Quincy (@ejdecency) profile picture

LL.B &MHRM

Dar es salaam
Joined January 2011
Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)Photo by Quincy (@ejdecency)
Matan A Mathias Saintil líder de Bandas de Haití: Ejército de Nayib Bukele eliminar con un ataque de drones a en Haití alque operaba en el sector de Boston, en Cité Soleil, Puerto Príncipe. Era rival de Jimmy Chérizier Barbecue. El más débil primero
3
16
209
13,749
Quincy retweeted
Tanzania opposition leader calls treason trial 'political persecution'
22
51
1,705
Quincy retweeted
TANZANIA COURT SENTENCES OPPOSITION LEADER LISSU TO FOUR YEARS IN JAIL FOR INCITEMENT
4
72
7
193
9,092
#TajiriLaKihaya TAARIFA YA KUOMBA MSAMAHA KWA WANAHARAKATI Nimeona ni vyema nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wanaharakati wote ambao kwa namna moja au nyingine niliwakwaza kwa kuwaita “WANAHARAKATI UCHWARA.” Kwanza kabisa, naamini wote tulikuwa na lengo moja: Mwenyekiti Tundu Lissu awe huru na haki itendeke. Kilichotutofautisha haikuwa lengo, bali njia, mbinu na mitazamo yetu katika kulifikia lengo hilo. Ni kweli tulitofautiana sana. Wengine tuliamini njia fulani ndiyo sahihi, wengine walikuwa na mtazamo tofauti. Lakini leo ninatambua kwamba kutofautiana kimtazamo hakupaswi kutufanya tudharauliane, tuwekeane majina au kupunguza thamani ya mchango wa mwenzetu. Kiukweli, suala la hukumu ya kifo ni jambo zito, linalotisha na kuogopesha. Linaweza kumfanya mtu afikiri tofauti, achukue tahadhari au aone umuhimu wa kutumia mbinu nyingine. Hilo halipaswi kutafsiriwa moja kwa moja kama udhaifu, usaliti au kukosa uzalendo. Nimejifunza kwamba si kila anayechagua njia tofauti na yako ni adui yako, na si kila anayekupinga anakutakia mabaya. Leo, pamoja na tofauti zetu, tunapaswa kukumbuka kuwa mapambano ya haki ni safari ndefu inayohitaji mshikamano, uvumilivu na hekima. Miaka minne tutavumilia, rufaa itaendelea, na kwa vyovyote itakavyokuwa, tutaendelea kusimamia kile tunachoamini mpaka haki ipatikane. Tusikate tamaa. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Usiku unaweza kuwa mrefu, lakini hauwezi kuzuia alfajiri kuchomoza. Ninaamini pia kwamba historia haitakumbuka tu nani alikuwa sahihi kwenye mabishano yetu, bali itakumbuka namna tulivyosimama kutetea haki, utu na misingi ya demokrasia. Kwa hiyo, kwa wanaharakati wote niliowakwaza kwa kauli yangu, naomba radhi kwa dhati. Haikuwa sahihi kutumia lugha iliyoweza kudharau juhudi na mchango wenu. Tusiruhusu tofauti za mbinu zitugawanye kiasi cha kusahau sababu iliyotukutanisha. Tunaweza kutofautiana bila kuchukiana, kukosoana bila kudhalilishana na kupingana bila kuwa maadui. Haki ni kubwa kuliko ubinafsi wetu, na safari ya kuitafuta inahitaji kila mmoja wetu. Na hii ndio maana Halisi ya TAJIRI LA KIHAYA NI MMOJA TU✌️
124
107
14
607
28,245
Vamos bien @nayibbukele
122
1,761
44
12,671
98,138
Quincy retweeted
Kisheria, kama sheria imetaja ADHABU YA FINE & pia mtuhumiwa amekutwa na hatia kwa mara ya kwanza kwa kosa husika, mahakama inapaswa itoa adhabu ya (fine) pekee au (kifungo au fine). Lazima itoe OPTION kwa mtuhumiwa. Mfano kama kijana aliyechoma picha ya SSH. Huwezi kutoa adhabu ya KIFUNGO pasipo option ya FINE kama ni mara ya kwanza kwa mkosaji. Kiufupi hukumu ni ya KISIASA.
14
91
1
471
14,928
Unashtakiwa kwa kosa la kuiba nyanya sokoni, halafu unahukumiwa kwa kosa la kubaka! Kosa ambalo hata hukupewa nafasi ya kujitetea! #FreeTunduLissu
4
52
228
5,283
Quincy retweeted
“Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria.” “Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa.” Soma kwa sauti ya LISSU ndio utapata vibe😄
12
184
5
1,514
32,115
Accusation was treason. 
Treason was never proved. Acquit @TunduALissu now. Or stop pretending this was ever a trial and just admit you kidnapped a political opponent. #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
3
44
135
4,821
Hegseth: We have only just begun to fight. We are more determined than ever, more resolute than ever to finish what we have started. We will stand. We will fight. And we will defend this Republic from all enemies, foreign and domestic.
27
162
12
1,598
68,245
Quincy retweeted
10
288
8
677
23,193
Quincy retweeted
Kuna kila dalili MAAMUZI ya mahakama kesho juu ya MHE Lissu lengo lake kubwa ni kutukatisha TAMAA wanachadema na wapenzi wa HAKI. Kinachotakiwa ni nini ndugu zangu? Tayari MHE Lissu katuambia hana shida na mateso ambayo WAKOLONI WEUSI wataendelea kumpa, sisi wafuasi wake tunatakiwa kubaki imara kutokumuangusha kwenye msimamo wake wa kudai haki. Ni ukweli usiofichika kuwa LISSU hana kosa, ila wanafanya haya yote kwasababu ya misimamo yake ya kisiasa na kupigania haki kwenye hili taifa. Hatuhitaji kuumia na maamuzi ya kesho zaidi ya kuendelea kukaza maana tupo mwisho.
24
152
2
961
29,328
The mistake wasn't going into Iran. It was not finishing Iran in the first two months after we started. Never should have sent JD in to negotiate. Big mistake.
799
1,255
72
10,215
130,514
Quincy retweeted
The best way for President Trump to salvage his legacy is to completely obliterate the Iranian regime. No half-measures. Finish it!
131
260
15
2,479
36,929
Time for President Trump to deal with Iran once and for all. Just do it. Nothing to lose now. Finish the job. @POTUS
10,268
7,317
2,001
43,289
5,993,505
🚨OFFICIAL STATEMENT RELEASED Spanish police: "Football is not a combat sport. Death is not a contractual obligation." Case opened for manslaughter. Intent TBD in court.
226
881
51
5,697
78,716
Muliro ameshapokea taarifa kuwa Lissu anakwenda kuhukumiwa kifungo. Pengine amepewa na maelekezo ya kuweka ulinzi mkali siku hiyo. Unahitaji akili kidogo tu kusoma michezo ya dola ya Tanzania. Kama hukumu ya Lissu ingekuwa anaachiwa huru, usingesikia hivi vitisho.
9
61
1
231
4,526
Mkishaona polisi wanatoa matisho ya Usalama eneo la Mahakama, mjue wanajua content ya Hukumu na haitendi haki. The fact kuwa kuna hisia ya dola kuweza kujua Mahakama itaamua nini make a best of 🦘 🦘 Court
16
141
2
619
15,532
Are you aware of Abductions in Kenya? Inspector General of Police Douglas Kanja was summoned to the Milimani Law Courts to address the critical issue of ongoing abductions in Kenya, following the disappearance of Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya.
10
87
8
249
15,818
We are going back to the High Court, Nairobi today to stand in solidarity with Twaha Mwaipaya. Police IG Douglas Kanja is expected to appear before the court today to tell the court what he knows about the abduction of Twaha Mwaipaya. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA
The hearing begins at 11:30 a.m EAT at the High Court Nairobi, 3rd November 2026 before Justice Muteti. For virtual proceedings, here is the court link : tinyurl.com/p7de3t3c #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA
3
28
50
1,926