🧠🔥 Everthing is about Man's life 🤝

Arusha, Tanzania
Joined March 2026
Kuna msela Hapa mtaani ni chalii wa miaka 20 kama sio 21!. Mwezi wa nane dogo alitafutiwa msichana wa kuishi nae Kwa tamaduni za Kimasai. Dogo hakuwa na pingamizi,kwasababu ni desturi yao. Basi bwana kufika mwezi wa tisa,dogo alikabidhiwa msichana huyo aweze kuishi nae.
9
27
370
37,778
BRO TO BRO Kuwa na tamaa ya kuwa mwanaume unayeweza kuyaishi haya. •kujenga mwili thabiti •Fanya mazoezi ya akili yako •Tawala hisia zako •Timiza ahadi zake •Linda amani yake •Tunza familia Yake Never stop,Level up!
1
2
8
112
Brain_pro360💣 retweeted
They just simply don't give a fuck about us, hizi dharau na kejeli hizi, sawa
DODOMA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo Bungeni, leo Oktoba 27, 2026. Zaidi jamii.app/MakondaOktoba29 #JamiiForums #Siasa
13
31
234
10,718
Brain_pro360💣 retweeted
😂😂
8
12
272
8,848
Kesho sio siku nzuri sana ya kuzurura hovyo wala kukaa nje hadi usiku mnene
16
19
4
211
9,684
Brain_pro360💣 retweeted
Gen Z mmoja kaolewa na Mzee huko Tiktok watu wana comment mbona mzee 😂😂 Kawajibu hata sio mzee ni vile amewahi kuzaliwa nimecheka aiseee, hiki kizazi kiboko 🚶‍♀️
21
23
406
11,525
Brain_pro360💣 retweeted
Mbona polisi wamemwagika mjini kuna nini kwani??
14
10
1
150
6,384
Brain_pro360💣 retweeted
Nikajua majambazi kumbe polisi
Mbona polisi wamemwagika mjini kuna nini kwani??
2
4
156
Brain_pro360💣 retweeted
Dunia inaweza isiwe fair kwako leo, lakini hiyo haimaanishi kesho yako haina matumaini. Usijilinganishe na wengine, kila mtu ana vita yake ambayo huioni. Endelea kupambana, hata hatua ndogo ni maendeleo. Mungu anaona machozi yako, juhudi zako na moyo wako. Bado hujachelewa kufika pale unapopataka. Usikate tamaa na maisha, bado kuna siku nzuri zinakusubiri.” Good Morning Wagonga Ulimbo📌📍
10
21
50
616
Brain_pro360💣 retweeted
Sio kwa ubaya ila kidogo naanza kuelewa kwanini ndoa za zamani zilidumu japo kwa sasa mke kumsubiri hadi mume arudi sio jambo rahisi wanawake wengi hawawezi hilo kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia😁
11
11
73
2,173
Brain_pro360💣 retweeted
Wale vijana wa kataa ndoa ni utapeli wana kitu kikubwa cha kujifunza hapa. Kuoa /Kuolewa ni baraka kabisa kabisa📍📌
2
9
23
1,117
Brain_pro360💣 retweeted
Umbeya tu 😂, kusapoti biashara aaah😂😂
Hmmm..Ile reply imefutwa👀
5
2
15
555
Brain_pro360💣 retweeted
MR UK MODEL 730IG, unyama mwingine🔥 2- Gas burners Tsh 265,000 0755693113
Mr UK GAS HOB 6134GE -3 gas -1 umeme induction Tsh 265, 000 0755693113
3
22
1
23
436
Brain_pro360💣 retweeted
Pembeni ya frem yangu kuna frem ingine, yupo kijana 15yrs, juzi kasahau kiti chake kwangu, nikawa na imejensi nikafungia..boss wake amemfukuza kwasababu hiyo eti👀💔
24
30
6
238
14,067
Brain_pro360💣 retweeted
Unyama huu hapa
Unahitaji frem za dukani hujui utapata wapi?? Baaasi nipo 📍 Tunapatikana Ubungo Msewe. 🚚DELIVERY IPOOO! 📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946 KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
1
9
7
162
Brain_pro360💣 retweeted
Good morning wakubwa...Dinnerset ya mambele🔥🔥 📌Sahani kubwa 4 📌Sahani ndogo 4 📌 Bakuli 4 📌Vikombe 4 Tsh 85,000 0755693113 📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma 📌Kulipa kidogo kidogo✅ @Sativa255
Hello, MR UK COOKERS, unyama Sana humu Model -5055G3E1G SILVER Size 50*55cm 3 gas+ umeme, Oven inatumia gas Tsh 400,000/= 0755693113
9
71
1
72
2,082
Brain_pro360💣 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
10
57
1
54
397
Nje upepo ni mzuri, ndani sasa joto lake kama nyumba inawaka moto.
9
14
1
31
695
🚶‍♀️Niingie ndani nikapumzike sasa😴
Nje upepo ni mzuri, ndani sasa joto lake kama nyumba inawaka moto.
1
1
14
210
Asubuhi ya leo ukapate vichache, utakavyo vimudu kati ya vile vingi unavyo vitamani.
13
21
44
475
Brain_pro360💣 retweeted
Good morning x family ✨️
19
27
35
325