Pinned Tweet
Huyu mwanamke Wangu ,natakiwa nipate tu PESA amenivumilia Sana ,akiamua kukimbia hata sahivi siwezi mlaumu.
RCM retweeted
UPDATE:
Mwenyekiti wa Jimbo la Kyela Mhe. Victoria Swebe ameachiliwa Huru na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya muda huu.
RCM retweeted
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
RCM retweeted
Grifters whitewashing Museveni's autocratic regime in the name of 'content creation', state-sponsored
RCM retweeted
PUMZIKA KWA AMANI, BINTI.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoelezeka, tunakuaga wewe uliyeondoka duniani kabla ya wakati wako. Uhai wako umekatishwa kikatili na watu wazima waliopoteza utu, huruma na thamani ya uhai wa binadamu.
Inasikitisha zaidi kusikia kwamba, licha ya vifo na maumivu ya wahanga, bado kuna wanaokimbilia kuendeleza kile wanachokiita MARIDHIANO, kana kwamba wamesahau kwamba UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIO MSINGI WA MARIDHIANO YA KWELI NA YA KUDUMU.
Binti, kifo chako hakitakuwa sababu ya sisi kunyamaza.
Tutaendelea kudai na kupigania haki yako na haki ya wahanga wengine wote. Hatutakubali damu iliyomwagika, maisha yaliyopotea na machozi ya familia zilizofikwa na majonzi vifunikwe kwa pazia la maridhiano yasiyo na ukweli, haki wala uwajibikaji.
MARIDHIANO SIYO KICHaka CHA KUJIFICHA KUKWEPA UWAJIBIKAJI.
Hatuwezi kujenga amani ya kweli kwa kusahau waliopoteza maisha yao wala kwa kuwanyima wahanga haki wanayostahili.
Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu mzito. Hakuna maneno yanayoweza kufuta maumivu yenu. Tunawaombea nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
PUMZIKA KWA AMANI, BINTI. HAKI YAKO TUTAENDELEA KUIDAI. KUMBUKUMBU YAKO HAITAFUTIKA.
×××××××××××××××××××××
REST IN ETERNAL PEACE, DEAR DAUGHTER.
With profound sorrow and indescribable grief, we mourn your untimely departure from this world.
Your life was cruelly cut short by adults who appear to have lost their humanity, compassion and respect for the sanctity of human life.
What makes this tragedy even more heartbreaking is hearing that, despite the deaths, suffering and anguish of victims and their families, some are still determined to proceed with what they call RECONCILIATION, as though they have forgotten that TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE VERY FOUNDATION OF GENUINE AND LASTING RECONCILIATION.
Our beloved daughter, your death will not silence our voices.
We shall continue to demand and fight for justice for you and all other victims.
We shall not allow the blood that has been shed, the lives that have been lost and the tears of grieving families to be buried beneath a false veil of reconciliation that has neither truth, justice nor accountability. RECONCILIATION MUST NEVER BECOME A SANCTUARY FOR THOSE SEEKING TO EVADE ACCOUNTABILITY. There can be no genuine and lasting peace built upon forgotten lives, suppressed truths and denied justice.
My deepest condolences go to your family, relatives, loved ones and everyone affected by this heartbreaking loss.
REST IN ETERNAL PEACE. WE SHALL CONTINUE TO DEMAND JUSTICE FOR YOU. YOUR MEMORY SHALL NEVER BE ERASED.
BAK MWABUKUSI
RCM retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
🤣🤣🤣🚮
Sir Alex Ferguson has pulled an equally intriguing surprise by naming veteran Paul Scholes on the #MUFC following his return to the club...
60
RCM retweeted
🚨 Mauricio Pochettino: “I am very excited to be here. It's an honour; it's a privilege to be in this amazing club”.
“Looking forward to starting to work!”.
RCM retweeted
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel
#JamiiForums #JFMatukio




























