Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Imenyonga Karbu watu wote waliokuwa kwenye Hicho kibasi cha Wasa🥲 Kwa magari ya huko, Mteremko waingia highway tutaendelea kuzika Sana ndug zetu
Replying to @SouthernBuses
Ifunda barabara nzuri mkeka mtamu sana.... Wakiambiwa wakatwe Point utasikia nchi ina siasa.
Replying to @SouthernBuses
Mtoto leo kapewa plate number mpya... Afate MAN bila kuchoka asubuhi hatupokei maelezo🤣
Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Za ndani ameitelekeza hiyo . Hata stopper alitelekeza scania ya mizigo Tunduma pale akarudi kwa mhaya again
Southern Highland Buses retweeted
Afadhari gari za sumbawanga ziongezeke maana zilizopo wanakaza sana mizigo
Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Mpk leo wanashindwa mfata mtotoo Chris sio
Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Nliwahi kuwaza hivi hatuwezi pata mtu akawa anafanya reviews ile kama kuna mkurugenzi kashusha fleet anaenda pale anafanya review na anapata safari moja na Chuma moja wapo
Ili kupata content hata mtu akitaka kusafiri anajua anaenda na watu wa namna gani
Southern Highland Buses retweeted
Replying to @SouthernBuses
Alaf hapo cc hatuna maelekezo yoyote kama wao




















