South Tee retweeted
Mzee kasafiri nampigia anatumika over 30min, Ananirudia anasema nilikuwa naongea na mamako
Namzingua namwambia mnaongea nn, Anajibu aaaah mambo yetu huku anacheka 😂😂😂😂
Hawa Watu wako na miaka 60+ wanaongea nn muda mrefu hivyo😂😂😂😂😂
South Tee retweeted
Abel ana uwezo wa kufanya wimbo uwe na furaha kwenye melody lakini uwe na huzuni kwenye hisia 😅🙌🏾
Hiyo contrast ndiyo signature yake kubwa. ana track yake mpya Hong Kong 🎶🎭 yoo ni very cold 🥶
The weekend 🐐
South Tee retweeted
Katika nchi inayotawaliwa vizuri, umaskini ni jambo la kuona aibu.
Lakini pia katika nchi inayotawaliwa vibaya, utajiri ni jambo la kuona aibu.
South Tee retweeted
Which 3 Artist are mostly likely to top your Spotify or Apple Music Wrapped this year?🥷




























