Pinned Tweet
JIFUNZE KUHUSU TOCHI (SPEED RADAR) NA SURA ZAKE MUHIMU
Wengi wetu tumekuwa tukiona vifaa vya kupimia mwendo barabarani, tulivyozoea kuviita tochi kwa lugha yetu ya barabarani. Leo hapa tunakuletea mambo muhimu kuhusu tochi. Ungana nasi hapa katika Makala hii.
UZI Shukanao 👇👇
🖲
📍MBT
#NewSongoExpress
DAR - LAKE ZONE
📍Mbande Town
*T 752 ESD Katarama 1823
*T 750 EUC Happy Nation 1841
*T 356 EUC Katarama 1905
*T 200 ESP Kaizerege 1908
*T 894 ETZ Frester 1912
*T 203 EQC Allys 1916
*T 261 EPX Happy Nation 1921
*T 419 ETD Mozaico 1938
*T 906 ERE God first 1940
🕯 TANZIA 🕯
Watu 21 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya basi la abiria la kampuni ya Maokoto Bus Services kugongana na lori la mizigo katika ajali iliyotokea eneo la Njiapanda ya Kiponzero, barabara kuu ya Iringa–Mbeya.
huku mamlaka zikiendelea na taratibu za kushughulikia tukio hilo.
Taarifa za awali zinaeleza basi hilo lilikuwa likitoka Kijiji cha Wasa, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, kuelekea Iringa Mjini wakati lilipokumbwa na ajali hiyo.
Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Imenyonga Karbu watu wote waliokuwa kwenye Hicho kibasi cha Wasa🥲 Kwa magari ya huko, Mteremko waingia highway tutaendelea kuzika Sana ndug zetu
Replying to @SouthernBuses
Ifunda barabara nzuri mkeka mtamu sana.... Wakiambiwa wakatwe Point utasikia nchi ina siasa.




























