๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet) header
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet) profile picture

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœˆ๏ธClimberJet | ๐™ˆ๐™š๐™œ๐™– ๐™–๐™ฃ๐™™ ๐˜พ๐™ก๐™ž๐™ข๐™—๐™š๐™ง ๐˜ฝ๐™ž๐™œ ๐™‡๐™ž๐™ค๐™ฃ ๐™ค๐™› ๐˜ผ๐™›๐™ง๐™ž๐™˜๐™–

California, USA
Joined June 2021
Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)Photo by ๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@climberJet)
๐Ÿ“Hale 1.Ufundishe moyo wako kuridhika na ulichonacho. 2.Ishi duanini kama kesho hautaiona tena. 3.Boresha mahusiano yako Na aliyekuumba wewe. 4.Tenga muda kujiuliza wewe ni nani na umetokana na nini. 5.Wapende sana wazazi wako kama wapo hai na ikiwa wameshafariki waombee.
3
19
1,070
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Bro To Bro ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
26
61
2
185
3,661
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
#JohanviaExpress Sirari || Tunduma Nina habari njema kuhusu hi kampuni, milango inazidi kufunguka ๐Ÿ™๐Ÿป
4
17
1
112
2,156
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Ukiswali Salat fajr tena kwa wakati Mwenyezi Mungu atakuhifadhi na Mengi ya dunia hii elewa Neno kuhifadhi ๐Ÿ“Œ
1
12
93
1,361
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
UPEKEE WA TUNDU LISSU: Tundu Lissu ndiye mtu PEKEE DUNIANI ambaye wakati ANAHUKUMIWA, mtandao wa INTANENTI, ULIZIMWA kwa kuhofia NGUVU na USHAWISHI alionao kwa WATANZANIA WENGI.
41
242
2
1,467
25,159
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
NAJARIBU KUVAA VIATU VYA LISSU Ninaweza kwa kuanza kwa mfano wangu nilipojikuta nguvuni kwa maoni yangu tu ya mtandaoni. Sikuwa mkosaji, sikuwa nimeambiwa kosa langu lakini nilihukumiwa kwa vipigo visivyomithilika, nikawekwa kizuizini, na nikanyimwa haki yangu ya kuwasiliana na ndugu au wakili. Ilikuwa ni bahati yangu ya kipekee, kwa msaada wa waliopiga kelele, ikajulikana sehemu ninakoshikiliwa. Nikiwa ndani bila mawasiliano yoyote, ndugu na jamaa zangu wakaambiwa makosa yangu mbalimbali yasiyo na kichwa wala miguu. Kwa kuwa ndugu walitaka uhuru wangu, ni lazima walilazimika kubargain kwa njia mbalimbali ili niazimwe uhuru. Nilipoanza kupata nafasi ya kuonana na kuwasiliana na ndugu zangu siku kumi baadae, kila nilipokuwa nikibishana na askari mbele ya ndugu zangu, ndugu zangu walikuwa wakinikanya kukaa kimya ili nisiharibu jitihada walizokuwa wakiendelea nazo kunipa uhuru. Just imagine, ni siku zaidi ya kumi na kisheria nilipaswa kuwa nimefikishwa mahakamani ndani ya saa 24 au kuachiliwa huru. Ndugu zangu ni wasomi lakini hawakuhoji kuhusu hili. Japo sio kwa mfanano, namgeukia Lissu Lissu amewataja mara nyingi watu aliowataka waache kumfata gerezani usiku kumshawishi kulegeza msimamo wake ili kupata uhuru aliopokonywa. Pia waziwazi imeelezwa ujumbe wa rais Chakwela ulifika gerezani kuonana na Lissu. Kwa kuwa ujumbe huu haukueleza hadharani nini walizungumza na Lissu, si vibaya pia tukihisi kuwa ujumbe ule ulikuwa ni sehemu ya ushawishi wa kulegeza msimamo wa Lissu. Zaidi, Lissu ameeleza kuwa, kwa nyakati tofauti alikuwa akitolewa gerezani kwenda kuoanana na watu ambao hakuwataja. Si vibaya tena tukiamini watu hao labda walikuwa nao ni sehemu ya ushawishi kwa Lissu. Kwa tuliopata kuingia Makwaya, tunajua ile hali ya discomfort unayoipata in a very minute unapokuwa selo kiasi cha kutaka kuwa nje mapema iwezekanavyo. Lissu also felt the same discomfort on the very first day of his arrest and detention. This discomfort persisted for the past 577 days and it is ongoing. Lissu angeweza kuyatumia majukwaa ya waliomfata jela kumshawishi ili apate uhuru na hivyo kukwepa discomfort. Inawezekana hata ndugu zake wa damu walishawishiwa kubargan uhuru wake nao wakamshawishi ndugu yao ili walau aweze kwenda nyumbani kwake na kulala kwenye kitanda kikubwa akipulizwa na kiyoyozi. Lissu akakataa ushawishi wote huu huku akitaka kesi yake imalizwe kwa njia za kimahakama. Ama kesi ifutwe DDP kwa kuwa mashitaka ni ya uwongo, mahakama imuachie ikikosa ushaidi, au atiwe hatiani akikutwa na hatia. Masharti haya yakawa mwiba kwa waliomshitaki kwani walijua aibu iliyokuwa inaenda kutokea. Mshtakiwa akawa anabembelezwa kama mziwanda asalimu amri za kununua uhuru wake. Lissu hakuwaza ahadi za asali na maziwa endapo angekubali kuachiwa kwa vikao vya gizani. He just wanted it to be โ€œfrom a chamber court to his homesteadโ€ and not โ€œfrom a cell to a state lodgeโ€ Hakujali kama msimamo wake utaendelea kupoteza faragha yake kwa 24/7 CCTV cameras surveillance, Bwana jela ataendelea kukiuka amri ya mahakama kwa kumnyima kuonana na watu na baadhi ya watakaoruhusiwa, hawatapewa faragha ya kuzungumza bila kusikiwa. Lissu anachojali ni good ends that always justify the means. Good ends without a criminal record of conviction, without negotiations with the oppressor, and Yes! A good record of not mitigating unfair trial. Huu ni moyo ambao ni watanzania wachache sana tuko nao. Yaani niendelee kuteseka kwa muda usiojulikana, kichwa changu kikiwa rehani na huku nikikataa ushawishi uliopewa jina jipya la strategic engagement? Mmh! Sio mimi tu ambaye ningekuwa kwenye majaribu endapo ningepitishwa kwenye moto wa tanuru lako. Hakika si mimi pekee ambaye walau nilionja kidogo joto ya jiwe, bali na wenzangu wote tunaoishia kutoa maoni na kurudi nyumbani kulala na familia zetu. Hakika wewe Lissu ni wa kipekee na ukuta huu nautunuku kwa ajili yako.
17
71
405
22,469
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Wote tunajua mchango wa @ankochoka kwenye muziki wa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Anapitia changamoto ya afya inayomujitaji kuendelea kufanya DIALYSIS (Kusafisha FIGO). Anatakiwa kuwa na laki 9 kila wiki ili kuweza ku attend Jumatatu, Jumatano na Ijumaa pale Aga Khan๐Ÿฅ. Mchango wako ni muhimu sana.
14
65
2
179
12,392
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Nchi Hii Iliwahi Kuwa na Wapinzani wa Kweli WAWILI Tu: 1). Tundu Lisu 2). Christopher Mtikila Source: Mzee Nyashebo!
16
89
2
911
15,108
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Yaani huyu hakimu na mawakili wa CCM hawana akili. Wameshindwa hata kujifunza kupitia hata hizi clip mbona wameaibka sana. Wamejivua nguo makalio yako wazi
6
172
3
528
20,992
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Dar Tunduma nasikia hili dude linapaaaa๐Ÿ™Œ EQC Na dere ndio wale walikua kwenye DPK series enzi hizo๐Ÿ”ฅ
4
5
2
86
2,582
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Nusu ya uzuri wa mwanadamu ipo kwenye mdomo wake mwenyewe, haijalishi unavutia kiasi gani sio kitu kama unatumia ulimi wako vibaya.
2
59
2,123
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
19
202
2,271
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Ukijifunza kutawala hisia zako utakuwa mgumu kutawaliwa na mazingira ya watu wengine,utulivu ni nguvu iliyowasaidia wengi kusimama.
16
38
78
1,205
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Ukiwa mkweli huwezi kupendwa hata siku moja, watu wanapenda uongo sana.
6
13
174
3,703
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Asante Babati, mpaka wakati mwingine ๐Ÿ‘‹
1
8
235
3,917
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Jana jioni nilipishana na hii ETY kwa ukaribu sana, sema humu namo majirani wametupanga sana๐Ÿ˜€. Ukituliza ndonga utagundua hapa tumechezewa.
3
3
34
1,507
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
MAN SCANIA #GenZ
6
32
600
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Kuna Umri ukishafika Jali sana Amani yako dhibiti sana hasira zako na Jali sana heshima za wengine hata wanapokukwaza au Unapowarekebisha usiwavunjie heshima๐Ÿ“Œ
4
11
37
642
๐—ญ๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ง๐—ข๐—ก๐—š ๐—•๐—จ๐—ฆ| ไธญ้€š ๅฎข่ปŠ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Jamuhuri ya watu wa China ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น ๐Ÿ“MBT #Mozaico x #Newforce x #Achimwene
2
4
1
25
1,109