Canmaster Oog (@Canmaster_Oog) header
Canmaster Oog (@Canmaster_Oog) profile picture

๐—š๐—ข๐——'๐˜€_๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ป | ๐™๐™š๐™˜๐™ ๐™‚๐™ช๐™ฎ | | ๐†๐ซ๐š๐ฉ๐ก๐ข๐œ ๐ƒ๐ž๐ฌ๐ข๐ ๐ง๐ž๐ซ | #GraphicsZaMabasi | https://xitter.gq/t.co/itNsAMkbn9

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2021
Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)Photo by Canmaster Oog (@Canmaster_Oog)
Hii idea ilinijia kichwani kutokana na logo halisi ya Katarama Luxury (Swala) Nikajaribu kuhusianisha logo, mazingira (mbuga) na bus lenyewe. Kwa hiyo bus nkalipeleka mbugani Mikumi pale kuna utajiri wa Swala. Na haya ndo matokeo ya ubunifu huu #GraphicsZaMabasi #CanmasterDesigns โ€“ at Mwanza, Tanzania
15
18
4
189
12,646
TANZIA: Kwa masikitiko makubwa, tunatoa taarifa ya msiba wa mwana TBB mwenzetu Hawa Mgesa (Hawa MO) uliotokea asubuhi ya tarehe 9/11/2026 mkoani Manyara. Katika kipindi hiki kigumu, tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
7
15
2
81
3,104
Canmaster Oog retweeted
Gar: BM Coach VVIP No. T 422 EHB Uelekeo: Dar (Jiji la Matapeli). Hii chuma Nauli yake ni 87,000/=, wakati VIP nyingine ni 60,000, ikiwa na ongezeko la 27,000/=. Kwanza nimekutana na Menu hiyo hapo. Mwisho wa Safari nitafanya Review ya Safari.
23
11
2
106
40,722
Canmaster Oog retweeted
Kauli mbiu: *Kunywa Maji kwa wingi Howo itakuua*
2
1
4
512
๐ŸŽ‰ Happy New Month! ๐Ÿ™๐Ÿป Nawashukuru wadau na wateja wote kwa kuendelea kuniunga mkono katika huduma za ukatishaji tiketi za mabasi. Kwa furaha, napenda kutambulisha rasmi #ManingNice, kampuni ambayo imetuamini kusimamia huduma za tiketi na kuwa wawakilishi wao. 0756 084 459
#ManingNice New Fleet ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Mega watts Mega + Kesho nitawaambia jambo zuri kuhusu hi kampuni. @PiereTouch ๐Ÿ“ธ
1
4
1
16
1,339
๐ŸšซPAREDI LA KATARAMA LUXURY HAPO KESHO๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ *POLO G7 LA CHOO *POLO G7 LA CHOO *POLO G7 LA CHOO *POLO G7 LA CHOO *POLO G7 ENE *POLO G7 EBR *POLO G7 MAN HB *MAN HB SHERIFA S3 *MAN HB SHERIFA S3 *NB: KULIAAA MNARUHUSIWA ILA MSITOE SAUTI*๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹
6
8
2
120
4,430
#ChatoExpress Mahaha || Muhama ๐Ÿ”ฅ @Canmaster_Oog ๐Ÿ“ธ
3
3
1
57
2,279
#MkomboziSafari Mwanza || Kigoma 35k mlangoni @Canmaster_Oog ๐Ÿ“ธ
4
46
1,611
Replying to @Canmaster_Oog
@Canmaster_Oog ๐Ÿ“ธ Mapokezi ya #KiaziKitamu Mwanza || Arusha Booking:0756084459/0621877523
1
3
14
872
Abiria wangu wa #AsanteRabiExpress kwa kanda ya ziwa huu ujumbe ni rasmi kwenu. Karibuni kwaajili ya tiketi: 0756 084 459 || 0621 877 523
3
13
42
1,634
#Mallessa's Miaka 5 Ya Usafirishaji ๐Ÿ”ฅ
2
4
1
63
1,740
Loliondo Coach ๐Ÿ–ฒ new route ๐Ÿ–ฒ Arusha - Singida loliondocoach.co.tz ๐ŸŽจ @Canmaster_Oog ๐Ÿค๐Ÿฟ @Loliondo_coach #Canmaster_Ubunifu #Jitangaze_Kidigitali
2
11
523
#ExtraLuxuryCoach Moshi || Sengerema Kwa mahitaji ya tiketi za kampuni hi usisite kunipigia. Designed by @Canmaster_Oog
1
1
1
13
2,405
#ABCupperClass ๐Ÿ“Œ Watakuwepo tarehe 21/06/2026 #TabasamuLinaendelea #Miaka14YaKishindo #UlipoTupo
1
6
33
622
Mega+ Arrival ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ #KidimbwiBusTerminal #GeitaExpress @GeitaExpress @Canmaster_Oog ๐ŸŽฅ
2
5
1
28
2,706
Replying to @mallessa_luxury
1
2
22
280