Mungu akutunze huko ulipo
MANENO MAZITO SANA HAYA Mhhh!!!
"Mimi nitakuwa Mtu wa kwanza kwa nafsi yangu mwenyewe.... nitasema sisiemu ikataliwe kwenye uchaguzi Mkuu"
"Mimi namuomba Mungu nikiwa Mzee nisiwe kama wao"
"Tulifanya Mchezo na Mchakato wa Katiba"
"Katiba inayopendekezwa Haifai"
Maneno yanayoishi kwenye Mitandao ya kijamii milele ata milele mpaka mitandao itakapokufa......
Dah ni nn hii Sasa
#TajiriLaKihaya
NCHIMBI โฆ Nje!
Sidhani kama โamejiuzuluโ๐คฃ
MASHAALLAH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.
haukuwai kushawishi kukubalika ila hakika saut yako ilikua saut ya mamlaka
mung alieka kitu ndani yake
kiukweli wananchi walikuelewa
kila pale ulipp kuwa unaongea bas wananchi tulifarijika
wewe haukuwa tu kiongoz
bali ulikua baba mlez pia
@amanya bwana iwe nawe
na pepo iwe yak
1234567890
Kumbe hata Mwalimu alijua kwamba hawa mabeleghe waliozeeka kazi yao ni kuhubiri chuki makanisani
TEC ni Panya road waliojificha kanisani xitter.gq/Daktariwayanga/status/โฆ
nyie sasa ekeni na za wale mashekhe bakwata tulinganishe
ili sisi J ZII tuchaguwe upande Wa kuunga MKONO
leen soo retweeted
Elimu ya Wolfgang Pisa, Rais wa TEC;
1. Bachelor degree in Philosophy- Zambia
2. Bachelor degree in Divinity - Zambia
3. Bachelor degree in Theology- Jordan
4. Masters of Education - UDSM
5. Masters in Social ethics- USA
6. PhD in Social Ethics- USA
#naziombea roho za @marehemu wato walotangulia mbeze za haki kutokana na rapsha za #uchaguzi mkuu
mungu awape mwisho mwema na makaazi mazur huko waendako
pia nawaombea wote wale ambao wamepata majeraha ya hapa na pale
mungu awajalie wapone hararaka
na warud ktk maisha ya kawaida
Replying to @SaidyHamady2 @marehemu























