Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH) header
Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH) profile picture

Fakame Haji Ally

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2018
Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)Photo by Feka Valentino馃嚬馃嚳 (@FakameH)
Ifikie wakati kuwe na fair ground, tuone nani ni nani kweli kwenye Uchaguzi...鉁嶏笍
43
Nchi ngumu sana hii, hakika njaa ya tumbo haijawahi mfikirisha mtu Vyema...鉁嶏笍
1
61
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Mwanaume usimtambulishe Mpenzi wako kwa Mwanaume aliyekuzidi Hela Mwanamke usimtambulishe rafiki yako aliyekuzidi uzuri kwa mpenzi wako. Nimewakumbusha kwa Mara ya mwisho.
64
103
7
1,244
46,281
Nyumbu bhana...鉁嶏笍 馃榾馃榾馃榾馃榾馃榾馃榾
61
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Kuto kufika kwa katibu mkuu wa CCM kwenye mdahalo. Hakuzui makatibu wa vyama vingine kutumia muda huo kuonyesha umahiri na weredi wao jinsi wanvyozijua changamoto za watanzania na pia wangeonyesha way forward. Hii ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani hoja zao zinategemea uwepo wa CCM
814
60
61
744
173,665
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Kwenye zao la pamba bado tuna changamoto kubwa sana ya bei na hii inatokana kuwa na sera zisizotabirika. @Bashe unawezaje kupeleka mnunuzi mmoja wa Pamba ambaye ananunua Pamba yote bila ushindani, anapanga yeye bei hali inayoumiza wakulima. Hakuna sababu ya mkulima kuwa masikini.
33
102
5
694
22,779
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Unarudisha huduma za kijamii Ngorongoro bila kumwajibisha aliyeziondoa. Unagharamia mazishi ya kijana aliyepigwa risasi bila kumwajibisha aliyempiga. Unagharamia matibabu ya aliyetekwa bila kuwajibisha watekaji. Ndedere wa Bwana Heri Shamba la Bwana Heri.
256
810
42
3,830
136,188
Unaambiwa nchi imekuwa ngumu kama Ugali wakisukuma...鉁嶏笍
2
68
Hawa watoto wa mwaka 2000 wanavyopigwa pipe hivi wataolewa na nani? Yani huwezi kuwatenga na 馃崋馃崋 kamwe 馃ス馃ス
113
39
4
1,035
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Hadi sasa Simba kacheza mechi 8 za Ligi Kuu,7 katwanga nyumbani,1 ugenini(V Prisons).Mechi 3 zijazo Simba atacheza na Ihefu(Nyumbani)Namungo(Nyumbani),Ruvu(Nyumbani).Hadi raundi ya 11 Simba atakuwa kasafiri mkoani mara 1 tu!NB Azam na Ruvu zilipazwa kucheza kwao!
49
8
5
374
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Kwahiyo kaka zangu mnamashaka na hii report ya Sensa hasa hapo kwenye uwiano kati ya Wanawake na Wanaume?馃槀馃槀馃槀
80
23
2
614
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
ACT ilipoteza nini 2020? ACT ilalamike kwa lipi? 馃槉 ACT ilifanyiwa madhila gani? 馃槀
19
21
2
186
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
CHADEMA KUFANYA SENSA YAO "Sisi chama hatuungi mkono matokeo ya Sensa sababu yameletwa na Serikali ya CCM, inawezekanaje Wanawake wakawa wengi kuliko Wanaume, au Dar es salam ikaizidi Zanzibar kwa watu, tutafanya Sensa yetu na Watanzania watajua" - Heche
119
23
12
461
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @godbless_lema
Kama tunakopa hivi wangefuta tozo sasa馃槀馃槩
1
2
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @godbless_lema
Mikopo mingi tozo nyingi jiulizeni JPM aliwezaje kutuvusha na maendeleo tuliyaona
1
1
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @godbless_lema
Magu hakukopa sana uongozi huu umetishaa
2
2
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @godbless_lema
Mm sina Chama! Chadema alipokufa Magufuri mlishangilia,mkasema bora mama,sasa mnacholalamika ni nini ? Sisiem na Chadema wote ni wale wale tu.
2
1
1
7
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @godbless_lema
Ukiona serikali inakopa Sana ujue ni dalili ya uvivu kwenye kufanya kazi na kusimamia rasilimali kwahiyo inataka urahisi na njia ya mkato. Kabla ya kukopa tufikirie hao wanaokooesha wao wanazitoa wapi?hawana kazi nazo?
6
1
22
Feka Valentino馃嚬馃嚳 retweeted
kumbe na unalishwa? wanagawia wapi huo ubwabwa?
1
3