𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26) header
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26) profile picture

𝐅𝐚𝐧á𝐭𝐢𝐜𝐨 𝐝𝐞 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 𝐅𝐜 @LFC

Bilbao, Spain
Joined March 2026
Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)Photo by 𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 (@Pmane26)
FACT 👉 Kama hujafika levo za kushindana usishindane.
24
39
1
141
5,608
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
11
115
2
119
2,097
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Kuna muda utafika utaanza kuelewa kwanini watu wanaongea peke yao barabarani 😂😂😂
20
34
1
57
1,112
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Mmeamka salamA? Naomba RT🙏 Electric kettle, 2.5L Tsh 30,000 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma.
10
80
2
82
1,759
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Good Morng XFamilia🌤
17
60
2
72
1,032
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Ukishawaonesha ya kwamba ni wa thamani kwako, wao wanaanza kukuoneshea dharau na jeuri wakihisi huwezi kuishi wala kwenda mbali nao🤭 ~Wazee wa Sumbawanga✍️
14
30
41
663
Nilisema kama wanao umia na kuponda ujio wa huyu kocha ni wana simba sc wanaujuwa uwezo wa jamaa ni mkubwa sana. Leo wanakuja na hii kwakua jamaa kaja yanga mimi sio mganga but simba abebi ubingwa. Yanga wamepata kocha nzuri sana soon ile GSM anaharibu ligi tutaisikia.
12
9
32
1,870
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Tunaiyanza siku kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwenye haki miliki ya uhai wetu. 🙏 Good morning friends of me ayo dimeji. ❤
17
28
40
464
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Kubabeki kumbe mimi ndo na ufunguo wa ofisi aisee 😳😳 Gm x familia
26
38
4
261
27,758
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Kuanzia leo nina kazi ya ku unfollow wachezajii mpira wote wasiojitambua nishaanza na wa Man u, City na timu nyingine zote duniani sifagilii ujinga 🚮
4
11
2
15
399
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Asante Mungu kwa kuniamsha salama naomba unitangulie kwenye kila kitu nitakacho kwenda kukifanya leo kikapate baraka zako, Amina 🙏 Kumekucha watu wa Mungu 🌄 Good morning X family 👋
30
41
49
1,365
Hustle zetu zikajipe familia. 🙏 Good morning GOD's people. ❤
14
19
22
429
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Bro To Bro 👊👊
26
61
2
182
3,552
Nipo hapa kuwaleteeni matokeo dakika ya 5 villa anaongoza 2 na msimamo wa ligi huo hapo. Game inapigwa odi trafodi mani yuu analiwa huku hali ni mbaya suala la kulinda migongo man u wameshindwa kabisa.
4
1
7
240
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Hizi charts umekuta kwa sim ya mkeo alafu yeye ajajua kama umeziona. Na kweli huna hata senti tano kipande. Utafanyaje mkuu hapa utamuuliza mkeo au utapoa tu ? 😂😂👇
11
16
46
8,025
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Ukishakuwa mkubwa hauhitaji alarm ili uamke matatizo yako yanakuamsha automatically 😂😂😂
20
33
68
1,026
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Wengine wanatembea na wapenzi wao wengine tunatembea na madeni yetu😂😂 😂
8
17
27
522
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Mzazi wa kiume unatakiwa uwe mzazi wa kiume kweli kweli ili mtoto wakiume afuate kwako. Achana na mambo haya: 1. Kusuka na kuvaa heleni. 2. Kuvaa vitu na mapambo ya kike sehemu za mwili wako. 3. Vaa kwa heshima na mavazi ya kiume. 4. Usiwe mlegevu na usiye na sauti mbele yake.
18
28
1
52
1,414
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Ule mstari wale majamaa waliandika Mungu atashibisha wenye njaa pale tulipigwa za uso , Acha kula uone kinacho kukuta 😂😂
4
6
20
508
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞 𝐦𝐚𝐧𝐞 retweeted
Kuishi Kwenye Utakatifu Kuna Raha Yake Ndugu Zangu...Muwe Na Jumapili Njema
15
25
31
428