Teoludo-47 (@Teoludo47) header
Teoludo-47 (@Teoludo47) profile picture

I WILL BE RICH ONE DAY 🎧 MUSIC IS MY THERAPY & @MANCHESTER UNITED ❤️⚽ FOREVER , CONTENT CREATOR I think, not what people want to hear.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2021
Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)
Wanaume hawazaliwi; wanatengenezwa. Unahitaji kupitia maumivu, magumu, nidhamu ili kuwa mwanaume. Nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa kuna jasho lake, machozi yake, maumivu yake, kushindwa kwake, na zaidi ya yote Kwa hiyo, kama unapitia nyakati ngumu sasa, endelea kusonga mbele
11
42
90
17,737
Teoludo-47 retweeted
F1 kwa laki mbili na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita 20 F2 kwa laki na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita kumi 📍Mwanza 🚚Mikoa yote natuma ,kwa bus na ndege 📞0756195726 Karibuni sana wakuu🤸
7
33
1
35
394
Teoludo-47 retweeted
Watoto wangu wote nitawapima DNA haijalishi mama yao nitakua ninamuamini kiasi gani.
5
7
17
337
Nafikiri IPhone Ndo Simu Bora… Nikosoe😃🫵.
5
14
1
32
685
Teoludo-47 retweeted
Combination play, pasi za mwisho, touches, kulazimisha CB kucheza upande, vitu mguuni, aisee nakadharika.. Teka nalihusudu sana hili, Minziro inabidi amshawishi viana huyu fundi atue Etihad
5
15
30
405
Weekend ni hivyo wakuu kuniona njee labda jumatatu😋😎
26
28
2
103
3,812
Moja ya subira mbovu ni kusubiri mpenzi aliyekuacha abadili mawazo yake.💔 Good morning my family 🖤
2
6
10
319
Teoludo-47 retweeted
Up and greatfull 💪 Good morning X family 👋
16
24
28
327
Teoludo-47 retweeted
Tuendelee Kumshkuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutupa Kiali Kingine Cha Kuiona Siku Nyingine Ya Leo.
2
7
16
384
Teoludo-47 retweeted
Pambana👂....✍️
6
26
1
71
1,091
Kuamka salama ni kwa Neema tu hivyo hupaswi kujivuna bali kumshukru Mungu 🙏🫂 Good morning my X’s Family 🤝
11
16
23
205
Teoludo-47 retweeted
Mwaka unakarabia kuisha nikiangalia Archievements zangu through out the year nagundua nilikuwa na struggle tu kwaajili ya Pesa ya kodi, Nauli ya kazini, kula na kuvaa. Kusave kibunda sijawahi kutoboa maake pesa haitoshei 😂
3
8
26
379
Teoludo-47 retweeted
Mfanye mapenzi ndipo muoane au muoane kwanza ndipo mfanye mapenzi.. Wewe unaamini nini apa??
5
9
28
845
Teoludo-47 retweeted
Good morning
9
15
23
326
Teoludo-47 retweeted
Huenda usifikirie ndoto zako kila siku, lakini kuna sehemu ndani yako ambayo inaendelea kufanya kazi ili kuzifikia. Hata siku ambazo hauoni maendeleo, haimaanishi kwamba safari imesimama.
4
16
25
298
Sikia kaka, Fanya CHOCHOTE unachoweza katika uwezo wako wa kutafuta pesa na kufanikiwa; ila usifanye vitu hivi -Usishikishwe ukuta bro -Usiue mtu -Usiende jela kizembe -Usiwe chanzo Cha kupoteza mkate wa mwezio ZINGATIA bro!!
1
2
3
123
Nimejifunza mengi kupitia hii Ngoma Ndio maana unapotaka kuchagua mke, kuna sifa muhimu zaidi kuliko uzuri au mvuto wa mwili. Chagua mwanamke anayelewa kuwa changamoto ni sehemu ya maisha. Mwenye subra ya kubaki hat ukipitia nyakati zako ngumu. Pia Muoe mwanamke anayekuamini.
2
2
4
105
Teoludo-47 retweeted
Unasikiliza ngoma gani muda huu J. Cole - January 28th 🎭🎶
2
5
2
10
250
Teoludo-47 retweeted
Hakuna baraka tamu zaidi kuliko kumwona Mungu akifungua njia... wakati ambapo hukujua jinsi ingewezekana
2
11
52
749
Teoludo-47 retweeted
Kuna mtu kaandika ukuta wa nyumba yake "Ni marufuku kutupa taka hapa" Daah 🤣
2
4
70
2,932
Teoludo-47 retweeted
Mwanadam kaa ukijua kuwa njia pekee ya kumfikia Mungu muumba wa ardhi na mbingu lazima utii amri kumi na kufuata njia Za YESU kristo ...ukristo ndio njia kuu ya Uokovu maana Yesu alijitoa msalabani ili wanadamu tupate wokovu Yesu aliponya na kufanya miujiza🙏Kristo Tumaini letu
12
22
2
71
1,228