Arthur Samuel (@ArthurSamTz) header
Arthur Samuel (@ArthurSamTz) profile picture

MTANZANIA | BABA | YANGA FAN

Ludewa, Tanzania
Joined May 2010
Arthur Samuel retweeted
Kikosi cha @YoungAfricansSC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby HAKUNA KIPENGELE .. 👊🏼🔰🏟️
554
241
128
2,549
239,784
WAFAHAMU WATU WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI.😳👇 1. TERRENCE TAO. Ni mwanahisabati kutoka Marekani ambaye anakadiriwa kuwa na IQ level ya 230. alifanya hisabati akiwa na miaka 2 na alipokuwa na miaka 7 alifanya hesabu ngumu za level ya Chuo Kikuu akiwa na miaka 20 alipata PhD.
91
156
4
1,519
197,302
Kuna kitu kinanambia Timu zitakazocheza Fainali ya CAFCL Zote weekend hii zitacheza Match zake Benjamin Mkapa Stadium.
13
14
2
335
8,134
Arthur Samuel retweeted
H.E President @SuluhuSamia will have a meeting with Pope Francis and later with Vatican Secretary of State, Cardinal Pietro Parolin. For the audience with the Holy Father, the President will bring along a few lay Catholics from different parishes in Tanzania.
Rais Samia kufanya Ziara ya Kitaifa Vatican Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
17
43
3
133
20,234
Arthur Samuel retweeted
Summary of my bilateral meetings with Foreign Affairs colleagues from a number of countries in Uganda from 17-18 January 2024.
22
51
8
199
24,838
OFFICIAL DATE ANNOUNCEMENT COMING SOON! THE RETURN OF THE HEROES! ZANZIBAR HEROES OFFICIAL KITS Designed by @SheriaNgowi for @zffzanzibar With our Proudly Commercial Partner @CRDBBankPlc Video Credits @Abou_burhan #sheriangowi #zanzibarheroesnewofficialkits
9
135
3,335
Arthur Samuel retweeted
May God protect our country na watu wake haya majanga🙌🏾
2
76
Arthur Samuel retweeted
🌸🌸Nauza Accessories mbalimbali ikiwepo (Hereni, Cheni, Saa za kike na kiume, Mikanda ya wadada n.k) Zenye ubora kwa bei nafuu sana🫰🏽 Napatikana Dar🌆 Delivery inapatikana kwa gharama za mteja🛫
Quote/Reply Hii Post Na Bidhaa Unazouza Hapa!
1
4
3
541
Arthur Samuel retweeted
Mithali 28:13 Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
1
1
3
107
UTEUZI - WAKUU WA MIKOA @venusnyota
251
341
60
2,108
Arthur Samuel retweeted
#BREAKING: Rais Samia amefanya uteuzi wa Ma-RC 9 na kuwahamisha vituo Ma-RC 7 na 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo amemteua Halima Dendego kuwa RC Iringa akichukua nafasi ya Queen Sendinga ambaye amehamishiwa kuwa RC Rukwa, Dendego amewahi kuwa RC Mtwara. #MillardAyoBREAKING
5
7
1
108
Kuna wazo zuri sana tumelipokea la kuanzisha tawi la Yanga twitter, kama wewe ni shabiki wa Yanga na unahitaji kuwa sehemu ya tawi naomba tuwasiliane, DM ipo wazi. Nadhani tunaweza kuvunja rekodi ya kuwa tawi lenye wanachama wengi katika historia. Tafadhali RT kufikisha ujumbe 💛
253
949
61
3,535
Arthur Samuel retweeted
Kesho tuekewe ulinzi mkali
1
1
1
The aim is to serve faithfully and the results will prove what we do. @OneAfricaBiz @sammykal1 #Expo2020Dubai
2
1
A humble begining of being a Founder & a Proprietor of Msando Law Office. . . Law Firm based and located at FayKat Tower - Near Airtel Morrocco, 9th Floor, Plot No: 236-238, Ali Hassan Mwinyi Road, Block: 41, Dar es Salaam - Tanzania. . . [email protected]
27
48
7
315
Arthur Samuel retweeted
87% female calves born from sexed semen
7
27
2
124
5
23
190
Arthur Samuel retweeted
2
10
67
Arthur Samuel retweeted
Leo Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametembelea Shamba la Mifugo la Asas Dairies Farm Mkoani Iringa.
8
45
2
431