Wakunesa retweeted
Ninaendelea kuwa na matumaini kuhusu kesho, lakini pia nimejiandaa kukabiliana na habari mbaya. Hivyo, ikiwa mambo yataenda vizuri, nitaelekea moja kwa moja Arusha kumpeleka kaka yangu nyumbani lakini ikiwa vinginevo basi mapambano yataendelea. Huo hautakuwa mwisho wa dunia; utakuwa tu mwanzo wa sura mpya katika mapambano ya kudai haki na demokrasia katika nchi hii.
~TUNDU ANTHIPAS MUGHWAI LISSU
Mwanangu kitambo sana yupo na Dem wake yaani zaidi ya miaka 4.Sasa kumbe wameachana mwezi umekata. Dem kaja ofsni analalamika"Umenichezea tumeua watoto 4 alf leo unataka tuachane,Labda nife lakn huwezi kuniacha na umenizalisha watoto wote hao" Hivi bado kumbe mimba zinatolewa?
Mama aache shobo dogo ale maisha
DAH😭🙌
Mimi ni mama roho yangu inauma Mpaka tumbo la uzazi linacheza
Kijana wangu wa miaka 20 ametekwa na mama mtu mzima na wajukuu zake
Kijana wangu wa Pekee ninayemtegemea amekuwa kibenten maskini wa Mungu
Yupo analelewa nimeshamfata mtoto akanikana kabisa Kuwa nimuache na maisha yake
Hivi kweli kabisa mwanangu ninayemtegemea amechagua kulelewa na mama anayenizidi umri Mimi😭😭
Mwanangu nimemlea Kwa tabu sana nafulia watu mtaani kama kichaa Mpaka amefika advance ndipo Mtoto akaharibikiwa Najua yupo shule kumbe natuma Hela Mtoto anapitia nje anaenda kuishi unyumba Mpaka wenzake walipomaliza najiàndaa niende graduation sioni akiongelea hizo Habari na kinachonihuzunisha Mtoto hakufanya mok Wala mtihani wa taifa walimu wake hawakunitafta Mpaka
Ndipo nilipostuka kumuuliza alidanganya alifanya lakini hakutaka sherehe matokeo yalipotoka akaandikiwa absent
Alipoona nimeuelewa mchezo ndipo akatoka kama anaenda kutafta maisha akahamia Kuwa kibenten jumla😭😭jamani rama mwanangu mwanangu alikuwa na akili shule naimani muda huu angekuwa mwaka wa kwanza chuo siku Moja angenitoa kufulia watu nguo nadhalilika kipato hakitoshi nikienda kufua nyumba za watu nalalwa hovyo ilimradi nipate hela Mtoto asome yeye matokeo yake ndyo haya naumia Mimi kaka namuokoaje mwanangu jamani😭😭
Wakunesa retweeted
Nafurahi sana wanaume waliooa wanawake wasio mabikra wakija kutoa milio. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na wanawake wasio mabikra
Wakunesa retweeted
Lucita anauliza kwenye connection zake 6 ipi ameua sana awape nyingine kupata katiba mpya Kwa hiki kizazi





























