 👇
RCM retweeted
Rais @SuluhuSamia na Waziri Mchengerwa @ortamisemitz naamini mna taarifa juu ya hujuma zinazoendelea katika halmashauri nyingi baada ya zoezi la kurudisha fomu kukamilika tarehe 1 Novemba 2024.
Wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi wako mstari wa mbele kwa kushirikiana na wakuu wa Wilaya na maofisa usalama wa Wilaya kutoa maelekezo kwa watendaji wa kata, mitaa na vijiji ambao ndio wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi juu ya namna ya kuengua kwa wingi wagombea wa @ChademaTz tarehe 8 Novemba wakati wa uteuzi kwa sababu za uongo na kuanzia tarehe 9 Novemba 2024 kupitia mapingamizi haramu.
Uchakachuaji mlioufanya kwenye uandikishaji wa wapiga kura na ukwamishaji wa baadhi ya wagombea mmeona bado hautoshi mpaka mmeamua kurudia kwa ukamilifu wake udhalimu kama ule wa 2019?
Msitulaumu kwa yatakayotokea.
Huwezi amin kuna mabinti humu wanataman yule mchizi awale ili nao waonje ladha ya ikwetorio gine wakati mzungu pori kila siku analia Dm na hawamsikilizi
RCM retweeted
Replying to @Robkidayo
Daaah ach nikae kimya kwamba Dangote saiv ni level za fally kwa mihela






















