Pinned Tweet
Kama hakuna sababu ya msingi ya kukufanya uwe single mother,usithubutu!!
Just imagine una watoto watatu wanasoma na huna msaidizi alooh,huo mchaka mchaka utakaokula sio wa kawaida .
Editha retweeted
Ndoto yake ilikuwa kumtumikia Mungu kama Padre lakini mambo hayakuwa hivyo. Mwaka 2007 akajiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu vizuri. Sasa anamtumikia Mungu kwa kuvunja mitandao ya wauza madawa ya kulevya. Bila upendeleo, Kamanda Aretas James Lyimo ni mchapakazi haswa! Apewe maua yake Aisee.
Editha retweeted
Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu, nimeweka tumaini langu katika neno lako.
Zaburi 119:114 🙏🏽
Editha retweeted
Waefeso 3:20
“Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu.”
Editha retweeted
Kuna nyumba nimeamia sijamaliza hata mwezi kuna dada nimemkuta ana roho nzuri sana ananijali sana ikifika night ananitumia meseji hii ni njombe Jitahidi uwahi kurudi, nikifika geto naye anakuja na hotpot za msosi mkononi adi nimeanza kuogopa.🤔
Editha retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Editha retweeted
Samehe, Sahau kisha Songa mbele.
Hatua zako maishani zinahitaji amani zaidi kuliko chuki unayoihifadhi.
Editha retweeted
2 Wakorintho 4:8–9
8 Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
9 twateswa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi.
Editha retweeted
Pressure cooker inapika ugali, wali, mboga mboga, kande, nyama, maharage..n.k
Tsh 120,000
Sufuria mbili Lita 6
0755693113
📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma
Editha retweeted
“Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa.
”
— Mathayo 25:13 (Biblia Takatifu)
Editha retweeted
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...👏🇹🇿
Good morning familia.
Editha retweeted
Ukiona Umekosa Suluhisho Kwenye Tatizo Lako,Basi Ujue Apo Hakuna Tatizo Isipokuwa Kuna Ukweli Unaopaswa Kuukubali..🤔📌
Editha retweeted
Kila kijana ana vita yake, usipime safari yako kwa mafanikio ya mwingine.
Good morning Friends
Editha retweeted
Sometime kuna nyakati Fulani za utafutaji unapitia na inafika hatua unaomba sana MUNGU, watoto wako wasipitie.
Kwa wakati Huu maisha ni tough..
Editha retweeted
Tunaishi kwenye dunia ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa hii inafikirisha sana
Good morning X Family
Editha retweeted
📖 Isaya 53:5
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,
Alichubuliwa kwa maovu yetu;
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Editha retweeted
Kila asubuhi ni zawadi, kila siku ni fursa na kila hatua unayopiga ina maana. Usijilinganishe na wengine, heshimu safari yako na endelea kupambana. Wakati wako utafika.
Good Morning Family



























