cloudstv (@_cloudstv) profile picture
Joined January 2015
Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)Photo by cloudstv (@_cloudstv)
"Fursa ya kwanza tarehe 13 tutaanzia Dodoma watu wajitokeze kwa wingi katika siku hii maalum japo haikuwepo ktk ratiba yetu" @MutahabaRuge – at Dar es Salaam, Tanzania
14
34
Jeshi la Wananchi lakabidhi Cheti kwa Clouds Media Group kuonyesha mchango wa Clouds ktk Michezo. #Fiesta2016
1
13
63
"Ubunifu na ile hali ya kutaka inakuvuta lazima kama wewe ni kiongozi lazima uonyeshe msukomo kwa vijana kuinua Ubunifu" @MutahabaRuge – at Dar es Salaam, Tanzania
1
11
24
Dj J. Dilinga atatimiza miaka 3 ya ndoa na #BebiNamba1 wake Valentine Day, Je wewe na bebi wako mnatimiza muda gani?
6
3
12
Tuambie kitaani kwako hali ya hewa ikoje?
7
8
30
Beberu kwa kiluga chenu anaitwaje? cc @CloudsFmLive @barbarahassan
7
7
10
cloudstv retweeted
Mume wa mwanamuziki Celine Dion amefariki dunia baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.
3
9
29
Ulishawahi kuhofia kitu gani katika gari na ukamwita fundi akurekebishie na baadae ukagundua ni tatizo ambalo alihitaji fundi?
9
7
Ikifika saa sita mchana #Cloudstv itakuwa kwenye DSTV je unajua muda huo kutakuwa na kipindi gani?
2
11
13
Huyu ndiye Galaxy ambaye kwa sasa ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu.
3
11
25
Galaxy ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu. na anaona 2016 utakuwa mwaka wa kazi akiwa na nia moja ya kufurahisha mashabiki wake.
1
8
10
Aliamua rasmi kuwa mwanamziki mwaka 2000 akiwa bado shuleni na baada yakumaliza shule akajichanganya na baadhi ya wanamuziki aliowafahamu
11
13
Rashidi Omary au “Galaxy Ikanda” alizaliwa mwezi wa sita mwaka 1990 na alipenda kusikiliza muziki na kuimba tangu akiwa na umri mdogo.
1
7
6
#MaalimSeif - Jambo la 4, Viongozi wa juu wa CUF na CCM wakutane kujadili jinsi ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa kitaifa
1
8
15
#MaalimSeif - Jambo la Tatu, Ipo haja ya Raisi Magufuli mwenyewe aongoze juhudi zenye lengo la kufanikisha mazungumzo hayo.
8
8
#MaalimSeif - Njia zitakazotutoa tulipokwama ni M'kiti wa Tume akae pembeni kwa kujihudhuru au kusimamishwa kazi kwa makosa aliyofanya.
8
14
#MaalimSeif - Nilizungumza na Raisi Magufuli lakini hakusema lolote kuhusu kurudia uchaguzi Znz
1
8
5
#MaalimSeif - Tume ya Uchaguzi haipaswi kupokea au kufuata maagizo ya vyombo au Chama chochote cha siasa
1
10
9
#MaalimSeif - Vifungu vyote alivyonukuu Jecha katika tangazo lake, havimpi mamlaka wa kufuta uchaguzi bali ni ubabaishaji mtupu.
15
6
#MaalimSeif - Ushahidi usio na shaka kwamba Oktoba 28,2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar haikukutana hata katika kikao kisicho rasmi
1
11
9