GINIMBI MESSO🇹🇿 retweeted
Sitosahau kuna siku krismasi mzee alinunua Utumbo kilo 15, tulikula hadi mwingine tukavaa kwenye vidole kama pete😂💔🙌
Oya Ile Memes Ya "Huyo Anaekuja Gheto Kwako Akikufia Una Maelezo Ya Kutoa Kwa Polisi" Leo Ndo Nimeishuhudia Manzi Kafia Gheto(Chuga)
4
GINIMBI MESSO🇹🇿 retweeted
UPEKEE WA TUNDU LISSU:
Tundu Lissu ndiye mtu PEKEE DUNIANI ambaye wakati ANAHUKUMIWA, mtandao wa INTANENTI, ULIZIMWA kwa kuhofia NGUVU na USHAWISHI alionao kwa WATANZANIA WENGI.
Mtu najua huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji ila anashangaa kuona hela aliyonipa sichanganyi na nyingine 🤔.
8
GINIMBI MESSO🇹🇿 retweeted
Halafu mtu yupo nyumban ukimfumania ukitaka kumuacha anasema mali tumetafuta wote 😁😁😁 tugawane 50/50
GINIMBI MESSO🇹🇿 retweeted
Replying to @MnyamaLenz11357
Endelea na nyeto tu maana mpaka upate hela atakua kashakua chuma chakavu
GINIMBI MESSO🇹🇿 retweeted
Kwa hii update mpya ya X, kila ukirepost post inatakiwa kuonekana kwenye timeline yako? Sasa sisi tunaopenda kurepost kila kitu tutafanyaje? 😂😂










