
CEO @SomaMkahawani, Co-host @VavagaaSoma, #KestoriaKavazi Co-creator,Feminist Storyteller, Mentor, and Book Publisher ๐
Dar es salaam
Joined April 2013
- Tweets857
- Following141
- Followers291
- Likes653
Pinned Tweet
Replying to @IssaShivji
Tulikuwepo.
Tulikuwepo tukilalama
Tukichumia matumbo
Tukipigania madaraja
Na mishahara
Na hali bora
Tukijasiria taaluma
Na majina
Na majalala
Tulikuwepo tukipigania
Teuzi
Na uwakilishi
Na mengine mengi
demere kitunga retweeted
Replying to @bbcswahili
demere kitunga retweeted
Neno langu la mwisho. Wapinzani msiwe wepesi kujilinganisha na chama tawala. Hamtakiwi kufanya mabaya wanayofanya, nyie mnatakiwa kujinasibisha kama mbadala BORA kuliko wao. Watawala sio SI unit ya demokrasia. Mkubali kukosoana. Uhodari wa nahodha hupimwa kwenye dhoruba.
Hiyo ni confusion. Kuondoa utata wasisitize kuwa wanashiriki uchaguzi reform zikifanyika na zisipofanyika hakuna uchaguzi. Kwa vipi? Hilo ndilo swali.
Replying to @MariaSTsehai
maria waambie viongozi wa chadema watumie kauli hii ili watu waimalike zaidi yaani kiongozi mfn Lissu or heche anaanza kwa kusema hivi:-HAKUNA KWENDA KU..................wanaishia hivi alafu wananchi wanajibu ILI IWEJE na wana malizia NO reform No election.itakuwa imeisha iyooo
2
68
demere kitunga retweeted
๐๐ฐ๐๐ซ๐-๐ฐ๐ข๐ง๐ง๐ข๐ง๐ ๐๐ซ. ๐๐ค๐ฎ๐ง๐๐ ๐๐ก๐๐๐ก๐๐ ๐ ๐ญ๐๐ค๐๐ฌ ๐๐ฆ๐ฆ๐ฎ๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ฒ ๐๐ง๐ ๐๐ง๐๐๐๐ญ๐ข๐จ๐ฎ๐ฌ ๐๐ข๐ฌ๐๐๐ฌ๐ ๐๐๐ฌ๐๐๐ซ๐๐ก ๐ญ๐จ ๐ญ๐ก๐ ๐ง๐๐ฑ๐ญ ๐ฅ๐๐ฏ๐๐ฅ
udsm.ac.tz/news/award-winninโฆ
demere kitunga retweeted
30 years ago, the 4th International Women's Conference in Beijing adopted the international 'Bill of Rights' for women. Sadly, the majority of women remain socially & economically marginalized.
Itโs time to reflect on the BPfAโs implementation & the state of the poor women.
Mwaka 1995, Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Wanawake huko Beijing, uliazimia kufikia usawa wa kijinsia na dunia ikajizatiti kutekeleza azimio hilo. Miaka 30 baadae bado hali ya kundi kubwa la wanawake imedorora.
Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani 2025, UWAWAMA inawaalika tutafakari kwa pamoja miaka 30 ya utekelezaji wa Azimio la Beijing na hali halฤฑsฤฑ ya wanawake wanyonge.
demere kitunga retweeted
Unarudisha huduma za kijamii Ngorongoro bila kumwajibisha aliyeziondoa.
Unagharamia mazishi ya kijana aliyepigwa risasi bila kumwajibisha aliyempiga.
Unagharamia matibabu ya aliyetekwa bila kuwajibisha watekaji.
Ndedere wa Bwana Heri Shamba la Bwana Heri.
demere kitunga retweeted
Rais @SuluhuSamia , kuna mfalme mmoja kwenye Biblia anaitwa Ahab, mmefanana sana matendo yenu.
Ahab alitamani shamba la Naboth akataka amwamishe na kumpa shamba jingine au pesa ili yeye alichukue lile.
Naboth alipokataa kutoa shamba lake ambalo alikuwa ameachiwa urithi na mababu zake (sawa sawa na ardhi ya Wamasai), Ahab kwa kushirikiana na mkewe Jezebel wakafanya hila za kumuua.
Wakatengeneza skendo iliyompa Naboth label ya โMbwa mpumbavu anayebwekea maendeleoโ kwa kumsingizia uongo kwamba amekashifu jina la Mungu.
Baada ya hii hujma, Naboth akakamatwa na kupigwa mawe hadharani mpaka kufa kisha Ahab akafanikiwa kutwaa lile shamba.
Mungu alipoona huu ukatili wa Ahab na mkewe alimwambia jambo moja tu, DAMU YAKO ITALAMBWA NA MBWA NA NYAMA YA MKE WAKO ITALIWA NA MBWA.
Miaka mitatu mbele damu ya Ahabu ililambwa na mbwa wakati maiti yake ikikimbizwa kwenye chariot baada ya kuuliwa na waSiria huku maiti ya mkewe Jezebel nayo ikitafunwa vipande vipande na mbwa baada ya kutupwa nje na Jehu.
Najua ni story tu lakini ina ujumbe unaokuhusu, keep enjoying your cruelty!!
demere kitunga retweeted
โผ๏ธLAMADI BACKGROUND TO PROTESTโผ๏ธ
Huyu ni mtu wa Lamadi ananipa hapa kisa cha wananchi kukasirika na kuandamana! ๐๐พ
๐๐ฝ Mama na mtoto wametekwa hawaonekani ni siku ya tatu
๐๐ฝ kuna binti alipotea akapatikana kauwawa na viungo vyake katolewa
Wananchi hawataki maneno ya kisiasa wanataka polisi walete majibu ya kueleweka
Na #TutaelewanaTu
demere kitunga retweeted
Pamoja na POLISI kuomba RADHI kwa kauli za KIDHALILISHAJI za SACP. THEOPISTA MALLYA, muda wowote kuanzia sasa, nitakwenda MAHAKAMANI kwa ajili ya mteja wangu Wakili PAUL KISABO, ili KULINDA HAKI ZA BINTI ALIYEBAKWA NA KUFIRWA. Tumejipanga KUZUIA ya PAULINE GEKUL YASIJIRUDIE.
demere kitunga retweeted
We need to demand for justice and an end to impunity, RPC wa Dodoma anahamishwa kituo. Aliyeagiza tukio lifanyike hajakamatwa mpaka sasa. Unaweza sema Sheria zetu zimeundwa kwa ajili ya watu fulani tu. End impunity!
demere kitunga retweeted
Happy World Photography Day.
๐๐ง๐๐ฎ๐ฅ๐ ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง ๐๐ก๐จ๐ญ๐จ๐ ๐ซ๐๐ฉ๐ก๐ฒ ๐ข๐ฌ ๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐ก๐๐ฏ๐ข๐ง๐ ๐ ๐ฅ๐จ๐ฏ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ซ ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก ๐ฅ๐ข๐๐.
demere kitunga retweeted
โผ๏ธCCM DESPERATIONโผ๏ธ
Maasai CCM cadres trying to convince the community to stand down and go home
Go home - WHERE? When @SuluhuSamia wants to evict them!?
Maasai people should know that the Colonizer of #Tanzania is CCM - they are occupiers and land grabbers
#stopMaasaiEviction
demere kitunga retweeted
Kwa MASLAHI ya HAKI ya BINTI ALIYEBAKWA NA KULAWITIWA, ewe ndugu yangu MPENDA HAKI, tuwasiliane kwa namba 0718161406 ili kwa PAMOJA tuitafute HAKI ya BINTI. KOMESHA USHETANI.
Japo kwa kuchelewa lakini umejisafisha. Tunasubiri vitendo visadifu kauli
"Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).
Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.
Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.
Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo." - ameandika Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dorothy Gwajima.
#CloudsDigitalUpdates

































