Adamoo (@Addy_Adams) header
Adamoo (@Addy_Adams) profile picture

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania
Joined November 2011
Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)Photo by Adamoo (@Addy_Adams)
6.11.2026: Hukumu ya TUNDU LISSU NA KUMBUKUMBU YA KESI YA MWALIMU NYERERE YA MWAKA 1958. HISTORIA INATUFUNDISHA NINI? Leo, tarehe 6 Novemba 2026, Tundu Lissu ameshinda kesi ya uhaini lakini mahakama ikasema amepatikana na hatia ya uchochezi (incitement) na kuhukumiwa kifungo cha miaka 4. Tunamshukuru Mungu kwa kesi ya uhaini kutupiliwa mbali na kumpongeza Lissu kwa umahiri na ujasiri wake hadi kujitetea. Lakini hukumu ya uchochezi inasikitisha, inafikirisha na inatukumbusha historia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ambaye naye mwaka 1958 alikutwa na hatia ya jinai ya kashfa (criminal libel) wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Makosa haya mawili ni tofauti kisheria, lakini kesi hizi zinafanana katika jambo muhimu: zote zilihusu kiongozi mkuu wa upinzani aliyeshtakiwa na Serikali kutokana na kauli zake za kisiasa. Turejee historia. Tarehe 27 Mei 1958, Mwalimu Nyerere alichapisha makala katika gazeti la Sauti ya TANU, Toleo Na. 29, akiwakosoa Wakuu wawili wa Wilaya wa Serikali ya kikoloni kwa madai ya kutumia madaraka yao vibaya na kuihujumu TANU. Akafunguliwa kesi ya jinai Na. 2207/1958 chini ya kifungu cha 187 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code). Serikali ya Uingereza ilitoa maelezo kuhusu mashtaka hayo katika Bunge lake (House of Commons) tarehe 26 Juni 1958. Nyaraka za UN zinathibitisha kwamba Mwalimu alikutwa na hatia katika mashtaka mawili na kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi 3,000 za Afrika Mashariki, sawa na pauni 150 za wakati huo, au kifungo cha miezi sita. Alilipa faini tarehe 12 Agosti 1958 na hakukata rufaa. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa. Wanaharakati wa kupigania uhuru huko London walihoji iwapo Mwalimu angepata haki katika mahakama za kikoloni na kudai kuwepo kwa waangalizi huru. Serikali ilikataa, ikisisitiza kuwa uamuzi wa kufungua mashtaka ulikuwa chini ya mamlaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Miaka 68 baadaye, tunajikuta tena tukitafakari maswali kuhusu uhuru wa kisiasa, matumizi ya sheria za jinai na nafasi ya mahakama katika mfumo wa kidemokrasia. Pamoja na hukumu ya mwaka 1958, Mwalimu Nyerere aliendelea na harakati zake hadi Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961. Funzo muhimu ni kwamba hukumu ya jinai dhidi ya kiongozi wa kisiasa si lazima iwe mwisho wa safari yake ya kisiasa. Historia inaonesha umuhimu wa kuendeleza majadiliano (dialogue) badala ya mapambano na vurugu (confrontation). Kwa wanaothamini demokrasia, mfumo wa vyama vingi, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na utawala wa sheria, hukumu ya uchochezi dhidi ya kiongozi mkuu wa upinzani inaibua maswali mazito yanayohitaji mjadala mpana wa kitaifa. Je, mipaka kati ya ukosoaji halali wa Serikali na uchochezi wa jinai ikoje? Je, mwanasiasa awe mpinzani au wa chama tawala atakosoa je Serikali au kudai maboresho au mageuzi bila kuhofia kutafsiriwa kuwa mchochezi? Je, wananchi watawezaje kudai haki zao kwa nguvu ya hoja bila kuonekana wanachochea uvunjifu wa amani? Walimu na wanataaluma tutawezaje kufundisha, kuchambua sera, kutoa mapendekezo na kukosoa mifumo ya utawala bila kuhofu kuitwa wachochezi? Viongozi wetu wa dini watawezaje kutekeleza wajibu wao wa kinabii wa kukemea maovu na kusimamia haki bila kuonekana wanachochea waumini wao? Uhuru wa kujieleza una mipaka yake na hauhalalishi haki ya kukashfu, kuchochea vurugu au uhalifu. Lakini ni muhimu sana kuweka mipaka iliyo wazi kati ya uchochezi wa jinai na ukosoaji halali wa kisiasa. Iwapo sheria za jinai zitatumika kudhibiti ukosoaji halali wa kisiasa au kitaalamu, tunaweza kujikuta tunadhoofisha demokrasia, haki za binadamu, kuongeza hofu na kuzidisha mkwamo wa kisiasa na kiuchumi badala ya kuutatua. Hukumu ya leo inatupa sababu nyingine ya kujadili kwa kina uhuru wa kujieleza, uhuru wa mahakama, haki za raia na za vyama vya upinzani na mipaka ya matumizi ya sheria za jinai katika siasa. Ninarejea msisitizo wangu wa muda mrefu kuhusu falsafa ya Rais Samia ya 4Rs. Tujenge utamaduni wa kusikilizana na kukosoana kwa hoja TUJISAHIHISHE
44
285
11
810
20,727
Majaji, kwa uamuzi huu mmejivua heshima, mmeondoa kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na kuifedhehesha nchi yetu! Dhamiri zenu ziko wapi? Kiapo chenu kina thamani gani? Namshukuru Mungu sina undugu na yeyote kati yenu. Kila mmoja wenu abebe aibu na uwajibikaji wa uamuzi wake. Vyeo vitapita, majoho yatavuliwa, lakini fedheha ya uamuzi huu itawafuata katika historia!
32
245
4
729
14,856
nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mzee alute mughwai lissu. moyo wangu unakwenda kwa familia yake, hususan mke na watoto wake, katika kipindi hiki kigumu. mungu amsamehe, na ailaze roho yake mahala pema peponi 💙. 🎥: @izzy_pro_director, @TheChanzo:
34
204
6
1,045
29,625
Adamoo retweeted
This is the best way to end a fight.
441
701
65
23,679
2,409,874
29/10/2025 🕯️🕊️
1
45
94
930
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi. Zaidi jamii.app/RmbrncOctDths #JamiiForums
6
148
1
497
7,346
Kwa ndugu zetu, rafiki zetu waliopoteza maisha October 29, 2025, endelea kupumzika salama. The justice may be delayed but never denied🕊️🙏🏽❤️
44
64
736
29th October, 2026 Continue resting in peace innocent brothers, sisters, mothers, fathers and children. Justice delayed is not Justice DENIED🙏🏾 Clara we miss you dearly🕊️
9
116
1
260
3,701
It’s heartbreaking that they’re still unwilling to have this conversation, still refusing to confront the truth and acknowledge that what they did was nothing short of inhuman🙌🙌🙌
24
231
13
604
14,960
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
237
1,258
63
3,383
109,453
Adamoo retweeted
Lord, on this solemn one-year anniversary, we remember and honor the souls lost on October 29th in Tanzania.We pray for eternal rest for those who passed, strength for their grieving families, and peace,justice, and healing for the nation. They are not forgotten🇹🇿 #InLovingMemory
14
295
3
747
13,036
New Price🚨 iPhone 18 Pro 256Gb- 🔵⚫️3,600,000 🔴4,000,000 512Gb-4,550,000 iPhone 18 Pro Max 256Gb- 🔵4,050,000 ⚫️4,050,000 🔴4,150,000 512Gb- 🔵4,600,000 ⚫️4,600,000 🔴5,100,000 All colors available E-sim only Non-Active with 1yr warranty ☎️0652795468
1
13
15
845
Adamoo retweeted
😂😂😂😂
Replying to @Chibothehustler
Usajili tulikua tunafanya kwa kuwaibia Simba SC wachezaji wao waliokua wanawatangaza tunawaiba Airport nk Sasa hivi Simba SC wanafanya siri na wametukomoa wanaYanga kwa kufanya usajili kimyakimya
1
40
Adamoo retweeted
Linen pants available Size 30-38 45,000 Call/WhatsApp 0622494383
14
1
11
1,046
Adamoo retweeted
Koma ndoo 😅😅
You Better Watch Your Back @YoungAfricansSC
1
41
HATUWEZI 😁
6
8
1
86
4,256
Adamoo retweeted
Replying to @Addy_Adams
Asante “Malezi yanachangia” Sana 80%.watot wa BaoBao nao excuse yao n Kata!? Mbona sis tumesoma kata..ivi unajua wazaz hua wana omba shule zifunguliwe watoto wamewachosha!? Suala la Malezi limekua la walimu pekee wakati nyakat zetu ilikua n jamii nzima.wazaz tubadirike
3
3
143
🤣🤣🤣🙌🏻
You Better Watch Your Back @YoungAfricansSC
2
1
56
Huyo mama anaweza ishia pabaya san kwa tamaa zake mbaya 1. Kwa mujibu wa sheria zetu, kupokea hela kimakosa na akajulishwa kuwa si zake na akakaidi kuzirejesha ni kosa la jinai kwenye PENAL CODE Cap 258 kfungu kidogo (e) “kutumia hela kwa hiari yako kunaweza kuonyesha nia ya udanganyifu hata kama unapanga kuzilipa baadaye” 2. Sheria nyingine ya LAW OF CONTRACT Section 72 kinasema kwamba “mtu aliyepokea pesa kimakoda anatakiwa kuzirejesha. Hapa mkuu tumia wadosi wa kaki, hizo hela utazipata vizuri tu, sheria zipo wazi.
Fainal,,, mlisema yule Mama mstaarabu kwa jinsi anavyoongea lakini ndio hivyo tena kaingia tamaa japo nilimuambia achukue 1mil anitumie iliyobaki…
7
6
1
29
6,381