𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface) header
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface) profile picture

HOSOME Chadema | Bavicha Head of Information and Communication Depertment 2018 - 2024

Mikocheni Kinondoni DSM
Joined December 2019
Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)
"Hatuwezi kuingia katika muungano hadi tutakapojifunza kuhusu mipango ya majirani zetu." Sun Tzu Mwandishi wa kitabu cha The Art of War. Jipatie kitabu cha THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI. TSh 20,000 tu WhatsApp: 0757 606 215
2
1
994
"Kusonga na Jeshi lililo na nidhamu huleta faida; lakini kusonga na umati usio na nidhamu ni hatari kubwa." Sun Tzu, Mwandishi wa Kitabu cha The Art of War. Jipatie kitabu cha THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI. TSh 20,000 tu WhatsApp: 0757 606 215
1
2
1
1,021
"Jenerali aliye na ujuzi katika kushambulia ni yule ambaye adui yake hajui atetee nini, na aliye na ujuzi katika kujilinda ni yule ambaye adui yake hajui ashambulie wapi." Sun Tzu Jipatie kitabu cha THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI. TSh 20,000 tu WhatsApp: 0757 606 215
3
886
β€œUsipomjua adui, wala wewe mwenyewe kujijua, utashindwa katika kila vita.” Sun Tzu Jipatie kitabu cha THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI. TSh 20,000 tu WhatsApp: 0757 606 215
2
2
835
Maarifa sahihi huongeza uwezo wa kufanya maamuzi sahihi. Jifunze mikakati ya biashara, uongozi, ushindani na namna ya kukabiliana na changamoto kupitia The Art of War. Na wewe unasubiri nini? Agiza yako leo! TSh 20,000 tu WhatsApp: 0757 606 215 Jifunze mikakati. Ongeza ufanisi
1
2
856
THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI Jifunze mikakati ya ushindi katika biashara, uongozi, ushindani na maisha. Bei: TSh 20,000 tu Agiza kupitia WhatsApp: 0757 606 215 Jifunze mikakati. Fikiri kwa kina. Tenda kwa wakati. πŸ™πŸ½
3
3
747
THE ART OF WAR (SANAA YA VITA) – TOLEO LA KISWAHILI Jifunze sanaa ya vita kwenye biashara, uongozi, ushindani na maisha N.K Joseph Mbilinyi (SUGU), Sharifa Suleiman, Dua Lyamzito na Belchomas Ponera wamejipatia nakala zao. Pata yako leo. TSh. 20,000 WhatsApp: 0757 606 215
2
2
11
1,632
"Jenerali anayeshinda vita hufanya mahesabu mengi katika hema lake kabla ya vita kuanza" THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI Bei: TSh 20,000 tu Agiza kupitia WhatsApp: 0757 606 215 Karibuni sana. πŸ™πŸ½
1
1
3
1,042
THE ART OF WAR – TOLEO LA KISWAHILI Kimetafsiriwa na Apolinary Boniface Margwe (Apollo), kikiwa na dibaji ya Mhe. John Mnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA. Kinazungumzia mkakati, uongozi, mipango, nidhamu, maamuzi na ushindani. TSh 20,000 tu. WhatsApp: 0757 606 215 Agiza leo
1
3
1,129
The Art of War, Kitabu kilichoandikwa na Sun Tzu akizungumzia misingi ya mkakati, mipango, uongozi, nidhamu, ushindani, tathmini ya mazingira na kufanya maamuzi. Moja ya vitabu maarufu duniani. Coming soon katika lugha adhimu ya kiswahili. Usikose nakala yako.
3
3
3
1,426
Kuna njama zinazoendelea za kutaka nihusishwe na mauaji ya James Temba, ambaye mwili wake uliokotwa ukiwa umekatwa kichwa. Kuna accounts inaitwa @Sisimizi3 ipo X (Twitter), Facebook, Instagram na Tiktok imenitaja kwa jina na kuweka namba yangu hadharani na kusema kuwa ninahusika na mauaji hayo kwa kile alichokisema kuwa ni kutokana na mimi kumdai marehemu simu aina ya iPhilone 17, nimetekeleza mauaji hayo. Nieleze kuwa, mimi sifanyi biashara Kariakoo kama alivyoeleza wala sijihusishi na biashara ya simu, kilichoelezwa ni uongo, hivyo sihusiki kwa namna yoyote ile na tukio la mauaji hayo. Aidha, Jeshi la Polisi limeshaeleza kwa umma kuwa limeshawakamata watuhumiwa wa mauaji hayo. Poleni ndugu, jamaa na marafiki maana wengi mmenipigia kutaka kujua ukweli juu ya hili.
88
82
6
702
130,805
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Kheri ya kuzaliwa kamanda @Apollo_Boniface
6
103
4,247
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Replying to @Apollo_Boniface
Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Mkush @Apollo_Boniface Mapambano yako yabarikiweβœŒπŸΏπŸ‘ŠπŸΏ
1
1,971
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy reborn day kaka @Apollo_Boniface
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
3
9
2,259
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kaka Mungu akujaalie umri wenye baraka na furaha. Sisi ndio tunajua thamani ya uhai na muda kwakuwa tumechagua haki na kweli.
1
2
4
892
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Heri ya siku ya kuzaliwa Apollo. Kwa miaka zaidi ya maisha marefu. @BrendaRupia apeleke keki. Baraka! #FreeTunduLissu #FreeKizzaBesigye
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
1
3
7
985
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday, Apollo! I’m truly grateful to work with you on a day to day,basis. It’s truly a privilege. Your kindness, both inside and out, never goes unnoticed. Wishing you a wonderful day filled with joy, and many more years ahead full of success and happiness. Long live, Apollo!
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
1
8
62
1,959
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kijana wa Chama, Happy Birthday @Apollo_Boniface wewe ni moja kati ya watu muhimu sana kwenye haya mapambano, unafanyakazi njema kwa bidii kubwa, siku ya leo nakuombea Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na amani tele.πŸ₯‚
4
36
387
5,097
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Replying to @Apollo_Boniface
Mkuu upo? Huna tofauti na @ShundoGaston ktk utendaji wako wa kazi. Mnafanya kimyakimya , kazi kubwa na zenye matokeo mazuri sana. Hongera sana Apollo. Ulifanya kazi na @Twaha_Mwaipaya na @John_Pambalu kazi kubwa sana, kwa sbabu ulikuwa nyuma ya vifaa vya IT ni ngumu kufahamika.
1
1
2
558