Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja) header
Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja) profile picture

Vice Chancellor of Iramba. 29/10/2025 HATUTASAHAU ๐Ÿ•Š ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ

Republic of Croatia
Joined July 2022
Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One ๐ŸŒป (@AlexSamoja)
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha ๐Ÿ˜‚ He is back โœŠ
100
221
6
2,746
94,841
Ila humu ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚
2
118
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Sema wakali mkilivalia njuga jambo๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
28
46
2
522
16,304
๐ŸฅนDaah Huyu Jamaaa ๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Mpaka internet inazimwa HUYU NI MWANAUME๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
11
440
8
2,080
31,568
Kunamtu Kasema Bodaboda wa nchi hii wanamaisha mazuri kuliko polisi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikasema niwafikishie wanangu tujadili kauli hii
21
33
1
271
7,787
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
My Prayer kwa Familia ya Lissu wanapitia kipindi kigumu Mno ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ’”mna acha Msiba mnaenda kusikiliza hukumu ya ndugu yenu ๐Ÿšถโ€โ™€๏ธ
25
144
4
770
9,923
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Kumkuta Lissu na kesi ya kujibu lilikuwa kosa la kwanza kwa mahakama. Hii kutomkuta na UHAINI, lakini ukaanza kutafutatafuta makosa ya UCHOCHEZI, ni kosa la pili, na ni precedent mbaya sana. Mungu ni mwema -- tutaondoka na huu upuuzi in our lifetime!
23
200
1
1,026
35,690
Leo ndo mmeamini kwanini mikataba mikubwa mikubwa ya biashara na uwekezaji, huwa inasema ikitokea kuna mgogoro kati ya Mwekezaji na Jamhuri, kesi itaenda kusikilizwa Mahakama ya London na sio Kisutu ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ,
1
2
83
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Unajua kwenye uislamu, nifaaq (unafiki) ni kitu kibaya kuliko kufr (ukafiri). Wanafiq watakaa moto wa chini kabisa siku ya qiyama. Ogopa sana mtu anayesapoti pande zote mbili kinzani. Yaani CCM yupo na CHADEMA yupo, haeleweki. Anajifanya yupo huku mara yupo kule
32
34
4
252
6,436
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Azam siku mambo yakibadilika tutakuwepo kuwakumbusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
28
28
2
483
22,212
Ukichimba KISIMA ili watu wapate maji na wewe utapata maji. Ukichimba kisima ili watu wazame jua na wewe kuna siku UTAZAMA
9
87
4
570
11,691
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
KUMAMAKE naichukia Tanzania kwa Moyo wangu Wote hapa nianze tu process za kutafuta ID ya KENYA kumamake.๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
15
51
4
308
4,981
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
TUNDU LISSU ; MKAMZIKE MZEE ALUTE!!
27
127
20
713
19,622
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
88
77
16
533
20,256
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
โ€œKesi yako ya kuiba kwa kutumia silaha imefutwa kwa kuwa upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha mashtaka, ila utahukumiwa kwa kosa dogo la โ€œUzurulajiโ€
21
42
2
314
6,343
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Nani Yuko Na Huzuni Tulie Wote ๐Ÿฅบ
15
28
45
545
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Dogo katoka shule, kanikuta nimekaa nje hapa Kabla hata hajashusha begi wala kunisalimia swali lake la kwanza likawa, "Kaka, vipi TAL ameshinda kesi?" Nimemjibu amehukumiwa miaka 4 jela. Amehuzunika sana, mpaka sasa amekataa kula, anasema hana njaa. ๐Ÿ’”
29
79
490
9,748
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Zamani paper likivuja mtihani unasogezwa mbele. Leo limekuja kama lilivyo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
19
42
1
432
10,999
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Bro forgot everything except who the GOAT is.๐Ÿฅน
143
2,534
104
18,596
273,551
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Dondosha jina la mchezaji unaye mkubali katika kila ligi: โ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NBCPL โ ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ EPL โ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ La Liga โ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Serie A โ ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bundesliga โ ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ligue 1
47
27
18
249
10,663
Sekenke One ๐ŸŒป retweeted
Huu mtandao ni kwangu tu?๐Ÿค”
19
13
199
9,503