Pinned Tweet
Mwanariadha wa Kenya Abel Mutai alikuwa karibu na mstari wa kumaliza mbio, akachanganya alama za kumaliza mbio na kusimama akifikiri ameshaliza na ni mshindi, ingawa hakuwa amevuka mstari ili kuwa mshindi wa kwanza, mita kumi kabla ya finish line.
Mwanariadha wa Hispania Ivan Fernandez alikuwa nyuma yake na akagundua Mutai amechanganya na kusimama kabla ya kuvuka mstari wa ushindi.
Angempita na kuvuka mstari ili awe wa kwanza?
Aliamua kumkumbusha bado hajavuka mstari wa ushindi na kumtaka amalize, akimwambia kwa Kihispania ambacho Mutai hakuwa anaelewa hivyo alitumia nguvu ya ziada hadi kumsukuma avuke mtari ndio afuate yeye katika nafasi ya pili👀
Fernandez alimpelekea Mutai kumaliza mbio zile na kuwa wa kwanza na yeye wa pili.
Alipoulizwa kwa nini alimsadia Mutai na yeye akawa wa pili licha ya kuwa na nafasi ya kuwa wa kwanza akasema
"Ndoto yangu ni siku moja kuwa na maisha kwenye jamii inayoweza kusaidiana na kusukuma kwenye mafanikio "
"Sijamfanya ashinde, hizi zilikuwa mbio zake, alistahili kushinda yeye kwani alikuwa na nafasi ya kufanya hivyo"
"Nini faida ya ushindi huu? Heshima ya medali hiyo itakuwa wapi? Mama yangu atanichukulia vipi?"
"Wengi wetu tunajinufaisha na madhaifu ya wenzetu badala ya kuchukua nafasi hiyo kuwapa nguvu na kuwafanya kuwa Bora"
Hii ilitokea kwenye mbio za Burlada, Hispania mwaka 2012.
Ivan hakushinda mbio hizo kuwa wa kwanza lakini alishinda mioyo ya wengi.
Angeshinda huenda asingekumbukwa kama anavyokumbukwa kwa alichokifanya kwa Mutai.
Watu wema hawajaisha, tenda wema!
Usidhurumu mali ya mtu, Usitembee na mke wa mtu, Usiende kuharibu ugali wa mtu, Ukienda kinyume na hayo Muda wowote Utashushwa futi sita kwenda Chini.
2
137
Ajira wanatoa wa Ndugu zao, Mnatumbua na magari na mali za Serikali na sisi Tumeamua kujiajiri ili tuishi maisha yetu ya shida na Taabu ila napo mnaona nongwa ili tulipe deni la taifa au? Tunazidi kukwazana tu Tumechoka😡😡😡😡😡😡
Watu binafsi wanaofanya biashara mitandaoni wanatakiwa kulipa kodi, mpaka wanaofanya biashara kwa Kutumia WhatsApp Business nao inabid walipe kodi.
Tangazo hili limetoka
3
291
Kitanda 5/6 na godoro lake inchi 8 clean kabisa mwenye kuwahi kulipia
Bei 245,000/= Vyote
Tabata Sanene
0658750830
3
237
Set Ya Makeup yote viti 2 Kabati 2 na dressing yenye kioo
Bei 485,000/= Fixed
Mawasiliano
0658750830
Sofabed 5/6 na godoro lake inchi 8 clean sana na bedsides 2
Bei 580,000/= Fixed
Kimara Temboni
0658750830
Shelf kali sana za dukani ziko 6 clean kabisa
Bei 245,000/= Fixed kila moja
Mbezi Beach kwa Zena
0658750830
Sisi tunasimama na vizazi vyetu maisha yetu yote mbona hatusemi kokote?
This quoted post is unavailable.
1
260
Happy Birthday Mkamalia Anko mwaisa 🙏
27.6.2025 Happy Birthday to me. 🎂🧁
SATIVA WAS BORN IN KATAVI NATIONAL PARK AFTER HEAD SHOT.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
117
🌿 SHAMBA LA EKARI 20 – LUDIGA, BAGAMOYO 🌿
💰 Bei: Milioni 10 tu (500,000/= kwa ekari)
📍 Ludiga, Km 3 kutoka Kiwangwa CCM
🚗 Gari inafika hadi shambani
🌱 Eneo tambarare, linalofaa kwa kilimo aina zote
🔥 OFA YA SIKU 2 TU! Lipia leo upate shamba lako!
📞 0658 750 830
167





































