Kwa events mbalimbali, @suitmseleleko tunakuletea suti zenye vitambaa vya kipekee kutoka Uturuki 🇹🇷 kwa : TSh 180,000
Tunauza jumla na rejareja.
🚚 Delivery uhakika
📍 Msimbazi, Kariakoo, Mtaa wa Mchikichi na Manyema, nyuma ya jengo la Simba
📲 Piga/WhatsApp: 0762617089
m.s.a.k.i retweeted
💨 Zote design ni za moto 🔥
A: Xiaomi 18 Pro Max
B: iPhone 18 Pro Max
C: Oppo Find X10 Pro Max
m.s.a.k.i retweeted
Asali nyuki wakubwa mbichi kabisa
18,000
Call/ watsup 0752872612
@asiliasali
m.s.a.k.i retweeted
Watu wa Tanga mkitaka samaki Fresh, Bus moja tuu Ruksa.
Linatoka saa 7 mchana Mwanza, linafika saa moja asubuhi kesho yake.
Tupigie 0762344677
m.s.a.k.i retweeted
Hizi ni model mpya za Hisense za mwaka 2026 ULED & Mini LED.
Labda tu ufahamu nini maana ya ULED? Mini LED?.
Kwa lugha nyepesi ULED ni technology inayotumiwa na TV za hisense kuboresha picha kwenye screen. Uboreshaji huo unajumuisha Rangi, contrast na mwanga.
MiniLED ni technology ambayo hutumia backlight inayotumia taa nyingi ndogondogo za LED nyuma ya screen ambapo sasa matokeo yake utaona weusi mzuri, HDR iliyoboreshwa n.k
Gharama zake ni kubwa zaidi ya QLED
*▫️55U6S______1,450,000*
*▫️55E8S_______1,650,000*
*▫️65U6S_______1,885,000*
*▫️65E8S________2,025,000*
*▫️75E8S________2,560,000*
*▫️85E8S________3,190,000*
📞0747625726
m.s.a.k.i retweeted
Dunia inashindania madini muhimu kama graphite,nickel,cobalt na rare earths zinazotumika kwenye betri,magari ya umeme na teknolojia za nishati safi. Tanzania ina fursa ya kuwa zaidi ya msambazaji wa malighafi kwa kuwekeza kwenye uchakataji na teknolojia.
#JukwaaLaUziduaji2026
m.s.a.k.i retweeted
"Usimwonee mgeni, wala kumtendea jeuri; kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri. Usimtese mjane yoyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao, na hasira yangu itawaka moto, nami nitawaua ninyi kwa upanga; na wake wenu watakuwa wajane, na watoto wenu mayatima.
Ukimkopesha mtu aliye maskini, katika watu wangu walio pamoja nawe; usiwe kwake mfano wa mwenye kumdai; wala hutamwandikia faida.
Ikiwa wewe kwa njia yoyote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa; maana hiyo nguo ni kifuniko chake, hiyo peke yake ni nguo ya ngozi yake; je! Atalalia nini? Itakuwa, hapo atakaponililia mimi, nitasikia; kwa kuwa mimi ni mwenye rehema." (Kut 22:21-27)
m.s.a.k.i retweeted
Finishing nzuri na very standard🔥 inaendelea kwenye Site Yetu.
Lyne Furniture & Interior ndio mabingwa wa Kufanya Finishing Nzuri kwenye nyumba yako Na kuhakikisha Mteja unapata unachokitaka kwa Uwaminifu Mkubwa😍
Call/WhatsApp +255783809061
m.s.a.k.i retweeted
#Mtumba
CONTACTS for pickup🛵📦 and delivery🛵📦: +255718007463 WhatsApp📞,Calls☎️, TxT✉️
🚛📦#MIKOANITUNATUMA
#return 2 days after #delivery
m.s.a.k.i retweeted
Je, ni hatua zipi za kuchukua mtu anapopitia na Ukatili wa Kijinsia?
Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Iringa, ASP Elizabeth Swai, alifafanua hatua muhimu za kuchukua alipokuwa akizungumza katika jukwaa la #ElimikaWikiendi, kwenye mjadala wa Ukatili wa Kijinsia kwenye ndoa na mahusiano na athari zake.
🎥 Sikiliza mjadala kamili kupitia YouTube channel
🔗 tinyurl.com/3kxzn3s7
#ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
m.s.a.k.i retweeted
Adjustable pants high quality 🔥
Size 30,31,32,33,34,36,38
Price 30000 Tzsh @ 1
Delivery ✅
Mikoa yote tunatuma (kwa gharama ya mteja)
Location 📍 External darajani (Maziwa Road) Dar es
wa.me/255763509705














































