AnyitikePM retweeted
Serikali inataraji kujenga maabara tatu za taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) katika mikoa ya kimadini Dodoma, Geita na Chunya.
Ujenzi wa maabara hizi utaboresha uchunguzi wa madini na kupunguza gharama za uchambuzi nje ya nchi.
#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele
AnyitikePM retweeted
🇹🇿 "President Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia addresses the #WHA78, highlighting Tanzania's commitment to health as a human right and our strides in healthcare with @WHO's support. @mfa_tanzania @wizara_afyatz
AnyitikePM retweeted
Jarida hilo ni moja ya machapisho makubwa duniani linaloangazia watu mashuhuri wanaoleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi, jamii, burudani na michezo.
AnyitikePM retweeted
Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA), Injinia Hersi Said, ameelezewa na Jarida la African Leadership la Uingereza kuwa miongoni mwa viongozi wa mfano katika Soka la Afrika, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo.
AnyitikePM retweeted
My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at,
africanbookscollective.com/b…
The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.
AnyitikePM retweeted
Captain Ibrahim Traore of Burkina Faso 🇧🇫 was not just invited to Russia 🇷🇺 by President Putin, a private plane was sent to transport him from Burkina Faso, accompanied by fighter jets in the air. All we see here is respect.
AnyitikePM retweeted
📍Shinyanga 🇹🇿
Ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Shinyanga umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi juni 2025 na shilingi bilioni 48.5 zinatumika katika ujenzi huo. #MamaYukoKazini
AnyitikePM retweeted
MILOUD HAMDI - Kocha Bora Ligi Kuu ya NBC, Aprili 2025.
#TuzoZaMwezi #TuzoZaTFF
@tplboard @tanfootball @championship_tz @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ
AnyitikePM retweeted
KILA NYUMBA INATAKIWA KUWA NA CHOO BORA
Ni wajibu wa kilaKiongozi wa familia kuhakikisha kuwa nyumba yake inakuwa na choo bora na kukitumia kwa matumizi sahihi. @wizara_afyatz @ProjectCleartz @anyitike_pm #choobora #mtuniafya #umeeleweka #kipindupindu
AnyitikePM retweeted
#MadiniBajeti
Utaisoma bajeti yote hapa
AnyitikePM retweeted
#MadiniBajeti
#Vipaumbele 2025/26
AnyitikePM retweeted
“MTU NI AFYA” inawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi wote nchini!
Leo tunatambua mchango mkubwa wa kila mmoja katika kujenga taifa lenye afya, ustawi na maendeleo.
Tukiwa pamoja, tutaendelea kufanya kweli na hatutabaki nyuma
#MtuNiAfya 🇹🇿 | #MeiMosi2025 | #mtuniafya
AnyitikePM retweeted
Hii hapa habari njema kwa Watumishi wa Umma.
Ni nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1. Kima cha chini kitaongezeka kutoka shilingi 370,000/- hadi shilingi 500,000/-. Pia nyongeza nono kwa watumishi wa ngazi nyingine za mshahara.
Nikisema KAZI NA UTU!!!! unajibu……….
Asante Mheshimiwa Rais. Hii ni imani kubwa kwa Watumishi wa Umma na imani huzaa imani (wenye D mbili tumekusoma)
#KaziIendelee
AnyitikePM retweeted
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa mwaka huu Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa 35.1% ambapo kwa ongezeko hili sasa kima cha chini kitapanda kutoka 370000 hadi 500000.
Akiongea leo May 01,2025 kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mkoani Singida, Rais Samia amesema “Mwezi May mwaka jana wakati wa Siku ya Wafanyakazi Serikali ilieleza ugumu wa uchumi ulivyokuwa wakati ule na kuwasihi tusiongeze gharama kwa Serikali kwa kuongeza mishahara bali tuliendelea na upandishaji wa madaraja na kutoa maslahi mengine ya Wafanyakazi”
“Sasa kwa mapenzi makubwa na kwa namna mlivyoiunga mkono Serikali ilipowaomba mfunge mkanda na mkaamua kujituma na kufanya kazi kwa bidii na kufanya uchumi wetu ukue kwa 5% mwaka huu, kwakuwa Mcheza kwao hutunzwa, Wafanyakazi oyeee, miamvuli oyee, naona miamvuli imepanda sasa wakati wote ilikuwa chini sasa imepanda”
“Sasa kwakuwa Mcheza kwao hutunzwa, Mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyopanda na umepanda kwasababu ya nguvu zenu Wafanyakazi, ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa 35.1%, Wafanyakazi oyeee”
“Nyongeza hii itakayoanza kutumika mwezi July mwaka huu itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka 370000 hadi Tsh. 500000, ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu lakini nataka niwaambie nyongeza nzuri ipo”
#MillardAyoUPDATES
AnyitikePM retweeted
Women’s Futsal Cup of Nations 2025
Final
16’Tanzania 🇹🇿 2️⃣-0️⃣🇲🇦 Morocco
Anastazia Katunzi⚽
@CAF_Online #FutsalWAFCON2025































