DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba) header
DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba) profile picture

Guild President KIUT 2024/2025 | Pharmaceutical Technician | BPharm candidate | QPPV | Public Health Advocate | Leader & Researcher in Health Policy.

Dodoma, Tanzania
Joined September 2015
Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)Photo by DAUDI M. MACHABA (@daudiMachaba)
Yesterday, I had the privilege to attend a Financial Literacy Training by the @tanzania_pst at MUHAS—led by CPA E. Busara & moderated by @MNgemera . Key takeaway: invest early at @UUttamis @BankOfTanzania, shares, real estate. Financial freedom = future health.
16
Choosing Professor JANABI for WHO AFRO Regional Director is the best decision health stakeholders can make for the future of healthcare in Africa @prof.janabi @wizara_afyatz @who_tanzania @who_africa @drtedros instagram.com/reel/DH306xDte…
1
24
Tunakuombea Mafanikio kwenye safari hii tunaamini kuwa nchi yetu🇹🇿 kupitia wewe Tutaweza kuimarisha Afya za watanzania na Africa 🌍 yote. Vote for @moddyyakubu
15
Hawa ni Wana Mageuzi walioamua kufanya harakati za ukombozi wa Africa 🌍 na Leo tunazo hatua mbalimbali kukitawala Kwa Kila nchi. Watakumbukwa na Vizazi vyote.
1
47
This is True @realDonaldTrump, I stand with you, It's the time every country uses their resources to deliver services to its people. Make America Great again (MAGA)
45
Kupitia Picha hii Uwepo wa Mama, Mhe: Rais Dkt @SuluhuSamia anawakilisha Kundi kubwa la wakinamama wote wa Jumuiya za SADC & EAC ambao ni Wengi kuliko kundi lolote na Mchango wao wa maendeleo ni mkubwa Hongera Mhe Rais 🇹🇿 tunajivunia wewe. Uwe na Maisha Marefu.
2
43
Educational investment really saves the lives of many people. This is the payment of Education. – at Dar es Salaam, Tanzania
23
Ni kweli kabisa wanadamu tutakufa, lakin kifo cha Dr. Ndungulile kimeniumiza sana. Pole kwetu watanzania kwa kupoteza mtu Muhim sana Africa na dunian. Dhahabu inayonga'a imeyeyuka. Rest in peace @DocFaustine
46
*"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi"* *#Kesho ndio mwisho kajiandikishe*..✍🏿 *#Wasomi Ujanja ni kujiandikisha*🇹🇿
1
30
Ni kweli kabisa @zittokabwe hii ni Muhimu sana kuonyesha mataifa mengine nje ya Africa yananufaika vipi na Sisi hata kama tunapewa msaada lakin Kuna manufaa Mengi nchi hizo zinapata kupitia Sisi Africa.. na Hii inapaswa kuwa kwa Bara letu la Africa.@CrownMediaTZ @Salym
Salim, nadhani ni muhimu katika chambuzi kama hizi kutotazama tu China kama mtoaji ( donor ) kwa Tanzania ( receiver ). Naelewa hii ni njia nyepesi kueleweka na mfumo wetu wa kiuchambuzi ni kuonyesha kuwa nchi zetu zinapokea tu. Ni muhimu sana kuonyesha China imepata nini kutoka Tanzania. Mfano; 1. Tanzania imeipa heshima China kwa kuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha China inapata kiti chake katika Umoja wa Mataifa. Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim ndiye aliongoza jitihada hizi akiwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa. China walimpa Nishani ya Juu kabisa kutambua mchango wake huo. 2. Tanzania inanunua bidhaa kutoka China. Ni soko la bidhaa na huduma za China. Mwaka 2023 Tanzania ilitumia Usd 8B ( shs trilioni 20) kununua bidhaa kutoka China. Hii maana yake ni kuwa Watanzania wanawaweka makazini wachina. Ukitazama ni kiasi gani China inanunua kutoka Tanzania utaona ni USD 450M tu, karibu 5% tu ya kile tunachoagiza kutoka China. Ni muhimu sana uchambuzi uweke hizi 'facts' wazi ili kuonyesha kuwa sio China inayotupa tu sisi zawadi. Tunapeana. Wanatujengea TAZARA lakini licha ya faida watakayopata lakini pia tunanunua bidhaa za viwanda vyao na kuwapa ajira watu wao. Na kadhalika. Nakupongeza unaifanya @CrownMediaTZ kuwa chombo cha masuala mazito. Hiki ni kitu tumekuwa tunakikosa katika radio zetu na hata vituo vya televisheni. Hongera sana
1
59
DAUDI M. MACHABA retweeted
Kheri ya kutimiza Miaka 60 kwa Jeshi letu Watanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Katika siku ya leo tunayo kila sababu ya kujivunia kama Watanzania kwa kuendelea kuwa na Jeshi imara, la ulinzi, lenye weledi, utayari na nidhamu ya hali ya juu na linaloheshimika ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu. Katika siku hii pia tunawakumbuka na kuwaenzi Marais na Maamiri Jeshi Wakuu waliopita, Wakuu wa Majeshi, Makamanda na Wapiganaji wote waliotangulia mbele za haki tunapoadhimisha miaka sitini ya chombo hiki walichokipenda na kukithamini sana. Nikinukuu maneno ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere akihutubia Jeshi letu Septemba 1 mwaka 1964; “Moyo kwanza kabla ya silaha.” Kwa moyo wao waliotangulia na moyo wenu Makamanda na Wapiganaji mliopo, taifa letu limeendelea kuwa imara, mipaka yetu imeendelea kuwa salama na wananchi wetu wanaishi kwa amani katika nchi yao iliyo huru. Utii wenu, nidhamu yenu na utayari wenu kwa nchi yetu ndio msingi wa Watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi. Ilindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa, tena kwa nguvu kubwa sana. Endeleeni kufanya kazi zenu mkijua kwamba Amiri Jeshi Mkuu nipo nanyi kwa hali zote. Ahsanteni kwa utumishi wenu. Mungu Ibariki Afrika. Mungu libariki Jeshi letu. Mungu Ibariki Tanzania.
252
299
22
1,692
100,119
Baba @RailaOdinga is the best Candidate for Leading AU, We need him for the better reform of African Voice in the World. Cc @WilliamsRuto @SuluhuSamia @PaulKagame @KagutaMuseveni @HHichilema @MalawiPresident
22
This is the best Director from Africa, The best is Yet to come, CONGRATULATIONS. @DocFaustine @wizara_afyatz @WHOAFRO @WHO
Congratulations, @DocFaustine, on your election to serve as the next @WHOAFRO Regional Director — it is a great privilege, and a very great responsibility. I and the entire @WHO family in Africa and around the world will support you every step of the way. #RC74AFRO
15
True!
"They made you hate your own skin color. In our cultures and in many cultures in Burkina Faso blue was the color of mourning. When a woman lost her husband, she wore blue to mourn. They told you that black symbolizes mourning, the devil, the mediocrity and everything that is bad. Unfortunately, we accepted this so that now we wear black during mourning. We need to wake up. This is the image they have in their heads they are the empire of good, others are the empire of evil and we are the empire of slavery " ~ Captain Ibrahim Traore (President of Burkina Faso) Your comments on this
13
Ikiwa ni Kweli inatokea Sababu ya Imani na Direction from above huu ni Ukosefu wa Maarifa wa kiwango Cha Juu Katika Christianity l, na ni Ukiukwaji wa haki za Wanawake, Udhalilishaji
These pastors are bathing their Female church members in church Your comments on this
1
45
Watanzania tunakupenda na tunakumiani katika Utendaji Jambo Muhimu ni kuongeza Usimamizi Imara wa Upatikanaji wa haki za watu Kwa wakati kama anavyofanya @JerrySilaa @babakegan Katika nafasi ulizowateua.. Mungu akulinde Mhe: Rais @SuluhuSamia
Ahsanteni sana Rukwa. Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu nitarejea tena kuwatembelea, kuzungumza nanyi na kufurahia pamoja hatua zaidi za kimaendeleo tutakazokuwa tumefikia. Kwa sasa, tufurahie matunda ya kazi iliyofanyika na kuendelea na kazi iliyo mbele yetu ya kutekeleza mipango tuliyojiwekea.
1
28
This is a wonderful Congratulations Academic team
Congratulations to the NM-AIST team on the successful patent for the Automated Machine for Rapid Production of Biogas and Organic Fertilizer.
2
15
𝖬𝗐𝖾𝗇𝖽𝖺 𝖳𝖾𝗓𝗂 𝗇𝖺 𝖮𝗆𝗈 𝗆𝖺𝗋𝖾𝗃𝖾𝗈 𝗇𝗂 𝖭𝗀𝖺𝗆𝖺𝗇𝗂 "𝖯𝗋𝗈𝖿𝖾𝗌𝗌𝗈𝗋: 𝖯𝖺𝗋𝖺𝗆𝖺𝗀𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗆𝗐𝖺𝗅𝗎𝗄𝗈 𝖪𝖺𝖻𝗎𝖽𝗂"
1
11
11
1
38
1,355