🌪 (@ithemeddy) header
🌪 (@ithemeddy) profile picture

No noise. Just growth. 🥷💀 #LFC

Dar es salaam
Joined February 2023
Unatoka Geita Kwenye Dhahabu Unaenda Kariakoo Kuuza Chupi
40
51
4
397
18,818
🌪 retweeted
Humu, kila mtu ana mtu anayempenda. Nakushauri, nenda tu DM ukazungumze naye.
2
9
9
184
🌪 retweeted
Zoea, zoea kuwala ma barmaid?. Kuna wengine wanadawa siku utapiga nautaoa mazima - uje tulilia sisi shauri yako😀.
18
22
1
42
766
Ukimuona mtu anatumia line ya Halotel wala usiullize nitume kwa number ipi wew tuma tu Halotel huwezi kuwakopa😂
28
45
1
270
10,944
Mwanaume ambae hajadate na Irene Wala jack aje atufungulie siku kwa maombi
38
37
120
3,261
🌪 retweeted
Ugali + Furu + Sato + Mchicha >>>>>> Oya hapa Mwanza naenjoy tu 🔥
7
11
1
30
622
Nakubali 👊🏽 😂😂😂
Replying to @no_Icant_Let_Go
Hatuna njaa sisi.
1
100
Wanaume wa siku hizi mnadeka sana eti ikiwa imesimama inauma sana 🤔
23
22
1
82
3,610
Njaa Ya Mapanzi , Isikufanye Ule Takataka Za Mahusiano📌 Good Morning Fam ❤️
8
13
24
266
Kuna ile mtu anakuja na gari lake ku park mbele ya eneo lako kazi karibia masaa kadhaa hashuki na vioo ni tinted 🤦‍♀️
4
2
13
249
Mabinti zangu wadogo ,kizazi chako sio cha majaribio ,asante.
20
28
7
80
11,303
🌪 retweeted
Dada ukiona tume jaa inbox yako usidhani kua wewe ni mzuri sana , tuliskia unagawa hovyo hovyo
4
11
20
421
🌪 retweeted
Unalipenda litoto la mtu unalijali halafu baadae linakuja kuleta usenge, Mapenzi usenge usenge sana 💔🙌
13
15
2
74
1,510
Siku nyingne ya kuendelea kuogopa Marafiki, sijui ma Bff,matakataka gani sijui Aiseeh.💔🙌
30
25
6
120
15,793
Babu Ana kazi ya kusema wajukuu zangu bado sijaona mafanikio yenu kama vile hiyo mitaji katupatia..🚮
47
73
6
131
6,207
Ikianza kuchange from goodnight babe to sorry nilipitiwa na usingizi Hiyo ni dalili ya kwanza ya kuchokwa, Dalili ya mwisho ni simu ilikua silent. 💔😂
8
10
56
843
🌪 retweeted
📌 Baba wa kambo ni wanaume ambao hao wanawake wasingewapa nyuchi kama wasingekuwa wamezalishwa tayari.
6
22
48
719
🌪 retweeted
Sio kila Mahusiano yapo kukufunza mengine yapo ili upate Ukimwi na Magonjwa ya Zinaa. Choose wisely🫵🏽
13
29
69
907
Mtu anaitwa Mudi au Sele huwaga hacheki na wowote 😅
2
5
1
13
377
Wapo wanaopenda kupokea msaada lakini husahau mkono uliowainua Maisha yana njia yake ya kufundisha shukrani.
3
6
12
173
🌪 retweeted
Hivi ukiwafungia pastor na kahaba kwenye chumba kimoja usiku kucha unahisi ni nani ata mshawishi mwenzie? 🤔😂
13
24
64
1,052