Cuba ink retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Cuba ink retweeted
Maumivu huchukua muda kupoa.
Ila jikumbushe kuna vingi vilikuumiza na umeshavisahau baada ya muda.
Cuba ink retweeted
Mkoani raha sana Demu kanipenda kisa tu nina lafudhi ya Daslam
Hajui tu mimi ni Msukuma mwenzie ninae ishi Dar 😂😂😂
Cuba ink retweeted
Ndani Ya Mwaka Mmoja Tu..! Jamaa Maendeleo Yake Yamekua Kwa Kasi Sana Kajenga Bonge La Mjengo Anamiliki Chuma Kali, Kumbe Jamaa Ana Vimicro Finance Haramu Uswahilini Uko Wanaviita "KAUSHA DAMU" Anasema Vina Faida Kubwa Sana Anamiliki Zaidi 50 Vikampuni.
Cuba ink retweeted
Leo si kama Jana
Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama na kumuomba akabless hustle zetu
Habari za asubuhi X familia
#FundiMagariMsafi
Cuba ink retweeted
Hakuna kitu kinauma kama uwe na mwanamke wako mkaliiii alafu awe hana akili qmmake inataka kisenge
Cuba ink retweeted
Kumbe mademu nao WANAROGWA bana, Kuna demu alihalakia maisha kumbe kahalakia kwa mme wa mtu.
Kamjaza mimba mwisho wasiku akamrudisha nyumbani. Sasa hivi anadanganywa tu ntakuja kukuchukua, mara ntakufungulia biashara.
Mpaka mtoto anakaribia kutimiza miaka minne. Mshikaji 👇🏿
Cuba ink retweeted
Unaweka maisha yako hatarani kwa ajili watu ambao hawajitokezi kukupa moyo ukiwa unapitia mikiki
Cuba ink retweeted
Ulicho kikatia tamaa kifanye upya tena, lakini sasa hivi mshirikishe Mungu.
Kumekucha watu wa Mungu 🌄
Good morning X family 👋
Cuba ink retweeted
Hapo vijana wa Arusha wanaona wameyaweza maisha...
Habari za kesi ya Lissu na kuhusu uchumi na demokrasia nchini wao haiwahusu kummke 😂💔💔
Cuba ink retweeted
When bananas fail to emerge normally from the pseudostem and instead develop inside the trunk, you're looking at a rather unusual phenomenon.
I'm certain many of you have never come across this before. It's almost like an ectopic pregnancy in humans, where development happens outside the usual location.
Nature never runs out of surprises!
Have you ever seen a banana plant do this? Or is this your first time witnessing such a thing?
Cuba ink retweeted
Sema ukiangalia movies za JB za zamani akiwa anazungumza na mwanamke
Lazima uokote mistari kadhaa na ukitumia itakusaidia😁
Cuba ink retweeted
Kwahiyo mwanetu huyu demu aliekuweka friend zone unahisi Kuna siku atakuonea huruma kuwa mpenzi wako endelea kupoteza muda huku bwana yake anabonda tu.


































