ABD (@SamataJr_12) header
ABD (@SamataJr_12) profile picture

AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY๐Ÿฆ… First Love Yourself ๐Ÿซถ FARMING isnโ€™t a Job. Itโ€™s A LEGACY. There is no Culture like Agriculture Bet on yourself

Madibira Mbarali Mbeya
Joined October 2013
โ€œKila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yakeโ€ Muda hamsubiri Mnyongeโœ๐Ÿป
2
18
2
74
Likizo ndefu uitumie kujitafutia Ada mpaka ya form 1 mwaka 2027 @Joy_Mbura Kikubwa ulijue jembe tu๐Ÿ˜† Weโ€™re 2026-2028 Season ๐ŸŒพ๐ŸŒพ @themkulima @Mazikuagric @FOODiCOLTD kaka niandalie kabisa Box za Becha๐Ÿ˜†
1
1
10
454
Huu Mtago wenu wa Nyasa huku Nyororo mnakuja kuutoa lini? @SouthernBuses @TBoundBuses Mna uhakikaa hizo chuma mpyaa kabisa au ndio used Malawi maana sio kwa kuteseka huku๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
2
2
10
926
Wale wanyama 2 wa Super star waliobaki pale Cfao motorโ€™s hawa hapa amekabidhiwa rasmi @GodemaE Total zinakuwa 4units kibongobongo hizi Benz za Duka total ni 5 units hiyo moja anayo Mainline carrier basiiii, Rasmi SSF amezama miguu yote kwenye game la kubeba Nzito Bongo๐Ÿ“Œ
2
4
2
25
3,501
Their mum finally gave birth to a girl after 5 boys and hereโ€™s how she grew up among them๐Ÿฅนโค๏ธโœจ
1,146
7,004
386
69,432
2,664,416
Wameniombaa MAONI wenyewe lakini @TBoundBuses @SouthernBuses na hapo nipo busy nimeshindwa kutype sana๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
10
2
1
26
3,386
Sawa unalima @themkulima @Mazikuagric @ThomasJosephat3 Unalimia wapiii? Mbarali kwetu๐Ÿซถ
2
2
9
585
Mchina kwenye starehe ndani hana mpinzani ๐Ÿ˜†
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Wapunguze ziwe Seat 48 Au waongee vizuri na Marcopolo akaombe Desa kwa Mchina maana Bus zote za kichina zenye Seat 53 zina Legroom kubwa na nyingine zina mpaka choo ndani mfano ABC yeye ni Seat 53 na choo&Mlango wa kati.
22
4,762
Tuichakatee kitonga usiku mnene na G7 la Christopher Mwambepo @TBoundBuses @SouthernBuses @iDreamfoto chuma linapandaa kama linashuka vileee๐Ÿ™Œ
1
3
8
718
A two year old girl saved her diabetic father who had a hypoglycemia attack. Her parents taught her what to do but didn't expect her to remember it because she was still very young.
752
9,529
1,131
112,976
10,701,509
Ila BreakPoints Makumbusho๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ @BLIZZSS bei ya bidhaa zao haiendani na ubora aisee๐Ÿšฎ
1
3
942
Tajiri wangu @Joy_Mbura bye byee msalimie shemeji Mpembaa๐Ÿ˜†
1
1
2
18
3,255
40ft imekaa utamu sana kwenye hii Trailer ya Superdoll @GodemaE @TBoundBuses Tajiri INYASI pande za Geita anawakilisha na Shacman X3000 ndani ya Bluecoast Team๐Ÿ™Œ
1
3
1
9
923
DAR kuna mademu mashauzii bwanaa๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ na Huruma zangu bwana nimekutana na Mdada Bank alikwenda kulalama hela zake kwenye kadi zinapotea tukagongana customer care pale mimi nikasolve shida yangu, mwenzangu shida yake ikaonekana hela zinakatwa kwenye kadi zinakwenda kwenye malipo ya Application mbalimbali zikiwemo Snapachat, whatsapp business n.k picha limeanza Hana Balance hata mia kwenye kadi na kuna kama 41k imekuwa blocked inakwenda kwenye makato kifupi hana hata mia kwenye kadi na hana nauli cash hata mia alitegemea angetoa kwenye ATM pesa iliokuwa blockers baada kusolve tatizo lake tunatoka Nje namuuliza anapokwenda akanitajia nauli kwa daladala ni 700/= nikampa buku afanye nauli akaniambia yeye hapandi Daladala ana BOLT nikamwambia asante nikarudisha Buku langu mfukoni nikasepa zangu tu nimemuacha atajijua mwenyewe๐Ÿ˜†
45
30
10
436
47,012
Hivi hawa watu wanaokuja kuchora nyumba zinazojengwa huku mtaani kwa kuwaandikia โ€œSIMAMISHA UJENZI FIKA OFISINIโ€ ni huwa wanataka nini kikubwa haswa,,au hawataki majirani na raia wapya mtaani kwao??
1
5
609
Show za BENZ na Nzito yake @GodemaE Pundaa afeee mzigo ufike๐Ÿ™Œ
3
9
1
57
6,073
๐ŸšจTBT threads, Drop your Favorite TBT Picture..!โœ
1
211
SSF kwenye Nzito ni kama ameamua kuingia na zotee, hizo HILUX za Escort zipo 8 na zote mpyaa na Maganda yake toka South Africa @GodemaE
7
5
1
53
8,177
SSF na Nzito zake mbili yupo road leo safari Iringa na nyingine Nyororo kwa ndani anapitia Bagamoyo road @GodemaE @hamzaalbhanj kwa sasa Yupo mitaa ya Tazara mjiandae kwa folen wenye magari yenu road huko๐Ÿ˜…
3
2
27
1,971
โ€œIran ni taifa la Kiislam na ni kinyume na mafundisho ya Kiislam kumiliki silaha za Maangamizi kama Nuclear, hatma ya kutamatisha maisha ya Watu sio yetu bali Mwenyezi Mungu ndio maana hatushambulii wasipotushambulia na tunashambulia kujilinda, uwezo wa Nuclear tunao ila hatuwezi kuwa nazo na tunawakaribisha mje mkague ila mwenye nazo mnamfahamu na hamtaki kumkaguaโ€ - Dr Masoud Pezekshan, Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
4
3
24
1,967
Nipate hili la mkopo๐Ÿ™
Kopa tu ununue hilo gari, maisha ni mafupi sanaโ˜บ๏ธ๐Ÿ”ฅ
2
1
2
10
1,061