Elick Mathayo (@elick_mathayo) header
Elick Mathayo (@elick_mathayo) profile picture
Joined January 2022
Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)Photo by Elick Mathayo (@elick_mathayo)
Elick Mathayo retweeted
5
1
57
1,882
Elick Mathayo retweeted
Replying to @royalmediatz
Mali iliojengwa na mwanaume afu kirahisi mke anataka kuhamisha umiliki kwake na watoto, kumsideline baba. Hakuna mwanaume anaweza kuvumilia uporaji huo.
5
3
46
4,718
The double act had multiple cast members. 🎭 Simba SC couldn’t seem to stop the doubles from coming. 🤷‍♂️ #TotalEnergiesCAFCL
20
94
5
1,067
22,184
Ushindi wa kishindo. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
31
65
9
921
18,163
Elick Mathayo retweeted
🇸🇳 𝐏𝐋𝐀𝐘𝐄𝐑 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐍𝐓𝐇! 🎉 Simba SC’s Libasse Gueye has been named Player of the Month for August. 📊 5 games 🎯 5 assists ⚽️ 1 goal ⏱️ 384 minutes 5 assists in 5 games. 🔥 By far one of the best-performing players in Tanzania right now. 🦁 #NguvuMoja #AfricanFootball
2
12
438
9,252
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana ya kuwa msaidizi namba moja na kuahidi utii, uadilifu, uzalendo na uchapaji kazi.
3
15
3
45
1,989
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi mara baada ya Uapisho, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo 29 Agosti 2026.
7
30
2
147
3,891
Taarifa ya Semaji Ahmed Ally kuhusu kikosi na hali ya golikipa Djibrilla Kassali. #NguvuMoja
1
7
127
10,154
Elick Mathayo retweeted
Nilipoiona hii picha ilikuwa majira ya Usiku maeneo ya Riverside tukipata Kahawa na Kashata sambamba na Wastaafu fulani wa taasisi za Kiserikali ndipo ukaja Mjadala wa Mwalimu kutoka Kijiji kidogo Kusini mwa Tanzania kiitwacho Nandagala, anaweza asiwe na nia ila huenda Watu wanamnuia atie nia ukipitia zile comments. Alianza Mzee Hussein na kusema joto kuelekea 2030 linaanza kuwa kubwa, Bookmakers wameanza kuchochoea Kuni na Wadau wa Uchaguzi wameanza kuchungulia wapitie Mlango gani na yote kwa yote hakuna anayetaka kupoteza karata zake huyu Kijana wa Kusini ni Miongozi kwa Dark Horse alisema Mzee Hussein Baribaru Mzaliwa wa Kigoma. Akadakia Mzee Makambi Francis aligusia historia kuwa Mtu pekee aliyewahi kuwa Rais kutoka Ofisi namba 4 yaani Waziri Mkuu ni Mwalimu wa Butiama tena tukiwa Tanganyika ila tangu imeitwa Tanzania hiyo haijawahi kutokea, Kijana wa Kusini ana rekodi nzuri sana ila Historia wakati mwingine inamhukumu sana. Mzee Mushi alikatisha mazungumzo hayo kwa kugusia kuwa ana tofauti na wenzake aliusoma upepo mapema kabla ya kuachia form, alikuwa Mtumbuizaji mzuri aliyefahamu muda sahihi wa kushuka stejini hakutaka kukaa back bencher kama Cleopa Msuya na Mzee John Malecela, hiyo ni kete adhimu kisiasa inaweza kumbeba. Wakati mwingine ule upepo wa awamu ule Utamaduni wetu wa Mkristo kwa Muislam unaweza kuingilia kati ila hapana historia zipo kwa ajili ya kuvunjwa, katika karata serious ambazo CCM wanazo hii ni moja wapo kuna Yeye, kuna Obama wa Tanga, Mwanarizombe na hata Muungwana wa Mji wa Alizeti alichangia Mzee mmoja mwenye lafudhi ya Kihaya ambaye sikumtambua jina. Labda niwakumbushe kitu aliingia kwa madaha Mzee Lugwisha kwa Kingereza cha kuchungia Ng’ombe akasema “Heavy is the head that wears the crown” akatamatisha kwa kusema Kassim ni kichwa kizito ndicho kitavaa kofia ya Kifalme kwakuwa amefanya kazi kwenye zama zote ngumu, zama za Muungwana wa Chato na zama mpya za Samia Hassan wa Unguja, zama zote dume na aliperform Kiume sana. Niliondoka zangu na msemo mpya kuwa huenda Historia itambeba zaidi ya kumhukumu kwasababu Kusini imezalisha Kingpins wengi wa siasa za Tanzania, muda utaamua. Moshi mweupe unauona Kusini?
45
8
6
215
37,583
Elick Mathayo retweeted
Muonekano wa msafara wa MHE. Rais baada ya suala la mafuta
11
8
1
23
9,394
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea mkoani Ruvuma, kwa shughuli za kikazi, leo tarehe 13 Machi 2026.
1
4
12
440
Elick Mathayo retweeted
Ukianza kujiimarisha kiimani ni kama umefungulia bomba la majaribu 🙌🏼
40
107
6
988
25,284
Elick Mathayo retweeted
Hakuna mwanaume aliyefanikiwa anayewafukuzia wanawake. Mwanaume dhaifu ndiye mwenye kiu ya mapenzi na attention. Mwanaume imara anamwangalia Mungu, familia, malengo yake, na kujirekebisha.
6
7
59
1,768
1) Drinking today, steals tomorrow’s happiness Regular consumption leads to brain fog, lack of motivation, hyper ventilation and stress. Alcohol spikes your dopamine levels which results in craving the substance even more.
1
1
21
1,474
Hata iweje, Ukweli utashinda mwishowe✍🏼
2
14
1,839
Elick Mathayo retweeted
🦁 Countries with the most Lions: 1. 🇹🇿 Tanzania – 14,500 2. 🇿🇦 South Africa – 3,284 3. 🇧🇼 Botswana – 3,063 4. 🇰🇪 Kenya – 2,515 5. 🇿🇲 Zambia – 2,349 6. 🇿🇼 Zimbabwe – 1,362 7. 🇪🇹 Ethiopia – 1,239 8. 🇸🇸 South Sudan – 866 9. 🇳🇦 Namibia – 801 10. 🇲🇿 Mozambique – 678 11. 🇮🇳 India – 674 12. 🇺🇬 Uganda – 493 13. 🇨🇲 Cameroon – 270 14. 🇨🇩 DR Congo – 210 15. 🇸🇩 Sudan – 183 16. 🇧🇫 Burkina Faso – 155 17. 🇳🇪 Niger – 134 18. 🇧🇯 Benin – 120 19. 🇹🇩 Chad – 115 20. 🇳🇬 Nigeria – 50 Source: World Population Review
571
1,228
418
9,819
2,547,247
Hard work is the way to success!
11,911
34,947
2,027
556,913
33,283,829
Makamu wa Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma leo tarehe 16 Desemba 2025. Akitoa salamu za rambirambi mara baada ya mazishi hayo, Makamu wa Rais amesema marehemu Jenista Mhagama alikuwa mtumishi wa kweli wa watu wake ambaye aliwatumikia na kuwajali. Amesema Serikali, Wananchi na Chama cha Mapinduzi, wamepoteza mtu muhimu ambaye mchango wake hautasauhaulika katika nyadhifa mbalimbali ambazo amewahi kutumika. Makamu wa Rais ameongeza kwamba Serikali na Chama Cha Mapinduzi itaendelea kuenzi mchango wa marehemu Jenista Mhagana kwa kuendelea kuwa watetezi wa wananchi wa chini, ambapo ametoa wito kwa Viongozi wa Serikali kuhakikisha wananchi wa hali ya chini ndio wanakuwa kipaumbele chao cha kila siku. Aidha Makamu wa Rais amewasilisha salamu za shukrani za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alizozitoa kwa familia na wananchi wa Ruvuma kwa ujumla kutokana na maisha ya marehemu Jenista Mhagama. Amesema Rais Dkt. Samia ameguswa sana na msiba huo kutokana na mchango aliotoa marehemu Jenista Mhagama enzi za uhai wake. Pia amewashukuru Viongozi wa Kanisa ambao wameshiriki katika Ibada mbalimbali zilizofanyika za kumuombea marehemu Jenista Mhagama kuanzia mkoani Dodoma hadi mkoani Ruvuma.
10
30
1,876
Sala yangu ipae mbele zako Bwana, kama moshi wa ubani Altareni, na kuinuliwa kwa mikono yangu, kuwe kama sadaka ya jioni!
2
15
1
218
2,305
Elick Mathayo retweeted
JESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI KWA YEYOTE ATAKAYE KIUKA SHERIA ZA NCHI
41
258
194
350,091