TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW) header
TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW) profile picture

Afrika kama ilivyo

Joined August 2022
Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)Photo by TRT Afrika Swahili (@trtafrikaSW)
TRT Afrika Swahili retweeted
Mmoja kati ya wafanyakazi wawili wa Kenya Airways waliokamatwa na kushikiliwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi uliopita ameachiliwa, afisa mkuu wa Kenya Airways alisema Jumatatu. Kukamatwa kwa wafanyakazi hao wawili hulilazimu Kenya Airways (KQ) kutangaza kwamba ilikuwa inasitisha safari za ndege kwenda mji mkuu wa Congo, Kinshasa, tarehe 29 Aprili. "Nina shukrani kubwa kutangaza kwamba Lydia Mbotela, Meneja wa KQ nchini DRC, ameachiliwa hivi punde na mamlaka huko Kinshasa," Korir Sing'oei, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, alisema kwenye X. Hakutoa taarifa kuhusu hatima ya mtu wa pili aliyekamatwa.
2
3
786
TRT Afrika Swahili retweeted
Raia wa Kenya, Uganda na Tanzania wanaweza kusafiri hadi nchi 70 au zaidi bila kuwa na kibali cha viza. Kenya na Tanzania kutoka Afrika Mashariki ndizo pekee zimeorodheshwa katika pasipoti 10 bora Afrika. Tueleze maoni yako kuhusu orodha hii.

4
4
470
TRT Afrika Swahili retweeted
Misitu ni muhimu katika kusaidia kuhakikisha maisha bora ya binadamu na maendeleo ya kijamii huku ikipunguza kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira. Hizi hapa ni nchi 10 zenye misitu mikubwa zaidi barani Afrika.
7
14
722
TRT Afrika Swahili retweeted
Nani mnadhani atashinda leo #AfCON2023 ?
81%DRC
19%Guinea
42 votes • Final results
2
1
642