DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba) header
DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba) profile picture

Guild President KIUT 2024/2025 | Pharmaceutical Technician | BPharm candidate | QPPV | Public Health Advocate | Leader & Researcher in Health Policy.

Dodoma, Tanzania
Joined September 2015
Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)
DAUDI M. MACHABA retweeted
Kheri ya kutimiza Miaka 60 kwa Jeshi letu Watanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Katika siku ya leo tunayo kila sababu ya kujivunia kama Watanzania kwa kuendelea kuwa na Jeshi imara, la ulinzi, lenye weledi, utayari na nidhamu ya hali ya juu na linaloheshimika ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu. Katika siku hii pia tunawakumbuka na kuwaenzi Marais na Maamiri Jeshi Wakuu waliopita, Wakuu wa Majeshi, Makamanda na Wapiganaji wote waliotangulia mbele za haki tunapoadhimisha miaka sitini ya chombo hiki walichokipenda na kukithamini sana. Nikinukuu maneno ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere akihutubia Jeshi letu Septemba 1 mwaka 1964; “Moyo kwanza kabla ya silaha.” Kwa moyo wao waliotangulia na moyo wenu Makamanda na Wapiganaji mliopo, taifa letu limeendelea kuwa imara, mipaka yetu imeendelea kuwa salama na wananchi wetu wanaishi kwa amani katika nchi yao iliyo huru. Utii wenu, nidhamu yenu na utayari wenu kwa nchi yetu ndio msingi wa Watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi. Ilindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa, tena kwa nguvu kubwa sana. Endeleeni kufanya kazi zenu mkijua kwamba Amiri Jeshi Mkuu nipo nanyi kwa hali zote. Ahsanteni kwa utumishi wenu. Mungu Ibariki Afrika. Mungu libariki Jeshi letu. Mungu Ibariki Tanzania.
252
299
22
1,692
100,119
11
1
38
1,355
#Taarifa kwa umma na wanachama wa Chama Cha Wateknolojia Dawa Nchini.
4
13
1
31
3,022
DAUDI M. MACHABA retweeted
Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Shule ya Sekondari ya Misufini, Kijiji cha Misufini, Kata ya Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Tumepiga hatua kubwa za namna mbalimbali katika kila sekta kwenye kata zote 4,334 za nchi yetu, na ni jambo la kheri kuona hatua hizi zinatimiza kusudio lake la msingi ambalo ni kuboresha maisha ya wananchi wetu. Wito wangu kwa kila mmoja wetu ni kuendelea kufanya kazi kwa weledi, hasa wale tunaowapa dhamana kwenye utekelezaji wa mipango ya Serikali kwa wananchi.
165
151
10
939
65,881
DAUDI M. MACHABA retweeted
2
16
1
53
2,121
DAUDI M. MACHABA retweeted
Barua ambayo YANGA imewaandikia CAF kuhusu Upangaji wa Matokeo kwenye mechi yao dhidi ya Mamelodi, inajadiliwa sana huko Afrika Kusini. Tena kundi kubwa la watu wa Afrika Kusini linawaunga mkono YANGA na linasema wazi kabisa kuwa YANGA walionewa.
139
135
9
2,735
109,981
Mwezi #March ni MweziWaMyeloma ⬇️ Myeloma ni muuaji wa Kimya Kimya ⬇️ Hutokea katika Seli za plasma ⬇️ Katika Chembechembe za Mifupa  ⬇️ Plasma cell huzaliana kwa kasi ⬇️ Huzalisha protini zenye madhara mwilini Haifahamiki sana ila ni hatari, #SarataniHaituwezi @ummymwalimu
8
20
358
HATUWEZ KUSHINDA BILA YANKUSHIDANA 2 Wakorintho: 10:3 Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;
5
16
437
🌟ISAC #AMR/ID Project Grants🌟 Members of ISAC Member Societies can apply for a grant between £10,000-£20,000 to fund #antimicrobialresistance #infectiousdisease research in low- to middle- income countries. Apply by 1 Sept⬇️ tinyurl.com/634tvbv
4
6
540
"Serikali itunge Sheria itakazozibana halmashauri kutenga fedha kulingana na mahitaji ya Elimu. Mf.manispaa ya Shinyanga ina changamoto ya matundu ya vyoo shuleni, uwiano wa tundu 1:20 (watoto wa kike) na tundu 1:25 (watoto wa kiume) kwa jumla ya wanafunzi 1200: 8 ni changamoto"
1
8
19
DAUDI M. MACHABA retweeted
Gabola: Kanisa la Afrika Kusini 'linaloruhusu pombe wakati wa ibada' bbc.in/34oPxa4
5
11
7
182
Replying to @MagufuliJP
@MagufuliJP is not playing 👏👏
Ujenzi Tanzanite Bridge (Salenda). Mkazi wa Kigamboni ukitoka mikoa ya Kaskazini unapita Bagamoyo unachukua njia ya Bahari Beach lami tupu, Mbezi ya Chini, Mikocheni, Masaki, Tanzanite Bridge, Posta, Kigamboni. Foleni ya Tegeta, Makongo, Mwenge, Morocco kwaheri.#kaziiendeleenaJPM
4
6
71
DAUDI M. MACHABA retweeted
MABADILIKO YA SHERIA: Kanuni za Maudhui Mtandaoni Natambua, kuna wataofurahi (bila kujua hata nini hasa kimebadilika au athari yake) na kuna wataozidi kuumia Maudhui yaliyozuiliwa: Ni sehemu muhimu sana kwa watoaji wa maudhui kuisoma na kuielewa Mwisho wa siku, 2020 is HERE 😔
71
204
38
596
📌Uwekezaji katika Biashara ya Madini ya Jasi (TIC) ✅Jasi (ing.gypsum) ni madini yanayopatikana mahali pengi ambayo kikemia ni sulfati ya kalsi. ✅Fomula yake ni CaSO4·2H2O. Ni madini laini sana yakiwa na ugumu wa 2 kwenye skeli ya Mohs. Inaweza kukwaruzwa kwa kucha.
1
8
25
#AlexNdiritu of #Minneapolis #BlackLivesMatter – at Athi River, Kenya
121
747
176
1,639
DAUDI M. MACHABA retweeted
Jumla ya watu waliopata maambukizi ya #COVID19 nchini sasa ni 284 kutoka 254 tuliowatolea Taarifa tar 20 April 2020. Mchanganuo wa wagonjwa wapya 30 ni kama ifuatavyo: Dar es salaam (10), Zanzibar (9), Mwanza (4), Pwani (2), Kagera (1), Dodoma (2), Manyara (1) na Morogoro (1) – at Dar es Salaam, Tanzania
"Jumla ya wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya #corona kati ya hao wagonjwa 256 wanaendelea vizuri kiafya, wagonjwa 7 wako kwenye uangalizi wa karibu kadhalika wagonjwa 11 walishapona kabisa" Mhe.Kassim Majaliwa - Waziri Mkuu wa Tanzania.
130
120
21
837
DAUDI M. MACHABA retweeted
Vita dhidi ya ubakaji inaanza na mimi na wewe kwa kushirikiana kwa kutoa elimu, kukemea na kuwafichua wahusika wa vitendo hivi ili sheria ichukue mkondo wake. #ZuiaUkatili – at Dar es Salaam, Tanzania
1
21
1
48
DAUDI M. MACHABA retweeted
Did you know that February is #PrenatalInfectionPrevention Month? #BASICS4HEALTH takes infection prevention in health care facilities seriously. Our model is the solution. RT if you #SupportNursesandMidwives and healthy mothers and babies! #MondayMotivation
11
14
DAUDI M. MACHABA retweeted
Kwa makusudi kabisa mwandishi amezitumia methali tuzitumiazo kila siku kama vichwa vya insha ili kuonesha jinsi methali hizo zinavyohusiana na mawazo yetu na zinavyoweza kuwa chachu ya tiba ya mawazo potofu. #MkukiNaNyota #KitabuNiZawadi #UgonjwaWaMawazo #vitabu #SayansiYaAkili – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
3
DAUDI M. MACHABA retweeted
Re; Mikopo ya Elimu ya Juu… 👇
75
166
38
1,003