Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
Akiwepo uwanjani Mr Manchester united kupoteza mchezo huwa ni 30% hata kama ni mchezaji wa kawaida ila anaipambania timu 100%🔥🔥
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
Alieiua MAMELOD ni SIMBA
Mamelod wa sasa wanatia huruma,
Nyota wao muhimu walichukuliwa na SIMBA ikabakishiwa wazee akina Zwane, modiba, Reina, mokoena na kekana
Unamuangalia mokoena anavyocheza pale kati mpaka unajiuliza walimuachaje NEO GIFT MAEMA
Unamuangalia Grant KEKANA anavyokosa utulivu pale nyuma hadi najiuliza nini kilisababisha wakamuuza Rushine DE RUCK
Unamuangalia Reiner mpaka unajiuliza si bora wangebaki na keltso lakini nikagundua njaa ndio inawatesa
Mamelodi saivi hata umuachie singida anajipigia wanangu
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
United's starting XI to face Aston Villa 🔴📋
➡️ Youri Tielemans and Nous Mazraoui
⬅️ Carlos Baleba and Ayden Heaven
💪 @PatrickDorgu13 returns to the bench
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
🚨 BREAKING: Tensions reportedly boiled over between Manchester City teammates Erling Haaland and Enzo Fernández following today’s 3-1 defeat to Nottingham Forest.
Haaland was allegedly seen refusing to shake Enzo’s hand after the final whistle.
Sources claim that inside the changing room, the Norwegian turned to his teammate and said:
“Why does it look like you run in boots made of cement?”
The exchange reportedly left several City players stunned, with one teammate asking whether the boots were actually sponsored by a building company.
More to follow.
Hivi anaendeleaje kuwa jaji?
Yaani:
1. Kosa la uhaini halikuthibitishwa - hapa moja kwa moja mheshimiwa alitakiwa aachiwe
2. Akatunga kosa na kulitolea hukumu bila kesi kuendeshwa
Kweli kusomea mambo mbalimbali sio kazi ya mzaha
98
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
Replying to @ccm_tanzania
Lissu alishakataa kupiga magoti, endeleeni kujifariji tu
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
🚨📉 Manchester City have now lost 3 Premier League games in a row.
It’s the first time since 2024, when they lost four.
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
“Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu.”
Waefeso 3:13 NEN
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
SHERIA YA UCHOCHEZI YA MWAKA 1950:
Kifungu cha 55(2) cha KANUNI YA ADHABU (PENAL CODE) kinasema SIO KOSA la jinai kwa mtu KUIKOSOA Serikali akiwa na lengo la kuonesha MAPUNGUFU ya Katiba, sheria au usimamiaji wa haki.
Tume ya uchaguzi imekua ikitengua watu hovyo, panga matokeo fake & mambo mengi ya hovyo na kuipendelea CCM na Serikali INABARIKI!
CHADEMA imekuja na #NoReformsNoElection ili kukosoa Serikali kwa utaratibu huo, lakini Jaji Ndunguru akaona kitendo hiki ni kosa kisheria na kutoa HUKUMU ya miaka 4.
Lissu alienda mbali kutumia haki yake ya aya "c" hapo 👇🏽 kushawishi Umma ili kuleta MAGEUZI ya jambo hili kwa njia halali.
Someni hapo aya (b) & (c)muone namna gani LISSU ameonewa na hii hukumu ni ya KISIASA & BATILI.
Kibwagizo cha Sugu
Moja ya mambo yanayonifurahisha katika uongozi wa Rais Samia ni uhuru uliopo nchini. Fikiria, kesi kama ya Tundu Lissu inasikilizwa katika mahakama za kiraia, na wananchi wanaruhusiwa kufika mahakamani na kufuatilia mwenendo wa kesi.
Katika baadhi ya nchi, kesi zenye mazingira kama hayo husikilizwa katika mahakama za kijeshi, huku raia wakizuiwa kuhudhuria.
Uhuru wa mahakama, uwazi na haki ya wananchi kufuatilia mwenendo wa mashauri ni misingi muhimu ya utawala wa sheria. Hii ndiyo maana ya utawala bora💪🏿💪🏿.
51
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
Kama kuna Mtanzania hataki kumuona huyu bwana Uraiani huyu hatutakii mema hata kidogo.
Vicent V.M ….. Joshua 1:8 retweeted
Mahakama ni kama ndo inamshitaki. #Maelekezo





























