Pinned Tweet
Wakuu kuna hii 12 plain, 128GB clean 🧼 mwenye 510K isiyokuwa na kona kona tufanye biashara ✅
Beno🌴 retweeted
Good morning Maisha hayamhurumii mtu anayesubiri huruma Amka pambana jitume na linda kile unachokipata Mwisho wa siku hakuna atakayekuja kuishi maisha yako kwa niaba yako
Beno🌴 retweeted
🔥 MWANAUME SMART HUANZA NA MUONEKANO WAKE!
Karibu @suitmseleleko upate suti kali kwa bei rafiki, jumla na rejareja.
📍 Location: Msimbazi, Kariakoo – Mtaa wa Mchikichi/Manyema, nyuma ya jengo la Simba.
🚚 Delivery tunafanya popote ulipo!
📞 WhatsApp: 0762617089
Beno🌴 retweeted
Kwa wanaume wanaopenda kuonekana nadhifu na wenye mvuto, SUMA VIATU ndiyo sehemu yako. Usikose kuchagua pair yako!
📞 0742517020
@Suma_Viatu
Beno🌴 retweeted
Good morning friends, Mwenyezi Mungu akabariki mapambano yetu tupate pesa nyingi na atuepushe na wanawake wenye tamaa😀
Beno🌴 retweeted
Mwanadamu anaweza kutembea kilomita 300 kwenda kukuzika lakini hawezi kuvuka barabara kuja kukusaidia!!. Na huyu ndie binadamu.
Beno🌴 retweeted
Weekend hii inakuwa nzuri zaidi ukiwa ndani ya #DBbet sehemu salama kwa ajili ya mikeka yako...🌿🌿💵💵⚽🏀
KAMPUNI NI #DBbet
Huna account? Jisajili (Register)👇
Link 👉 bit.ly/45NSoZE
🌺Promocode Andika: MZUNGU
Weka promo code upate bonus.💵💵💵💥
Beno🌴 retweeted
Your shoes speak before you do! 👞🔥 Hakikisha zinatoa ujumbe sahihi. Karibu SUMA VIATU upate style inayokufaa.
WhatsApp: 0742517020
Instagram: @Suma_Viatu
Beno🌴 retweeted
Mshukuru Mungu katika kila hali maana hata katika ukimya wake lakini bado anafanya kazi katika maisha yako.
Tuanze na Mungu kwanza 🙏🏽
Beno🌴 retweeted
Kwenye maisha kama umeoa ama umeolewa basi usiwaseme ndugu zako vibaya ukiwa na mkeo au mumeo hata kama ndugu hao watakuwa na mabaya kweli.
Good morning x familia








































