Ujio wa Moallin umeongeza kitu kikubwa sana ndani ya yanga
Tangu aje style of play imebadilika
Tangu aje flow ya timu imebadilika
Tangu aje viwango vya wachezaji vimeongezeka mfano ni kwa maxi na okello
Vile vile hata ile winning mentality kwa wachezaji imeongezeka
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
HALAND WA BONGO
mshambuliaji wa club ya young African peter shalulile ndio kinara wa magoli katika ligi kuu Tanzania bara maarufu kama NBC
Mnamibia huyo katika mechi 10 alizocheza tayari katupia chuma saba
Akiwa na wastan mzuri wa kufunga katika kila mechi 0.75
Shashaman ni wa moto sana๐ฅ
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
๐Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali๐ฅฐ
๐ Size S,M,L,Xl,& XXL
๐Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
๐Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Kila asubuhi ni ushahidi kwamba Mungu bado ana kusudi na maisha yako.
Good morning wasakatonge wenzangu
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Kusingekua na kauswahili, ilipaswa huyu mzulu achukue tuzo za miezi yote iliopita
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Hawa wote wamechezea SIMBA na YANGA
Licha ya kuchezea timu zote za kariakoo kwanini yanga wanamtambua NGASA kama legend wao lakini simba hawamtambui AJIBU kama legend wake?
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Hii Sk ya jana plug sijui alichanganya na nini mamae imekaa kichwani siku nzima..๐
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Naomba Repost ๐โค
Cheni Og na heleni zake
haipauki wala kuwasha
15000
โ0752777167
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
MANCHESTER UNITED kutoka kua na mabeki bora wa pembeni nama
-Quinton Fortune
-Patrice Evra
- Kieran Richardson
-Alexander Bรผttner
-Antonio Valencia
-Gary Neville
-Phil Neville
-John O'Shea
Hadi kua na takataka kama YORO, DALOT, DORGU,๐ฎ๐ฎ
Hili sio anguko bali ni MSIBA
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Heri mtu anayevumilia majaribu, kwa sababu akisha kuthibitika atapokea taji ya uzima aliyoahidiwa na Bwana.
Tuanze na Mungu kwanza ๐๐ฝ
EL SUKAYO LE ANALYSTE ๐น๐ฟ retweeted
Manchester united wameshinda mechi moja tokea ligi ianze Ahsante ๐๐๐
Hersi atabiriwa kuwa raisi wa CAF
Mwamba ana vision sana sijashangaa kuona akitabiriwa kuwa raisi wa CAF













































