
No noise. Just growth. ๐ฅท๐ #LFC
Dar es salaam
Joined February 2023
- Tweets11.6K
- Following398
- Followers1.2K
- Likes6.8K
๐ช retweeted
Hata wengi wakikupinga, hakikisha unasimamia jambo unaloamini kabisa upo sahihi mpaka mwisho.
Sidhani Kama Kuna Mwanamke Anayeweza Kumaliza Slice Tano Za Mkate. Hivi Viumbe Havilagi Hata. ๐๐ค
๐ช retweeted
Good morning! Kila asubuhi inakuja na mipango ya wanadamu, lakini uamuzi wa mwisho unatoka kwa Mungu. Tunamuombea Lissu asubuhi ya leo asimame kwa utulivu na amani, akijua kuwa ukweli na haki huwa havishindwi kamwe. Siku njema na yenye baraka kwenu nyote. โจ๐๏ธ
๐ช retweeted
Muda mwingine usiwe na haraka ya watu kuona kile unachofanya.
Hakikisha kwanza kile unachofanya kina msingi imara.๐
๐ช retweeted
"Amani ya akili yako ni ghali kuliko kupendwa na kila mtu.
Jifunze kuweka mipaka na kujiepusha na kelele zisizo na tija.
Lenga kwenye malengo yako, mengine yajipange yenyewe."
Good Morning Everyone ๐๐๐
๐ช retweeted
Usikae kimya kama kuna changamoto zinakusumbua,chanamoto hizo zinaweza kukuletea matatizo ya afya ya akili.
Tafuta watu unaowaamini waambie changamoto hizo angalau kichwa kipumue.
Good morning X familia.
๐ช retweeted
Good morning Katika maisha usiwe mwema kwa watu kwa sababu tu unatarajia siku moja watakurudishia wema huo Saidia pale unapoweza heshimu wengine na toa moyo wako kwa nia njema
๐ช retweeted
Zoea, zoea kuwala ma barmaid?.
Kuna wengine wanadawa siku utapiga nautaoa mazima - uje tulilia sisi shauri yako๐.
๐ช retweeted
Ukimuona mtu anatumia line ya Halotel wala usiullize nitume kwa number ipi wew tuma tu Halotel huwezi kuwakopa๐

















