General (@_Assad29) header
General (@_Assad29) profile picture

Rule number #1: simple usicomplicate.

Joined January 2022
Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)Photo by General (@_Assad29)
Me naona kila mtu aendelee na maisha yake😂
76
40
5
659
29,210
𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #CAFCL 🆚 JS Kabylie 🇩🇿 (A) 🗓️ 28 November 2025 🏟️ Hocine Aït Ahmed ⏱️ 7:00PM🇹🇿 | 5:00PM🇩🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
19
47
3
767
15,877
✅ Unbeaten ya mechi 21 za Mc Alger 🇩🇿 ilikatwa na Al Hilal 🇸🇩 ✅ Unbeaten ya mechi 12 za FAR Rabat 🇲🇦 ilikatwa na Young Africans 🇹🇿 ⏳ Azam Fc 🇹🇿 nao wana kazi ya kukata Unbeaten 11 za Wydad 🇲🇦
11
23
770
11,564
Upo nyumbani unaanza bila Striker unajifanya Pep kwa mpia gani 😌
54
18
5
480
19,386
Best caption wins! 🤔
41,543
94,360
11,390
864,626
50,904,378
Sigh!
11
9
2
244
32,015
Nadhani kilichobaki tuwaombee tu msamaha wale wote waliokamatwa ama kutekwa kwa makosa ya kimtandao kwa kufanya uchochezi wawasamehe tu kwani walifanya kwa mihemko. Tumekubali Sisi ni Wajinga.😭
86
64
7
1,010
43,446
Updates ✍️ ➡️ Wananchi 🔰 Young Africans wanamkosa Pacöme Zouzoua 🇨🇮 dhidi ya Mtibwa Sugar hii leo. ❌ Professor sio sehemu ya kikosi kilichotolewa.
2
5
1
428
6,024
Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu Kesi ya uhaini, Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025. Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Ukumbi Na. 1. Maandalizi yamekamilika. Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu A.M Lissu yupo imara kimwili na kiakili Kama ambavyo mnafahamu, Tundu A.M Lissu katika shauri hili anajitetea mwenyewe, hivyo amejiandaa vizuri sana kushughulika na mashahidi wa kificho wa Jamhuri katika kesi hii – gizani. Tunaanza kusikiliza mashahidi upande wa Jamhuri na vielelezo vyao ikiwepo ‘flash’ yenye uhaini. Upande wa Jamhuri una mashahidi 30 na vielelezo 11. Tupo tayari kusikiliza ushahidi. NB; Tundu A.M Lissu alieleza Mahakama iwaelekeze Mawakili wa Serikali, mashahidi wao waelezwe kwamba wasipoteze muda wa Mahakama katika kuthibitisha sauti na picha zake, NI YEYE.
8
141
1
909
44,537
🚨 💣 UPDATES 👇 ➡️ Coastal Union imekamilisha usajili wa beki wa kati Jonas Manyama kutoka Chipukizi ya Zanzibar. Two-year deal signed ✍️ ✅ It's all Done & Sealed 🔒
3
5
381
7,896
Nadharia Mbili: (A). Dunia ni uwanja wa mashindano kugombea rasilimali chache. Kuna wakati Lazima mwenzio akose; ili wewe upate. (B). Dunia ina fursa za kutosha kwa watu wote. Kila mtu anaweza kufanikiwa bila kumshusha mwenzake. Wewe ni mtu wa Imani A au Imani B?
6
12
2
34
4,994
🚨 💣 UPDATES 👇 ➡️ Mshambuliaji wa Simba Sc 🇹🇿 Lionel Ateba (26) 🇨🇲 bado hajaaga na hajaondoka kambini Egypt 🇪🇬. Kwasasa anaendelea na program za timu kama kawaida. ⏳Mchakato wake wa kuondoka Simba bado unafanyiwa kazi ili kubaki na wachezaji 1️⃣2️⃣ wa kigeni.
14
13
4
753
18,207
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imetoa ufafanuzi kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa katika Harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 12 Agosti 2025, kufuatia mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa wanachama ambapo Klabu hiyo imeweka wazi kuwa fedha hizo hazikutoka kwenye akaunti wala mapato ya klabu. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya klabu hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2025, fedha hizo zilitolewa na GSM Foundation taasisi inayomilikiwa na mfadhili na mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohammed ambapo Yanga imeeleza kuwa mchango huo ulitolewa na taasisi hiyo kwa niaba yake binafsi na si kama sehemu ya shughuli au maamuzi ya klabu. Taarifa hiyo imefafanua kuwa kwa zaidi ya miaka mitatu, GSM Foundation imekuwa mshirika wa karibu wa Yanga katika kusaidia shughuli za kijamii ndani na nje ya nchi, hivyo uhusiano huo haumaanishi kwamba kila hatua ya mfadhili wao ni ya klabu moja kwa moja. Klabu hiyo imesisitiza kuwa hakukuwa na matumizi ya fedha za wanachama wala mapato ya klabu kwenye mchango huo. Vilevile Yanga imewaomba radhi wanachama, mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu nchini kwa sintofahamu yoyote iliyojitokeza kutokana na tukio hilo ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwaheshimu na kuwajibika kwa wafuasi wake wote. #MillardAyoUPDATES
258
44
13
1,061
104,851
Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰 #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
20
37
4
728
15,024
Kuna msanii amechanganyikiwa kabisa yani hayuko sawa, na watu bado hawajashtukia
64
40
4
867
50,690
Hizi iphone 13 zimeanza kuadimika, na bei zake zishaanza kupanda.!! 😂😂🙌 Now inauzwa 920K 🙌
3
9
1
54
2,721
Sijui nani atakuwa BINGWA but mmoja wapo kati ya hawa na ndio my prediction kwa TOP 4 ✍🏻Arsenal ✍🏻Liverpool ✍🏻Chelsea ✍🏻Man City Atakayemaliza 1,2,3,4 ndio hao hao .. nani atakuwa wa 4 ? 3 ? 2 ? 1 ? SIJUI 😀
313
120
27
1,975
60,531
Hivi kwanini majengo ya Airport za mikoani hawaboreshi jamani?
57
30
3
783
47,070
Kumekucha 🫵
8
7
82
3,400
🇹🇿📸
78
102
19
3,352
93,280