MasterPlan🇹🇿 retweeted
ila masingo maza kmmk ni atari unakuta limama linakunga'ng'ania kinoma apo linao miaka 40+ watoto mbili alafu linajidai linakupenda kinoma kumbe linataka sehemu ya kupumzikia
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Kiliwaka vilivyo 😂😂😂😂😂😂
#TajiriLaKihaya
@mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote…
USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE.
Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this…
Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi!
Umemwaga mboga Ngoja nimwage ugali…
Mm Hakuna sehemu yoyote ambayo umewahi KUNIKATAA Kama unavyodai… na wala hatujawahi Kua na story na Utani na wewe!
Ni mgongano tu wa maslahi…
mm nlitaka kuichapa wewe ulitaka kunichuna!
Tulikutana wote wahuni wa mjini!
Wewe mwanzo ulitaka nkuoe Uwe mke wangu wa pili… Ila mm nlikuona Kama mpenzi tu wakupiga na kupita! HAUNA HADHI HIO ya Kua Mke wa mtu wewe!
Na ndio maana nlikataa swala la wewe Kua mke nkakuambia nataka Uwe mpenzi tu!
(Frame two)- HII KWA NINI UMEIFUTA KWENYE SCREENSHOT ZAKO?
Pili Baada ya kugundua nataka kuipiga tu- Ukadai NYUMBA na Gari… ambavyo hata kama mm ni Tajiri nliona Hauna Hadhi ya kupewa vitu hivyo!
(Frame 3) HII KWA NINI UMEIFUTA KWENYE SCREENSHOT ZAKO?
Na pia uliniishangaza mtu hata hatujuani -Hatufahamiani inakuaje unataka tu hivi vitu- NKAJUA TU HUYU NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE!
Na ndio maana nlisisitiza tuonane kwanza…mm ni Mhaya Ila sio mjinga kiasi hicho cha kuuziwa mbuzi kwa kugunia!
Hizi ni DM za humu X- naona umechagua txt za whatsapp za kuzirusha humu… zingine umefuta- hata ulivyogoma kuja Ramada uka suggest sehem nyingine…
Txt ulizonitumia Baada ya kuonana? Msimbe wa humu mlienae kwenye group lenu la wasap uliosuggest mje nae ThreeSome?Hela uliyoiomba nkakutumia ukasema ni ndogo unataka zaidi?
Zote hizi haujazituma…
NB: chats zote ni kabla HAUJA JIHARISHIA KWENYE BODA…
Umesahau hata kama huwa nafuta txt za whatsapp Ila huwa naziSave kwenye iCloud +. 12 TB Nayoilipia 179,900/= kila mwezi kwenye iPhone yangu 16 promax ambayo nasubiri iphone 17 Pro nlioagiza USA 🇺🇸 inafika next week!
Ngoja nidownload utafurahi hii wiki … nmekutega ukajaa mazima!
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Hilo kumbe la SIMBA sio la kitoto wazee kalata zianze kuchagwa mapema kabisa.😎
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Waliojichubua na hili jua na hili joto, Kuna harufu flan huaga wanatoa arrrgh sijui wanaolala nao inakuaje🚮🚮😂😂
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Nimeshtuka sana kujua kuwa maisha ni imani yaani kila kitu tunachofanya ni Imani maana yake ni kuwa tupo sehemu tumechill hatujaanza kuishi maisha yenyewe
Serikali bado iendelee kutoa Elimu juu ya Matumizi sahihi ya hizo Pesa jirani yangu karudi na Sofa,Kabati na Tv nawaza atarehesha vipi?
Mikopo ya vikundi ni rasilimali ya umma inayopaswa kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa na kurejeshwa kwa masharti.
Wanufaika wawajibike kusimamia biashara zao,huku halmashauri ikihakikisha ufuatiliaji na uwazi. Uwajibikaji ni muhimu ili fedha ziwanufaishe wengine.
#RaiaMakini






























