Themkulima retweeted
Seti itatimia nikipata Rotaveta ya Swaraji kutoka Agricom kama ilivyovaa hiyo Field King Disc 20 ya Agricom
Themkulima retweeted
Njooni mchukue haya mahindi wakuu....mkulima nipate chochote kitu.๐ฟ๐ฟ#songea โ at Malawi
Themkulima retweeted
Miaka inakimbia umri wa kuwa busy na maisha ila wewe umengโangโana na baby umekula, kwani wewe shirika la chakula.๐คช๐
Gharama za uzalishaji sasa ziko juu sana ila shambani bei iko chini hawa wanunuzi ni kichefuchefu @themkulima @Nalimasaumu
Themkulima retweeted
Ni siku nyingine tena wakulima.
#ShambaLaMaarifa
Themkulima retweeted
Yani Mtu Kakuonyeshea Upendo, Thamani, Heshima Anaku-Tag alafu wewe hutaki Ku-comment, Ku-repost, wala Ku-like post yake.
Dah watu mna myoyo sana.
Themkulima retweeted
Ukiona Fuso imefuata mzigo basi kuna mengi yaliyojiri kabla yake. Ila INAWEZEKANA na INALIPA. Hapa ni Kenya
Themkulima retweeted
Haya mambo ni ya
@SamataJr_12
@ThomasJosephat3
@Mazikuagric
Wewe ndugu yangu @themkulima sikuelewi saizi upo wapi?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Themkulima retweeted
Welcome to my new venture โ BASEPRO ENGINEERING LIMITED.
We provide:
Civil & building construction | Industrial real estate solutions | Industrial development & planning
Motto: Your Industrial Vision, Engineered into Reality.
Connect with us:
[email protected]
baseprotz.com
Themkulima retweeted
Kutafuta kwa jasho ni sehemu ya mapambano yetu
Ushindi ni sehemu ya kifuta jasho chetu
๐ Historia ya kweli uandikwa mara moja tena kwa wino mzito.
Themkulima retweeted
Maji yameanza kuingia shambani, yatakaa kwa muda miezi miwili na nusu. Yataka shambani mwezi aprili, mwezi mei na nusu ya Juni. Shamba letu linategemea maji ya mvua tu hakuna mto wala hakuna scheme ya kumwagilia. Shamba liko mkoa wa Pwani, wilaya ya MKURANGA.
Themkulima retweeted
Boss kaja shamba bila kumtaarifu msimamizi wa shamba ๐คฃ
Kumbe msimamizi katoroka kaenda kusalim mke Ila kaacha kazi saafi Mpunga unayeya.
#SinyelaSchmesMbaraliMbeya
Themkulima retweeted
1/2 Irati F1 Onion For Farmers Who Demand Results
Last season challenged many. This season, donโt leave success to chance.
Proven high yields in real fields
Uniform, market-ready bulbs
Preferred by results-focused farmers
From my experience as an Agronomist: the right variety +
Themkulima retweeted
Replying to @MarekaMalili @TBoundBuses
wa mjini wana nicheka๐
Hawajui kazi yake chaka
Themkulima retweeted
"Tunayavuka kwa kamba madaraja yalovunjika"๐ฟ๐ฟ madalali wanasemaje huko @themkulima โ at Dodoma, Tanzania
Themkulima retweeted
Wakulima wa mpunga hii Beche Plus izingatieni sana ni bidhaa moja quality sana inaangamiza aina zote magugu.











































