Sekenke One ๐ป retweeted
๐ฅนDaah Huyu Jamaaa ๐ซก๐ซก๐ฉ๐๐พ
Mpaka internet inazimwa HUYU NI MWANAUME๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐พ
Sekenke One ๐ป retweeted
Kunamtu Kasema Bodaboda wa nchi hii wanamaisha mazuri kuliko polisi ๐๐
Nikasema niwafikishie wanangu tujadili kauli hii
Sekenke One ๐ป retweeted
My Prayer kwa Familia ya Lissu wanapitia kipindi kigumu Mno ๐๐ฟ๐mna acha Msiba mnaenda kusikiliza hukumu ya ndugu yenu ๐ถโโ๏ธ
Sekenke One ๐ป retweeted
Kumkuta Lissu na kesi ya kujibu lilikuwa kosa la kwanza kwa mahakama. Hii kutomkuta na UHAINI, lakini ukaanza kutafutatafuta makosa ya UCHOCHEZI, ni kosa la pili, na ni precedent mbaya sana.
Mungu ni mwema -- tutaondoka na huu upuuzi in our lifetime!
Sekenke One ๐ป retweeted
Unajua kwenye uislamu, nifaaq (unafiki) ni kitu kibaya kuliko kufr (ukafiri). Wanafiq watakaa moto wa chini kabisa siku ya qiyama. Ogopa sana mtu anayesapoti pande zote mbili kinzani. Yaani CCM yupo na CHADEMA yupo, haeleweki. Anajifanya yupo huku mara yupo kule
Sekenke One ๐ป retweeted
Ukichimba KISIMA ili watu wapate maji na
wewe utapata maji. Ukichimba kisima ili watu
wazame jua na wewe kuna siku UTAZAMA
Sekenke One ๐ป retweeted
KUMAMAKE naichukia Tanzania kwa Moyo wangu Wote hapa nianze tu process za kutafuta ID ya KENYA kumamake.๐๐๐๐๐๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ
Sekenke One ๐ป retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
Sekenke One ๐ป retweeted
โKesi yako ya kuiba kwa kutumia silaha imefutwa kwa kuwa upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha mashtaka, ila utahukumiwa kwa kosa dogo la โUzurulajiโ
Sekenke One ๐ป retweeted
Dogo katoka shule, kanikuta nimekaa nje hapa Kabla hata hajashusha begi wala kunisalimia swali lake la kwanza likawa, "Kaka, vipi TAL ameshinda kesi?"
Nimemjibu amehukumiwa miaka 4 jela. Amehuzunika sana, mpaka sasa amekataa kula, anasema hana njaa. ๐
Sekenke One ๐ป retweeted
Zamani paper likivuja mtihani unasogezwa mbele. Leo limekuja kama lilivyo.๐๐
Sekenke One ๐ป retweeted
Dondosha jina la mchezaji unaye mkubali katika kila ligi:
โ ๐น๐ฟ NBCPL
โ ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ EPL
โ ๐ช๐ธ La Liga
โ ๐ฎ๐น Serie A
โ ๐ฉ๐ช Bundesliga
โ ๐ซ๐ท Ligue 1

























