cloudstv (@_cloudstv) profile picture
Joined January 2015
Aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa leo amejiunga rasmi na Chadema. #UKAWA. +255kWANZA.
#Mfariji yule anayepitia wakati mgumu kipindi hiki #Tekeleza
Leo usikose kuangalia CloudsE ya @Clouds_TV saa 08:30-08:45 atakuwepo Ally Kiba na atakujuza vingi tuuu usikose
Kala Jeremiah ni msanii wa kwanza kufika hapa Karume na kutoa damu bado na wewe unayonafasi ya kuja kuchangia Damu
Hawa ni baadhi ya washindi tulio wapata walivyo kuja leo kuchukua Zawadi zao hapa Mjengoni
Mambo tayari yameanza Escape one chakufanya ni kufika na tusherekee wote miaka Kumi ya THT