𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface) header
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface) profile picture

HOSOME Chadema | Bavicha Head of Information and Communication Depertment 2018 - 2024

Mikocheni Kinondoni DSM
Joined December 2019
Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)Photo by 𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 (@Apollo_Boniface)
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Kheri ya kuzaliwa kamanda @Apollo_Boniface
6
103
4,247
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Replying to @Apollo_Boniface
Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Mkush @Apollo_Boniface Mapambano yako yabarikiweβœŒπŸΏπŸ‘ŠπŸΏ
1
1,971
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy reborn day kaka @Apollo_Boniface
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
3
9
2,259
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kaka Mungu akujaalie umri wenye baraka na furaha. Sisi ndio tunajua thamani ya uhai na muda kwakuwa tumechagua haki na kweli.
1
2
4
892
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Heri ya siku ya kuzaliwa Apollo. Kwa miaka zaidi ya maisha marefu. @BrendaRupia apeleke keki. Baraka! #FreeTunduLissu #FreeKizzaBesigye
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
1
3
7
985
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday, Apollo! I’m truly grateful to work with you on a day to day,basis. It’s truly a privilege. Your kindness, both inside and out, never goes unnoticed. Wishing you a wonderful day filled with joy, and many more years ahead full of success and happiness. Long live, Apollo!
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!
1
8
62
1,959
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kijana wa Chama, Happy Birthday @Apollo_Boniface wewe ni moja kati ya watu muhimu sana kwenye haya mapambano, unafanyakazi njema kwa bidii kubwa, siku ya leo nakuombea Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na amani tele.πŸ₯‚
4
36
387
5,097
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Replying to @Apollo_Boniface
Mkuu upo? Huna tofauti na @ShundoGaston ktk utendaji wako wa kazi. Mnafanya kimyakimya , kazi kubwa na zenye matokeo mazuri sana. Hongera sana Apollo. Ulifanya kazi na @Twaha_Mwaipaya na @John_Pambalu kazi kubwa sana, kwa sbabu ulikuwa nyuma ya vifaa vya IT ni ngumu kufahamika.
1
1
2
558
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday to you mdogo wangu.. endelea kufanya kazi nzuri ya kujenga Nchi yetu.
2
9
91
3,368
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday Apollo πŸŽ‰πŸŽ‰
1
4
13
924
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
If you live in the West, you are likely funding the Tanzanian government's campaign to the repress its political opposition. This must end.
95
394
14
1,108
40,503
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Sekretarieti ya zamani ya Chama ndiyo iliyohusika katika kuipika na kuiandaa agenda ya #NoReformsNoElection wakaipeleka Kamati Kuu, ikapitishwa na kupelekwa Baraza Kuu, ikapitishwa na kisha kupelekwa Mkutano Mkuu na ikapitishwa kuwa agenda ya Chama na uongozi wa sasa wameipokea kwa utekelezaji. Leo wanapinga agenda waliyoiasisi wenyewe. Tukubaliane huu ni MRADI, MRADI, MRADI.
35
132
6
526
24,334
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Bawacha Mkoa wa Ilala ipo imara sana na itaendelea kuwa imara, hatuwezi kuyumbishwa kwa kukimbia mapambano kwa mtu mmoja kwani Bawacha ninayoiongoza ina jeshi kubwa la hazina ya wanawake wenye uwezo wa kubeba majukumu ya kiutendaji. Bawacha Mkoa wa Ilala tunaendelea kusimamia msimamo na utekelezaji wa agenda ya Chama ya #NoReformsNoElection
29
75
461
19,004
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Nimefika Mahakani kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mhe. @TunduALissu, Jeshi la Polisi limetuzuia. Kesi hii ina maslahi mapana kwa Chama, Taifa na Dunia nzima haipaswi kusikilizwa gizani na kwamwe watawala wasidhani ya kwamba hili litaturudisha nyuma katika agenda yetu ya #NoReformNoElection
22
258
2
954
23,857
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Ameandika Askofu Bagonza @KalikaweB katika ukurasa wake wa mtandao wa Facebook πŸ‘‡ UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni mtu mbaya sana. Kwa nini atuhumiwe yeye kwa kosa hili baya? Nikawaza; 1. Kesi yake ingesikilizwa wazi (uwanja wa Taifa maana Kisutu hapatoshi). 2. Pale uwanjani wangeweka vipaza sauti na televisheni zote zirushe mubashara ili watu wote waone. 3. Makarandinga ya polisi yangesomba wote wasio na nauli kwenda kusikiliza kesi. 4. Asasi za kiraia na kianaharakati wangetoa maji ya kunywa bure kwa waliofika kusikiliza. 5. Posho za watumishi wa mahakama zingeongezwa ili kuwatia moyo wakati wa usikilizaji. 6. Siku ya hukumu ingekuwa siku ya mapumziko ili nchi itulie na kusikiliza hukumu hiyo. Kwa nini nafikiri hivi? a) Ingetoa fundisho la wazi kwa watu wote wanaopenda kuchezea amani ya nchi yetu. b) Elimu ya uraia na utii wa sheria bila shuruti ingetolewa kwa vitendo kupitia kesi hii. c) Hatua hii ingehamasisha watu wengi zaidi kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu bila kuhofia Polisi kuvuruga uchaguzi huo. d) Wale wenye β€œmdomomdomo” kama mimi, wanaopenda kutumia neno HAKI kuliko amani, wangekuwa wamefungwa goli la kisigino na timu AMANI isiyopenda kutamka neno haki. e) Hatua hii, ingeua kabisa kampeini za za NO REFORMS, NO ELECTION kwa sababu utawala wa sheria ungeonekana wazi. f) Chama kingepata fursa nzuri ya kuonyesha ushahidi jinsi mabeberu wanapandikiza wahaini katika siasa zetu. SASA, nimegundua ujinga wangu umekomaa. Kumbe kesi hii ni muhimu na nyeti. Haiwezi kuwa wazi. Ni kwa ajili ya wanasheria na wateule wachache wenye vifurushi kwenye simu. Nilidhani nchi hii ni yetu wote kumbe ya wana sheria tu na polisi. Hata serikali iliyotaka β€œkupinduliwa” ni yetu au ya wana sheria na polisi? Kama ni yetu wananchi, kwa nini hairuhusiwi watu kwenda mahakamani kusikiliza? Aisee ujinga wangu una gharama. Akili zimeisha kichwani. Nimebakiza za kunipeleka msalani. Wajinga wengine kama mimi wameenda wakaishia kuvunjwa viuno, mikono, na migongo. Hili giza la kuona haki ikitendeka haliwezi kutuacha salama. Nawaombea uponyaji walioumizwa. Nawaombea waliowaumiza ili wao wasiumizwe maishani maana inauma. Vitendo hivi vimelaaniwa vya kutosha. Nafasi za kulaani zimejas. Nitalaani kesho.
5
115
1
281
5,281
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Kamanda Eliza Mambosho Katibu wa Chama Wilaya ya Ilala akielezea namna alivyopigwa kamanda mwenzetu aliyeripotiwa kufariki baada ya kushambuliwa na askari mahakama ya Kisutu.
12
104
6
490
35,058
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday Apollo, Mungu akujalie uishi maisha marefu yenye baraka na amani tele.
1
6
68
4,180
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kamanda @Apollo_Boniface, mwenyezi Mungu akupe kila hitaji la moyo wako
3
23
886
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy birthday kamanda @Apollo_Boniface . Kijana smart anayehudumu katika kitengo cha habari ndani ya @ChademaTZ2 ,hekima,busara,utu na utulivu ni silaha kubwa aliyonayo Apollo. Mungu akupe maisha marefu zaidi kamanda.
1
3
14
530
𝐀𝐩𝐨π₯𝐒𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐁𝐨𝐧𝐒𝐟𝐚𝐜𝐞 retweeted
Happy Birthday Brother
1
2
18
1,178