Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata) header
Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata) profile picture

#PdmNafakaStore., NAUZA MCHELE SUPER JUMLA NA REJA REJA maharage pia unga ,mahidi. n.k karibuni sana.., /Ukijiona Unajua Kila Kitu Ujue Umechoka Kufikiria.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2018
Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)Photo by Mr.Pdm🙏 (@paschalmadata)
#PdmNafakaStore ushindi wetu unawategemea nyie ndugu kutoka mitaa yote ya dar es salaama…. Tupo goba na mwananyamara sokoni. Piga sasa 0675708084.
1
45
3
62
5,945
Kukosa malezi ya mbaba na mama kwa pamoja . Au kukosekana wajomba wa maana 🤝
Ni wapi tunapokosea kuhusu malezi ya watoto?
44
Mr.Pdm🙏 retweeted
Ni wapi tunapokosea kuhusu malezi ya watoto?
10
1
3
21
3,486
Mr.Pdm🙏 retweeted
Karibuni massy beauty 😍 kuna offer kibao huu mwezi hadi november. Ukisuka kwetu at our opening dicounted prices unaoshwa nywele buree Tupo mbezi beach Karibuni sana🥰🙏
🤖 Made with AI
2
3
5
222
Mr.Pdm🙏 retweeted
Iwe ya kuchemsha unywe supu au kukaanga ule makange?👀
5
31
3
56
1,487
Mr.Pdm🙏 retweeted
Wewe jaman mambo 🤗💝
Huhitaji kuthibitisha kila taarifa unayoisikia kukuhusu 😎
7
5
1
61
4,841
RT😍
Masterpiece Wardrobe Design Done✅ Our wardrobes shouts Creativity and Beauty❤️ Call/WhatsApp +255783809061 Tunapatikana Sinza Africasana
10
14
272
Huhitaji kuthibitisha kila taarifa unayoisikia kukuhusu 😎
7
11
2
52
6,568
🔥🔥
Habari! 😊 Karibu ujipatie bidhaa nzuri na bora za usafi kwa bei nafuu. Tunakuletea ubora unaostahili kwa usafi wa nyumba, ofisi na mazingira yako. Karibu sana kufanya oda yako leo! Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
1
48
Kuna wakati kila kitu kinagoma sio mapenzi sio kwenye familia sio kazi sio hela sio biashara yaan kila kitu kina goma unabaki unajiuliza nini ufanye Lakini imani nakwambia Mungu ndo kimbilio lako Huna pa kukimbilia na kulia zaidi yake Mungu…: soma wafilipi4:13 jumapili njema🙏
1
2
51
Huo ndo ukwel ukiona mwanamke anaweza kukujibisha tu kwanamna yoyote shtuka mapema .
Ikifika mahali ambapo mwanamke hachagui tena kauli ya kutumia mbele yako achana naye au iko siku utamuua.
92
Sema humu pagumu sana unaweza kutulia siku ukaibuka na Jambo lako unashangaakila mtu anakujua 😂😂🙌 au hawa hawa tunaonana nao ndo huwa wanatoa code?? Makasiriko mnayatoaga wapi????
79
Mr.Pdm🙏 retweeted
Replying to @makumbawaleo_5n
Biashara haihusiani na boss bishara inatakiwa ijiendeshe huwezi kulipa wafanyakazi kwa hela ya mfukoni tujue kutofautisha na kama bishara haiwezi kujiendesha funga .
1
1
10
1,906
Katiba mpya ni muhimu sana haijalishi watawala hawapendi Vipi lakini ni muhimu sana na inatakiwa iwe lazima sasa. Na kwenye Katiba inatakiwa kuwana kipengele cha viongozi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali ili kuongeza uajibikaji na hata kwenye afya n.k
1
85
𝐇𝐄𝐋𝐋𝐎 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐈𝐊𝐀 Mmeamkaje wadau wa jukwaa.... Karibuni sana tutakuwa nanyi kuanzia muda huu hadi saa 5 Asubuhi. Shiriki, Jifunze, Changia mawazo na uliza maswali ukiambatanisha na hashtag #ElimikaWikiendi
2
17
15
612
Mr.Pdm🙏 retweeted
Mzee kama huyu ni wewe nisamehe popote pale nilipokuvunjia heshima kumbe mkubwa mwenzangu. Happy birthday ankoo.
Happy birthday to me😊🙏
2
6
27
1,245
Mungu akubariki sana ndugu yangu 🙏✌️
Kheri nyingi sana mwanangu Mungu akujaalie maisha yenye baraka.Pokea kidogo next time nitakutumia kingi ✌️✌️.
2
1
4
794
SMS yako ningekuwa najua namna yakuprint ningefanya hivo Aisee nimefarijika sana Maneno makubwa mno niliwahi kumwandikia hivo mama yangu “Pokea kidogo changu siku nyingine nitatuma kingi “🙌 alinishukuru mno mpka nilifeel furaha sana 🙏
Kheri nyingi sana mwanangu Mungu akujaalie maisha yenye baraka.Pokea kidogo next time nitakutumia kingi ✌️✌️.
1
124
Aiseee fundi 🙌
Enjoying life exactly how you would expect a gorgeous woman to.
130