V (@srvalence1) profile picture

๐Ÿ‘

Johore, Malaysia
Joined June 2022
Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)Photo by V (@srvalence1)
Replying to @cr_xniper
Very sure! What a forex trader needs in trading is only CLEAR SETUP from his/her analysis and found in easy way if you trade with Just market OPEN REAL ACCOUNT AND Find Clear Setup easy. ๐Ÿ‘‡one.justmarkets.link/a/q9cxrโ€ฆ
2
1
6
1,266
Clean money will finish us one day ๐Ÿ˜‚
248
1,393
85
9,078
454,708
Ukiachana na trading212 mnatumia broker gani kununua stocks za US na sio ETF? Awe regulated ๐Ÿค
3
17
1,094
Hisa ya kwanza ilitolewa mwaka 1602 na kampuni ya Dutch East India Company. Retail forex trading ilieneq mwaka 1990. Before ilikua ni institutions kama bank. Crypto ilianza 2008/2009 na kila siku kitu kipya kinakuja. Kipindi naandika ebook ya crypto street sikuwa nimeweka topic ya TOKENIZATION NA REAL WORLD ASSETS. Imebidi niiongeze. So, kama ulichukuaga ebook. Nitext WhatsApp upate new version. No extra cost. Ni FREE!
1
18
903
Njia rahisi ya kujua ya kujua waTz wana pesa ni SUBSCRIPTION na hizi financial assets. Tumeona kwenye bonds zinavyokua oversubscribed. Juzi kulikua kuna Zan Timiza ETF. Walikua wanataka 5 billion Tzs. Imekuja 9.6 billion Tzs.
4
5
101
6,467
Hamna siku ntafurahi sana kama Tanzania tukiwa na GOLD ETF. Ikija ETF hata mwanachuo anaweza afford. Here's the plan. -BOT na Tume ya madini wanunue dhahabu kwa wachimbaji wadogo[ Kg 5 hadi 10 kwa week] -Hiyo dhahabu inawekwa kama dhamana. Kila kilo 1=hisa 1000 za ETF kwenye DSE. -Mtu wa kawaida ananunua kupitia app ya DSE. Kianzio kiwe 20,000 TZS [sawa na 0.3g]
4
4
48
2,641
Kuna familia zimenyooka aisee. Unakuta wana AGM ya kila mwaka. Unakuta wana Family Trust na inaheshimiwa. Mwenyezi Mungu atupe familia kama hizi.
13
27
2
260
11,856
Afu mbona kama Msera anaongea Fact
16
60
4
368
24,836
Just do it
37
816
27
4,171
341,639
Psychology Of People Who Donโ€™t Post Online
62
1,177
43
5,538
244,241
เคœเคฌ เค•เคฟเคธเฅเคฎเคค เค†เคชเค•เฅ‹ เคจเฅ€เคšเฅ‡ เค—เคฟเคฐเคพเค, เคคเฅ‹ เคจเคฏเคพ เค‡เคคเคฟเคนเคพเคธ เคฐเคš เคฆเฅ‹ ๐ŸŒฟ๐Ÿ’š
128
1,728
82
15,679
2,430,374
Tupo kwenye zama ambazo kila mtu anachochea tusiwakopeshe au kuwasaidia ndugu zetu sababu hawataturudishia hela au kua na shukrani na misaada yetu. Wazazi wetu wangekua na hii mentality kuna ndugu wasingekuja toka vijijini milele, wao na vizazi vyao ๐Ÿ’”
19
41
5
256
9,985
One thing about careers most of them eventually come to an end, so choose yours wisely. ๐Ÿ˜‚ At 70, Iโ€™m still pretty sure Iโ€™ll be able to spot my setup. In fact, Iโ€™ll probably see it coming from a mile away.
7
23
202
3,277
"Njia bora zaidi ya kupata kitu unachokipenda USIKIPENDE" -Show low interest ndio utakipata Sirjeff 2024
16
37
171
5,138
Watu watakuhukumu. Wengine watakutazama na kupata inspiration. Lakini mwisho wa siku, hakuna hata mmoja wao anayelipa bili zako. Ishi maisha yako, Sali Zaidi, Fanya yako.
18
151
6
754
11,567
๐ŸŒฐKOROSHO ZA KUOKA๐ŸŒฐ Tamu, safi na kavu zenye ubora wa hali ya juu! ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ“ 1kg = 22,000TZS tu ๐Ÿ“ 500g=11,000TSH ๐Ÿ“ Napatikana KINYEREZI (kifuru shule) , Dar es Salaam ๐Ÿšš Delivery Dar & mikoani ipo ๐Ÿ“žwa.me/255760546147 ๐Ÿ‘ Wahi sasa, tamu zinaisha haraka!
1
8
9
213
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
The Moral of This Story? NEVER Trust the Dead ๐Ÿ’€
1
3
22
2,084
Ukishanya analysis na ijipe ufungue position, stop watching every price tick..itakuaffect either uifunge mapema na bado price iende full tp bila wewe u end up leaving money on the table ama false confidence ikuingie uongeze positions then price inareverse u end up losing more
6
4
75
1,713
Hakuna mtu wakukwambia ni namna Gani sahihi ya kuishi,life is choice kama hufarahii ulivyo. Chagua unavyo Pendezwa navyo.
6
14
296
Uwezo haupatikani kwa Hisani,Ni matokeo ya utayari wa kujifunza,kujaribu,Nidhamu na Muendelezo.
5
13
29
638